CHADEMA yawa gumzo Mtwara

Hata Uzini ilikuwa hivi hivi..
Natafuta comment ya Slaa hapa JF siku wawalipoenda Uzini.
Nafikiri wote mliona CDM walichoambulia kule!!

Huna tofauti na mfa maji? Kuna mahali Slaa amehojiwa hapa? Au unaweweseka kutaja jina la Slaa?
 
Mkuu habari ya Jumanne tunaijadili leo Ijumaa halafu unaiita eti News Alert...Pro-Chadema JF wana vituko bana.
Mkuu, naona tayari umeshikwa na kihoro! Kajifiche kwenye varangati kama alivyofanya mwenzako Ghaddafi.
 
Huna tofauti na mfa maji? Kuna mahali Slaa amehojiwa hapa? Au unaweweseka kutaja jina la Slaa?
Tunakumbushi mlichokisema na end result yake! na mtwara itakuwa hivyo hivyo...
Kwa watu wanaolewa mwenendo wa CDM na uducteta uliopo, hawawezi kukishobokea CDM.
Am happy watu wa Pwani ni waelewa na wanajua kupima mambo kabla ya kukurupukia vitu!
 
Acha kuzungumza urojo nenda kafanye kazi kumekucha.
 
Propaganda tupu hakuna cha gumzo wala chochote, mtwara wataungaje Chama Chenye sear ya kuanzisha Jamhuri ya kaskazini ? Mtwara ni kusini watakuwaje sehemu ya jamhuri ya kaskazini?
 
Porojo zenu ndiyo mauti yenu
 
Ukweli unaumaaaaaa......
Wachaga wana ubaguzi xana!!!!! Hata marehem baba yangu pale Mikindani aliniambiaaaa..... CDM hamtaweza kukubalika milele!!!!!!

Pili huku kuna waislam tupu, na ule udini mmechemka!!!!! Niko huku Lipwidi, Mtwara Vijijin nalimaaaa!!!!

U're fineshed buddy. U're already deadman walking!
 
Hata Uzini ilikuwa hivi hivi..
Natafuta comment ya Slaa hapa JF siku wawalipoenda Uzini.
Nafikiri wote mliona CDM walichoambulia kule!!

Nasikia Mtwara nako kuna misikiti mingi sana kama Tanga na Uzini
 
Kila la kheri CDM lakini mnatakiwa mkomae sana ili mkubalike Kusini maana CCM wameshawaharibia sana kwa kashfa ya udini(Ukristo) na baadhi ya kauli za viongozi wenu wakina Mtei pia zinawaweka wengi njia panda!All in all inawezekana kupata wanachama wa kutosha huko kama mkijipanga vizuri!!
 
Nasikia Mtwara nako kuna misikiti mingi sana kama Tanga na Uzini
Ishu za misikiti zimetoka wapi hapa? Hapa tunajadili ugumzo wa CDM Mtwara..
Ukitaka tuhamie huko, twende kwenye jukwaa la dini tukaelezane!
 
Tunakumbushi mlichokisema na end result yake! na mtwara itakuwa hivyo hivyo...
Kwa watu wanaolewa mwenendo wa CDM na uducteta uliopo, hawawezi kukishobokea CDM.
Am happy watu wa Pwani ni waelewa na wanajua kupima mambo kabla ya kukurupukia vitu!

watu wa pwani ni?
 
Ishu za misikiti zimetoka wapi hapa? Hapa tunajadili ugumzo wa CDM Mtwara..
Ukitaka tuhamie huko, twende kwenye jukwaa la dini tukaelezane!

Mkuu unafanya kazi saa ngapi?
 
Hivi kweli Chadema watawambia nini Machinga wa Mtwara..

Chadema juzi wamesema wanataka kujitenga waanzishe taifa la Kaskazini leo tena wanataka kwenda kuwadanganya Mtwara.

Ni ngumu sana Kaskazini na Kusini kuungana.
 
Back
Top Bottom