Msiba wa Lowassa, Makonda ahairisha Ziara zake

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,305
Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda ameahirisha ziara yake ya Mikoa 20 Back to Back ili kushiriki msiba wa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa aliyefariki jana katika Hospital ya moyo ya JKCI Jijini Dar es salaam.

Akizungumza mjini Songea Mkoani Ruvuma Makonda amesema kama chama kimeona kisitishe ziara hiyo iliyoifikia mikoa 18 ili kumpa heshima kiongozi huyo ambaye ametoa mchango mkubwa katika kuliletea taifa maendeleo.

"Dhamira ya CCM na Rais Dk Samia Suluhu Hassan ni kuona wananchi wanatumaini jipya, watendaji wa umma wanawajibika, heshima ya chama inarudi, ila kazi alizofanya, michango mbalimbali aliyotoa kwa taifa hana budi kupewa heshima zake za dhati", amesema Makonda.

Ziara katika mikoa ya Mtwara na Lindi itapangwa wakati mwingine hivyo wananchi wamikoa hiyo wameombwa kuwa na subira kutokana na msiba huu ambao taifa umeupata.
 
Screenshot_2024-02-11-11-33-15-1.png

Katibu Mwenezi wa CCM Paulo Makonda, aliyekuwa ziarani kwenye mikoa mbalimbali, ametangaza kusitisha ziara hiyo kufuatia msiba wa Edward Lowassa, aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania.

Screenshot_2024-02-10-16-38-37-1.png

Bila kumung"unya maneno wala kuweka Unafiki, jambo hili kwangu ni sawa na kejeli.

Makonda alishika namba mbili kutoka kwenye msululu wa vijana na wazee wa ccm waliomtukana Lowassa matusi yote ya dunia hii mnayoyafahamu, ALIYESHIKA NAMBA 1 ALIKUWA NAPE NNAUYE, ni kweli kwamba Watanzania ni wajinga, lakini hawawezi kuwa Wajinga kiasi cha kusahau mambo haya, hawa waliomtukana matusi mazito na kulindwa na watawala, kwenye kifo hiki wameguswa na nini?

Ni kweli kwamba Lowassa amekufa , lakini ni vema wale waliomtukana na kumtaka afe hata kabla hajafa wakanyamaza ili tusifukue kauli zao chafu zikiwemo zile za akina Samuel Sitta na Selina Kombani , Hatutavumilia kauli za WACHEKEA PEMBENI kwa sababu zozote zile .

TUHESHIMIANE

Nitasema kweli Daima Fitna kwangu Mwiko .
 
Ndumi la kiwili wa Siasa za KIpumbavu Tanzania (NSKT) ni bashite mfoji cheti Cha makonda
 
View attachment 2900599

Katibu Mwenezi wa CCM Paulo Makonda, aliyekuwa ziarani kwenye mikoa mbalimbali, ametangaza kusitisha ziara hiyo kufuatia msiba wa Edward Lowassa, aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania.

View attachment 2900600

Bila kumung"unya maneno wala kuweka Unafiki, jambo hili kwangu ni sawa na kejeli.

Makonda alishika namba mbili kutoka kwenye msululu wa vijana na wazee wa ccm waliomtukana Lowassa matusi yote ya dunia hii mnayoyafahamu, ALIYESHIKA NAMBA 1 ALIKUWA NAPE NNAUYE, ni kweli kwamba Watanzania ni wajinga, lakini hawawezi kuwa Wajinga kiasi cha kusahau mambo haya, hawa waliomtukana matusi mazito na kulindwa na watawala, kwenye kifo hiki wameguswa na nini?

Ni kweli kwamba Lowassa amekufa , lakini ni vema wale waliomtukana na kumtaka afe hata kabla hajafa wakanyamaza ili tusifukue kauli zao chafu zikiwemo zile za akina Samuel Sitta na Selina Kombani , Hatutavumilia kauli za WACHEKEA PEMBENI kwa sababu zozote zile .

TUHESHIMIANE

Nitasema kweli Daima Fitna kwangu Mwiko .
Vijana WA abavicha kweli Kuna muda mnakua hamunazo
Hivi kati ya vijana na viongozi wa kitaita WA vyama hivi kati ya chadema na ccm walianzisha mashambulizi dhidi ya LOWASA
TUANZE NA ILE LIST OF SHAME YA SLAA, Hadi maneno ya Akina MUSIGWA LISU NA WENGINEO WOTE WA CHADEMA,
R.IP Lowasa
 
Mzurulaji tu huyo akitaka kujua anachokifanya ni kukimbiza upepo akaangalie kule alipoanza ziara yake kama kuna mabadiliko yoyote.

Mwenezi ni mpiga domo tu watendaji hawapaswi kutekeleza ya mwenezi

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2900599

Katibu Mwenezi wa CCM Paulo Makonda, aliyekuwa ziarani kwenye mikoa mbalimbali, ametangaza kusitisha ziara hiyo kufuatia msiba wa Edward Lowassa, aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania.

View attachment 2900600

Bila kumung"unya maneno wala kuweka Unafiki, jambo hili kwangu ni sawa na kejeli.

Makonda alishika namba mbili kutoka kwenye msululu wa vijana na wazee wa ccm waliomtukana Lowassa matusi yote ya dunia hii mnayoyafahamu, ALIYESHIKA NAMBA 1 ALIKUWA NAPE NNAUYE, ni kweli kwamba Watanzania ni wajinga, lakini hawawezi kuwa Wajinga kiasi cha kusahau mambo haya, hawa waliomtukana matusi mazito na kulindwa na watawala, kwenye kifo hiki wameguswa na nini?

Ni kweli kwamba Lowassa amekufa , lakini ni vema wale waliomtukana na kumtaka afe hata kabla hajafa wakanyamaza ili tusifukue kauli zao chafu zikiwemo zile za akina Samuel Sitta na Selina Kombani , Hatutavumilia kauli za WACHEKEA PEMBENI kwa sababu zozote zile .

TUHESHIMIANE

Nitasema kweli Daima Fitna kwangu Mwiko .
Hata Lissu alitaka kwenda CHATO

Inafikirisha
 
Back
Top Bottom