Swadakta,,Azimio Jipya"Askari haendi vitani akimuona adui badala ya kupambana eti anampa mgongo ni vita tu mpaka tone la mwisho.Ingekuwa ni upuuzi kwa namana yeyote ...kuwakubali na kuwa nyeyekea madiwani kwa namna mambo yalivyokuwa...
NIDHAMU NA UWAIBIKAJI ...ni muhimu ...lazima wafukuzwe na wafukuzwe waende mbali kabisa.... MATOKEO YOTE TUTAYAPOKEA!!
Bora kutokee kitakachotokea kuliko kuanza kunyeyekeaana na kukubali vitisho .... vya aina hiyo ndani ya chama.
Hiyo haiatkuwa na HESHIMA WALA NIDHAMU yeyote sasa na siku zijazo. Lazima kukubali uamuzi hata chamamkivunjieke ...lakini kivunjike kwa heshima.
Kuogopa kupoteza mtu au kikundi cha watu ...kwani Chama kitavunjika ...ni Ujinga ...ujinga na udhaifu wa hali ya juu ..ule ambao umifikisha CCM na taifa hapa lililopo..Lina sambaratika kwa kuogopana na kupigiana magoti...!
Ujinga unaofanywa na vijikampeni vya kitoto vya KUVUANA MAGAMBA kwa woga na kutetemekeakea kule CCM ..IWE NI MWIKO ..
...NDIO IWE NI MWIKO CHADEMA ....NA HESHIMA YA CHADEMA IWE HIYO ..CHAMA KIBAKI AU KISIBAKI ..HATUTAKI MAMBO YA KIJINGA KAMA YA KUVUANA GAMBA...kwa udhaifu wa kutia Aibu chama na Taifa la Tanzania.
DO WHAT MUST BE DONE ...DO THE IMPOSSIBLE...TAKE WHATAEVER THE CONSIQUECESES! ..AND GOD BLESS IT..!!!
Hiiki ndicho kinakosekana nchini..hakuna ujasiri, ushujaa wenye upendo wa maamuzi mazito ulioshehini nidhamu na uwajibikaji!!
Hilo haliwezi kukwepa ili kurudisha heshima ya nchi na waasisi wake!