Elections 2010 CUF wazindua kampeni 2010

Fikra mgando badala ya kufikiria kujenga hoja wewe unawazia kubomoa mtandao mtakaliaga hayo hayo milele.

ha ha haha , yaani kajiunga leo, na leo hii anataka kubomoa mtandao wa chadema.

Watu wa madrassa wana kazi kweli
 
Prof ameomba hilo waweke mdahalo wa kujadiliana kuhusu sera na kujenga hoja za kuinua maisha ya mtanzania.Ameongelea sera zao kwa ufupi jinsi yakubadilisha maisha ya mtanzania maskini.
Ila siasa mara nyingi ni kupondana tu mwenzako kasema nn the ww unakuja kuponda ..Duni haji na Prof wamejieleza vyema na kwa ufupi....

Prof naye bana,

Hivi amesema chochote kuhusu ule mchongo wa ccm waliompatia hivi karibuni?
 
wewe unaonaje?

Mtazamo wangu mie Rev ana tatizo na kuzinduliwa kampeni Ijumaa labda atujuze tatizo nini? Na mbona Chadema wanazindua Jumamosi tuwaite wasabato? CUF na Chadema wakigonga na hizi hoja za udini CCM anashinda kwa ubua
 
wameona itakuwa kama repetition mana kesho chadema ndo itakuwa wimbo wao mwanzo -mwisho....kwangu mie sabato ni Jumapili

Asante Senator,
Lakini bado namsubiria mujahidini X-Paster aje kujibu hilo swali .... hapa leo ni bango tu hadi kieleweke.
 
Uzinduzi umekwenda vyema sana..police wametoa ushirikiano na kulikuwa hakuna matatizo...tusubirie ngoma ya Chadema..najua watakuwa wamejipanga vyakutosha kuzungumzia mafisadi..ila leo CUF wasemaji wake wote hawajagusia ufisadi kivile zaidi ya kusema ukiwa masikini ni rahisi kutawalika ,..ni vigumu sana kumwongoza na kumtawala mtu mwenye fedha
Kuna mtu kaanguka jukwaani au Lipumba hakufunga.
 
Mtazamo wangu mie Rev ana tatizo na kuzinduliwa kampeni Ijumaa labda atujuze tatizo nini? Na mbona Chadema wanazindua Jumamosi tuwaite wasabato? CUF na Chadema wakigonga na hizi hoja za udini CCM anashinda kwa ubua

Haya bado ni maoni yako mkuu maana Rev hakusema hivyo.
CCM ni wa ile dini ya naniliiii ile ya naniiliiiii yule ambaye si msabato ... si unamjua yule naniliiii yule
 
Prof naye bana,

Hivi amesema chochote kuhusu ule mchongo wa ccm waliompatia hivi karibuni?
Aliuzungumzia Duni haji kwa juu juu tu na Saidi Miraji wakati akimwaga sifa za Prof nje na ndani ya nchi
 
Haya bado ni maoni yako mkuu maana Rev hakusema hivyo.
CCM ni wa ile dini ya naniliiii ile ya naniiliiiii yule ambaye si msabato ... si unamjua yule naniliiii yule

Kama hakuwa na dhamira hiyo kwani asiulize mengine aulize siku ya ijumaa na kampeni? Inasaidia nini kuuliza hilo kwa watanzania ambao kila siku rasilimali zao zaliwa?
 
Dili gani hilo Mwafrika hebu tupakulie basi

No ... hili linatunzwa mpaka siku CUF wakianza upambe wao wa kuipondea CHADEMA. Trust me, haitachukua muda kabla CUF hawajaanza hili (si umesoma lile gazeti lao la al jihad linavyomsifia Kikwete?)
 
Kama hakuwa na dhamira hiyo kwani asiulize mengine aulize siku ya ijumaa na kampeni? Inasaidia nini kuuliza hilo kwa watanzania ambao kila siku rasilimali zao zaliwa?

Mbona na wewe uliuliza kwa nini chadema wanazindua kesho, ulikuwa unatafuta nini huko?
 
ndagafijo

--------------------------------------------------------------------------------
Join Date Fri Aug 2010
Posts 1
Thanks : 0Thanked 0 Times in 0 PostsRep Power 0

Karibu kwenye Jamvi
Asante sana ni wachache wanaokaribisha wageni katika jamvi hili.
 
Back
Top Bottom