Elections 2010 CUF wazindua kampeni 2010

senator

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
1,924
66
Naona wanaCUF huku JF watakuwa wapo kwenye viwanja vya uzinduzi .Uzinduzi wao unarushwa moja kwa moja na TBC..Kuna vijana wametoa ghani tamu kweli za kuibeza chama twawala
Kwa sasa anazungumza John Bashange naibu katibu mkuu wa CUF
 
Kimerushwa kijembe kwa CCM kuwa chini ya kamanda said miraji haanguki mtu Jukwaani...Hakiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Anaongea mhe Machano Hamis Ali makamu mwenyekti CUF na mmoja wa waasisi wa CUF
 
CUF wanasema watatumia usafiri wa gari au pikipiki na baiskeli kuwafikia wananchi na kuwapa sera zao.Wao hawatatumia Helikopta... hiyo si sera yao
Kampeni ni mtu na mtu...na cuf ni chama cha wananchi machano anamwaga nasaha kwa wananchi wa CUF wahakikishe Prof anaingia IKULU
Amemaliza hapa
 
Mbona watu hawashuki hapa kutoa comment? Naona Senator unahabarisha lakini hakuna response ya wanajamvi wengine. Duh!
 
Saidi Miraji anammwagia sifa za kutosha tu za Prof Lipumba....
WanaCUF kwa kupepeta mdomo nawasifu!
 
Mbona watu hawashuki hapa kutoa comment? Naona Senator unahabarisha lakini hakuna response ya wanajamvi wengine. Duh!
Naona wengine watakuwa kidongo chekundu ila ki mwelekeo JF imekaa kichadema chadema tu ngoja kesho wakizindua utaona thread zitakavyogongana
 
Makamu wa raisi mtarajiwa Juma Duni haji anapanda kutoa neno kwa wanaCUF
 
Naona wengine watakuwa kidongo chekundu ila ki mwelekeo JF imekaa kichadema chadema tu ngoja kesho wakizindua utaona thread zitakavyogongana
Hah hah ha ! mkuu umenichekesha sana, asante kwa kukamilisha siku yangu!
 
Naona wengine watakuwa kidongo chekundu ila ki mwelekeo JF imekaa kichadema chadema tu ngoja kesho wakizindua utaona thread zitakavyogongana

acha bange .... umesahau ya ccm? - Unakumbuka NEC na CC za ccm zilivyokuwa na habari live hapa? Hii JF is more CCM than chadema. Umeisikia toka kwangu hapa right now.
 
Ijumaa ndo jumapili kwa wanaCUF
Duni haji anasema ahadi anazoweka JK ni kama za Abunuwasi mana ni kama ndoto za mchana..mana zinategeme wamarekani watoe msaada.Ameorodhesha ahadi zote za JK alizotoa 2005 ..watapita kila mkoa kuuliza kama zimetekelezwa!!
 
acha bange .... umesahau ya ccm? - Unakumbuka NEC na CC za ccm zilivyokuwa na habari live hapa? Hii JF is more CCM than chadema. Umeisikia toka kwangu hapa right now.
Nimekusikia kwa SAUTI KUBWA MWAFRIKA
 
Ijumaa ndo jumapili kwa wanaCUF
Duni haji anasema ahadi anazoweka JK ni kama za Abunuwasi mana ni kama ndoto za mchana..mana zinategeme wamarekani watoe msaada.Ameorodhesha ahadi zote za JK alizotoa 2005 ..watapita kila mkoa kuuliza kama zimetekelezwa!!

Kwani CUF ni chama cha Kidini ama Kisiasa?
 
Sema tatizo la CUF wa kristo ni wengi sana humo ndani hadi kinaitwa chama cha kikiristo.
 
Back
Top Bottom