Viongozi wa CHADEMA ni Walaghai

PhD

JF-Expert Member
Jul 15, 2009
4,599
3,673
Viongozi wa CHADEMA wanakosa sifa ya kuaminika kwa umma kama chama mbadala. Wametanguliza maslahi binafsi kuliko ya wanachama wao. Kwenye masala ya Fedha CHADEMA hawajawahi kuwa wawazi. Hii ni dosari kubwa kwa chama kinachoikosoa Serikali.

Hakuna operesheni hata moja ya michango ambayo imewahi kuwa bayana kwa wanachama wao. Lakini kichekesho zaidi ni ulaji wa limbikizo la ruzuku kimya kimya, sasa nimeelewa kwa nini Lissu amemsusa Mbowe.

Kaa Mbali na walaghai, kataa ufisadi kwa vitendo.
 
Chama chako cha majizi ya kura na mauza bandari kwa warabu yamewahi kukwambia mapato yao ikiwemo ruzuku au kwa kuwa akilizenu mmeshikiwa na bashite mwenye burro fake ndio maana hamjui chochote kama mandondocha.
 
Hiyo bil 2 na ushee wamechukuwa Majuzi kimya kimya bila kutujulisha sisi nyumbu zao, mpaka external links ilipobainisha, you can see who they are?,
#After money political parties!
Nyie nguruwe wa samia mmewahi kujua makonda anatoa wapi hela anazohonga mabarabaran au kwa kuwa mmeshikiwa akili na bashite mmebaki mandondocha Kama mamayenu.
 
Viongozi wa CHADEMA wanakosa sifa ya kuaminika kwa umma kama chama mbadala. Wametanguliza maslahi binafsi kuliko ya wanachama wao. Kwenye masala ya Fedha CHADEMA hawajawahi kuwa wawazi. Hii ni dosari kubwa kwa chama kinachoikosoa Serikali.

Hakuna operesheni hata moja ya michango ambayo imewahi kuwa bayana kwa wanachama wao. Lakini kichekesho zaidi ni ulaji wa limbikizo la ruzuku kimya kimya, sasa nimeelewa kwa nini Lissu amemsusa Mbowe.

Kaa Mbali na walaghai, kataa ufisadi kwa vitendo.
Tangu lini CCM imekuwa ikitangaza ruzuku na mapato yake kwa wanachama? Mapato ya vitega uchumi, majenge, viwanja vya michezo vilivyojengwa kwa nguvu na kodi za Watanzania wote yanatumika na viongozi wa CCM wachache. Tunashangaa michango kwa Chadema tunasahau tozo, ufisadi na ugumu wa maisha uosabishwa na CCM?
 
Kama alivyopewa bashite anazurura hovyo Kama mbwa koko ila wajinga na nguruwe wa Samia mmebaki kwenye makorido ya lumumba mnabwabwaja ujinga wenzenu wanakula mabilioni.
We zubaa tu mmeshaingiziwa 2 bil, wahi ofisini, wenzio wanapiga nyagi kwa kwenda mbele.
 
Viongozi wa CHADEMA wanakosa sifa ya kuaminika kwa umma kama chama mbadala. Wametanguliza maslahi binafsi kuliko ya wanachama wao. Kwenye masala ya Fedha CHADEMA hawajawahi kuwa wawazi. Hii ni dosari kubwa kwa chama kinachoikosoa Serikali.

Hakuna operesheni hata moja ya michango ambayo imewahi kuwa bayana kwa wanachama wao. Lakini kichekesho zaidi ni ulaji wa limbikizo la ruzuku kimya kimya, sasa nimeelewa kwa nini Lissu amemsusa Mbowe.

Kaa Mbali na walaghai, kataa ufisadi kwa vitendo.
Umenena haswa.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Ili neno nguruwe limekaa poa sana kwa hawa watu wa kijani
Sasa nguruwe ni chadema au ccm, maana wapo miongoni mwa vyama tajwa wakiambiwa kesho tunawaswaga hao kigulu na njia, no thinking at all kwamba hiki kina msingi au hakuna, niku swagwa tu, kama nguruwe! 😁
Nasikia wenye akili watawaswaga wenzao huko Mbeya, M not sure!
Ifike mahali hizi tabia za wenye ufahamu kuwaswaga wasio na ufahamu zikakomeshwa zinatuletea mafoleni yasiyo ya msingi barabarani.
 
Lazima waandamane, by any means, tutaishije sasa, this is blended with fine pure spirit, consumable and safe to human health thank you for a good produce!
 
Attachments

  • IMG_20240205_105935_403.jpg
    IMG_20240205_105935_403.jpg
    43.1 KB · Views: 2
Viongozi wa CHADEMA wanakosa sifa ya kuaminika kwa umma kama chama mbadala. Wametanguliza maslahi binafsi kuliko ya wanachama wao. Kwenye masala ya Fedha CHADEMA hawajawahi kuwa wawazi. Hii ni dosari kubwa kwa chama kinachoikosoa Serikali.

Hakuna operesheni hata moja ya michango ambayo imewahi kuwa bayana kwa wanachama wao. Lakini kichekesho zaidi ni ulaji wa limbikizo la ruzuku kimya kimya, sasa nimeelewa kwa nini Lissu amemsusa Mbowe.

Kaa Mbali na walaghai, kataa ufisadi kwa vitendo.
Kafanye ulaghai na wewe
 
Chama chako cha majizi ya kura na mauza bandari kwa warabu yamewahi kukwambia mapato yao ikiwemo ruzuku au kwa kuwa akilizenu mmeshikiwa na bashite mwenye burro fake ndio maana hamjui chochote kama mandondocha.
Je kwa nini sasa hivi wameacha kuzungumzia hiyo bandari, wenye akili tulishaelewa Asali
 
Mmekosa hoja mmebaki kuhangaika na Ruzuku ya CHADEMA
CHADEMA KAMA NI CHAMA SAFI, KINASTAHILI KUSEMA KWA KUWA HATUNA WABUNGE BUNGENI HATUIHITAJI HIYO RUZUKU, SASA HUKU HAMUWATAMBUI KULE MNABEBA RUZUKU, KUCHUKUA RUZUKU MAANA YAKE NI KUWAKUBALI WABUNGE WAKO BUNGENI, HIVYO UNABEBA RUZUKU, TATIZO LA CHADEMA NI HAWANA MISIMAMO THABITI KAMA CUF.
 
Back
Top Bottom