CHADEMA yawa gumzo Mtwara

Mmechemka, hii ni ngome ya CCM !!!!!! Tangu lini Mmakonde aolewe na Mchaga???

Kuwa baridi subiri uone, endelea kuishi kwa matumaini. Kwani aliyevaa nguo ilotoboa makalioni hujiona kajisitili,hajui kumbe sehemu nyingine u mtupu.Jidanganyeni na Nape mwenzenu Makamba aliwaambia katangulia,tena karudia kuwakemea ila sikio la kufa halisikii dawa.
 
hayo maneno wanayoongea huko eti cdm inaongelewa huku, hakuna kitu kam hicho huku mtwara kuhusu CDM, majadiliano huku ni CUF jinsi gani watachukua majimbo yote ya kusini.
 
Mtwara walimzaa rais ben,
wamemzaa mama first lady,
lakini bado hakuna kitu,
kweli sasa 'CHAGUA CHADEMA CHAGUA MAENDELEO'.
 
hayo maneno wanayoongea huko eti cdm inaongelewa huku, huyo MOLEMO ni muongo na mzandiki hakuna kitu kam hicho huku mtwara kuhusu CDM, majadiliano huku ni CUF jinsi gani watachukua majimbo yote ya kusini.

Kwa nini unanitukana? Wewe ndiyo great thinker kweli? Mimi ndiyo nimetunga au nimetoa source? Mods please nilindeni
 
hawa jamaa wakibadilika basi , Tz inakombolewa , maana wanafikra mgando sana , ila poa najua M4C itawang'oa wote

hii ni 'general statement'. Nasema hivi kwa kuwa mimi nina asili ya watu wa huko. Si kwamba wana fikra mgando. Nadhani ni athari za kisaikolojia zinazotokana na 'danganya toto toka CCmmmm'. Kimsingi, kila mkoa katika nchi hii kuna watu ambao hawajajipambanua kifikra na inawezekana kabisa ziara ya wana CDM huko Mtwara inaweza badili upepo kabisa. CUF na CCmmmm ndo vyama ambavyo huko nyuma vimekuwa vikitoleana ushindani mkubwa lakini huu upepo wa CDM nadhani utabadili kila kitu. Na tusubiri tuone kwani kila mwananchi leo hii anan mtizamo chanya juu ya mabadiliko ya kimaendeleo katika nchi yetu
 
Nawaomba akina Shillingi_
1. Shilling mkubwa
2. Shillingi diwani (meya)
3. Shillingi Omary wa Ikongola
waipokee chadema kwani hakika itakuwa ndiyo mkombozi wao, kwani watakaa tu kuona Hawa Gasiya akinunua majumba shangani? Shillingi wawili kuacha diwani hawana cha kupoteza wakijiunga na chadema
 
Ni ukwelu usiopingika kuwa baadhi ya mikoa nchini Tanzania bado wanaamini kuwa CCM ndo chama imara,lakini wakifikiwa na kuelimishwa wakajua nchi inakoelekea,matatizo tuliyo nayo ya maisha magumu kwa ujumla yanatokana na sera mbovu za chama tawala,wataelimika na kuchukua uamzi sahihi.Cha msingi CDM wajipange vizuri,wasonge mbele mpaka vijijini, watoe elimu,mimi nawaahidi ni 2015 tutashuhudia ushindi wa kishindo kwa CDM.
CDM msirudi nyuma,iwe kusini,kasikazini,magharibi,mashariki nchi inaelekea kwenye ukombozi sahihi!Tusonge mbele bila kurudi nyuma.
Peoplezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
 
Molemo hakuna tusi hapo mtu kukwambia muongo ni tusi?

Kuniita mzandiki sio tusi? Kwangu ni matusi makubwa.Mods please tendeni haki kwa mkigoma aelewe namna ya kujadili hoja.
 
Back
Top Bottom