Elections 2010 CUF wazindua kampeni 2010

ndagafijo

--------------------------------------------------------------------------------
Join Date Fri Aug 2010
Posts 1
Thanks : 0Thanked 0 Times in 0 PostsRep Power 0

Karibu kwenye Jamvi
 
senetor, umenena mtandao wa Chadema hapa JF mpana inabidi tufanye kazi ya zaida kuubomoa. Kesho tusubiri uzinduzi rasmi wa chadema utaona posts zikimiminika kama mvua na ole wako uzipinge utashambuliwa kama nyigu.

ha ha haha

Una uwezo wa kuubomoa mtandao wa chadema? hivi wewe unaujua mtandao wa chadema kweli?

hizi zinaitwa bange kule ninakotoka
 
acha bange .... umesahau ya ccm? - Unakumbuka NEC na CC za ccm zilivyokuwa na habari live hapa? Hii JF is more CCM than chadema. Umeisikia toka kwangu hapa right now.

Fanya utafiti kwanza kabla ya kutuma posts zisizokuwa na data. Hapa JF chadema ndiyo mshindi.
 
ndagafijo

--------------------------------------------------------------------------------
Join Date Fri Aug 2010
Posts 1
Thanks : 0Thanked 0 Times in 0 PostsRep Power 0

Karibu kwenye Jamvi

ha ha ha Senator umemmaliza kabisa
 
Prof anamalizia hapa anasema ZINDUKA MTANZANIA UICHAGUE CUF ILIKULETEE HAKI ...uzinduzi umekamilika hapa
 
Fanya utafiti kwanza kabla ya kutuma posts zisizokuwa na data. Hapa JF chadema ndiyo mshindi.

ndagafijo

--------------------------------------------------------------------------------
Join Date Fri Aug 2010
Posts 1
Thanks : 0Thanked 0 Times in 0 PostsRep Power 0

Karibu sana jamvini
 
Leo wana cuf wako kampeni; kesho ndio watakuwa wamejaa humu maana watakuwa huru; halafu mijadala yenu ya kidini imepitwa na wakati sana; TALK ABOUT ISSUES sio kila wakati dini dini; kila mtu ana dini yake na inaheshimiwa; tuongelee maisha yetu maana wenye dini wako msikitini na makanisani huko wanasali; nchi inapoteza mwelekeo maana tunaongelea ugoro badala ya kuukata mbuyu unaotusumbua kila kukicha
 
Kulikuwa hakuna swali hapo. Ilikuwa statement yenye alama ya kuuliza mwishoni (kinafiki kama kawaida yako).

Kama kuna swali liulize na usikurupuke kutoa mapovu mkuu
Hivi unanielewa lakini au unakurupuka tu na jazba zako? Hivi unaweza kuleta ushahidi wa kawaida yangu?
 
Ijumaa ndo jumapili kwa wanaCUF
Duni haji anasema ahadi anazoweka JK ni kama za Abunuwasi mana ni kama ndoto za mchana..mana zinategeme wamarekani watoe msaada.Ameorodhesha ahadi zote za JK alizotoa 2005 ..watapita kila mkoa kuuliza kama zimetekelezwa!!

NI vema CUF ikazungumzia sera na nini itafanya endapo itaingia madarakani badala ya nini hakikutekelezwa na Kikwete.
 
Uzinduzi umekwenda vyema sana..police wametoa ushirikiano na kulikuwa hakuna matatizo...tusubirie ngoma ya Chadema..najua watakuwa wamejipanga vyakutosha kuzungumzia mafisadi..ila leo CUF wasemaji wake wote hawajagusia ufisadi kivile zaidi ya kusema ukiwa masikini ni rahisi kutawalika ,..ni vigumu sana kumwongoza na kumtawala mtu mwenye fedha
 
Hivi unanielewa lakini au unakurupuka tu na jazba zako? Hivi unaweza kuleta ushahidi wa kawaida yangu?

Ushahidi upo kwenye maandishi yako ... ukiwa na muda, yapitie tena na utaiona hiyo kawaida imejaa tele.

Back to my question, siku ya sabato ni ipi? jumamosi au jumapili?
 
Uzinduzi umekwenda vyema sana..police wametoa ushirikiano na kulikuwa hakuna matatizo...tusubirie ngoma ya Chadema..najua watakuwa wamejipanga vyakutosha kuzungumzia mafisadi..ila leo CUF wasemaji wake wote hawajagusia ufisadi kivile zaidi ya kusema ukiwa masikini ni rahisi kutawalika ,..ni vigumu sana kumwongoza na kumtawala mtu mwenye fedha

labda CUF wako okay na ufisadi wa ccm, who knows?
 
NI vema CUF ikazungumzia sera na nini itafanya endapo itaingia madarakani badala ya nini hakikutekelezwa na Kikwete.
Prof ameomba hilo waweke mdahalo wa kujadiliana kuhusu sera na kujenga hoja za kuinua maisha ya mtanzania.Ameongelea sera zao kwa ufupi jinsi yakubadilisha maisha ya mtanzania maskini.
Ila siasa mara nyingi ni kupondana tu mwenzako kasema nn the ww unakuja kuponda ..Duni haji na Prof wamejieleza vyema na kwa ufupi....
 
senetor, umenena mtandao wa Chadema hapa JF mpana inabidi tufanye kazi ya zaida kuubomoa. Kesho tusubiri uzinduzi rasmi wa chadema utaona posts zikimiminika kama mvua na ole wako uzipinge utashambuliwa kama nyigu.
Fikra mgando badala ya kufikiria kujenga hoja wewe unawazia kubomoa mtandao mtakaliaga hayo hayo milele.
 
Back
Top Bottom