CHADEMA yawa gumzo Mtwara

Ukweli unaumaaaaaa......
Wachaga wana ubaguzi xana!!!!! Hata marehem baba yangu pale Mikindani aliniambiaaaa..... CDM hamtaweza kukubalika milele!!!!!!


Pili huku kuna waislam tupu, na ule udini mmechemka!!!!! Niko huku Lipwidi, Mtwara Vijijin nalimaaaa!!!!

Kwani CDM haina waislamu. We uko dunia gani? Una matatizo fulani, haa udini.
 
Kwa sababu ya sumu ya udini alomwagwa
Hamna sumu ya udini yoyote,,,,Mika yote toka siasa za upinzani zimeingia nchini, CDM walikuwa wapi wasiende Mtwara?
Kila siku tunaisika CDM moshi na Arusha...kwanini tusiconclude kuwa ni chama cha huko?
 
Tunakumbushi mlichokisema na end result yake! na mtwara itakuwa hivyo hivyo...
Kwa watu wanaolewa mwenendo wa CDM na uducteta uliopo, hawawezi kukishobokea CDM.
Am happy watu wa Pwani ni waelewa na wanajua kupima mambo kabla ya kukurupukia vitu!

Udikteta unaweza kuwepo kwa mtu lakini si chama. Na CDM kuchukua nchi inabidi ieleweke nchi nzima. Tunawakaribisha na tuna imani watapokelewa kutokana na imani za wananchi sio tunavyobwabwaja hapa.

Binafsi nilitembelea Msanga Mkuu kwa kwenda na gari sio boti. Niliona bendera moja ya CUF, mbili za CCM na tatu za CDM.
 
Ukweli unaumaaaaaa......
Wachaga wana ubaguzi xana!!!!! Hata marehem baba yangu pale Mikindani aliniambiaaaa..... CDM hamtaweza kukubalika milele!!!!!!


Pili huku kuna waislam tupu, na ule udini mmechemka!!!!! Niko huku Lipwidi, Mtwara Vijijin nalimaaaa!!!!

Sijapata kuona eneo nchini Tanzania ambalo wananchi wake wanaishi maisha ya ufukara wa kutupwa kama eneo la MIKINDANI Mtwara, sijui wale watu wanaishi vipi ndani ya vile vijumba vya nyasi karibu na daraja.
 
Kweli Chadema wamekuwa gumzo Mtwara baada ya kusikia kuwa Chadema wanataka kuanzisha Taifa lao la Kaskazini Jamhuri ya Meru.
 
Hatua kwa hatua kuelekea ikulu 2015! Watu wa kusini kama wameipokea CDM vizuri ni dalili njema sana sasa hapo kanda ya kati hususani Dodoma na Tabora panahitajika sauti ya ukombozi!
 
Kweli Chadema wamekuwa gumzo Mtwara baada ya kusikia kuwa Chadema wanataka kuanzisha Taifa lao la Kaskazini Jamhuri ya Meru.
Toa pointi za maana wewe acha kuchemka kila mara! huwa hujionei aibu kwa post zako za kipuuzi kila mara? na wewe unajiita great thinker!??
 
Propaganda tupu hakuna cha gumzo wala chochote, mtwara wataungaje Chama Chenye sear ya kuanzisha Jamhuri ya kaskazini ? Mtwara ni kusini watakuwaje sehemu ya jamhuri ya kaskazini?

Wao wanasema hivi kama wataweza kuanzisha jamhuri ya kaskazini basi na ya kusini, magharibi, kanda ya ziwa ya kati halafu wakiziunganisha inakuwa tanzania mpya M4C. Wamechoka kuwafanya mbuzi wa kafara: bandari wamepewa walebanon bureeeeeee, gesi haiwanufaishi kama walivyotegemea, reli iliuliwa makusudi na CCM, barabara ilikuwa ngumu kuijenga mpaka Ben akavalia njuga kaondoka yeye basi inasuasua nk. Wana kila sababu ya kuachana na CCM na itawezekana.
 
Toa pointi za maana wewe acha kuchemka kila mara! huwa hujionei aibu kwa post zako za kipuuzi kila mara? na wewe unajiita great thinker!??

Point ya maana kwako ikoje? Haya sio maneno yangu ni maneno ya Mbunge wa Chadema Nassari ndio alisema Chadema kujitenga mie utanionea bure labda ungemwambia mbunge wako.

Halafu mie naitwa Ritz wa JF hayo mambo yenu ya kupeana vyeo vya kinafiki eti great thinkers wala mie siitaji mkuu wangu itaneni tu nyie Pro-Chadema JF.
 
funguka kaka unafikiri ccm, inamuda mrefu soma alama za nyakati. kukua kwa idadi ya watu na utendaji wa ccm ni dhahiri nchi itawashinda
 
Kweli Chadema wamekuwa gumzo Mtwara baada ya kusikia kuwa Chadema wanataka kuanzisha Taifa lao la Kaskazini Jamhuri ya Meru.

Kweli kabisa, wanasema kumbe nasi tunaweza kuanzisha ya kusini kwa msaada wa CDM maana wamechoka na CCM wanavyoutenga mkoa ule. Mwisho wake jamhuri zote zinaunganishwa na kuwa tanzania mpya....
 
Mmechemka, hii ni ngome ya CCM !!!!!! Tangu lini Mmakonde aolewe na Mchaga???

wewe unaishi karne ipi? wamakonde wanaolewa na wajapan acha wachaga, wanyakyusa wanaoa warusi, wabena na wafaransa, Wazaramo na wa Norway n.k ukiona mtu ambae bado amekwama kwenye tope la ukabila na udini ana matatizo katika elimu aliyopata au kwa makusudi anatumia zile CD za magamba za udini na ukabila ambazo zimechuja! wewe baki hapo hapo movement for change inasonga mbele na mojawapo ya kazi zake ni kufuta hizi hisia za ukabila na udini zinazopandikizwa kwa maslahi ya chama cha magamba!Vijana wazee, watoto wanawake kwa wanaume shime tuikomboe nchi yetu!!M4C SONGA MBELE!!
 
Mmechemka, hii ni ngome ya CCM !!!!!! Tangu lini Mmakonde aolewe na Mchaga???

Pasco kuwa makini na matumizi ya maneno (NGOME) Si sahihi kusema Mtwara ni Ngome ya CCM.Mtwara CCM haitakiwi na wenyewe wanalijua hilo.Tunaisubiri kwa hamu kubwa CHADEMA.
 
Back
Top Bottom