Nanyaro Ephata
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 1,221
- 1,788
<br /><font size="3"><span style="font-family: book antiqua"><b>Mtafaruku wa kisiasa ndani ya CDM halmashauri ya manispaa ya ARUSHA unazidi kuendelea. Madiwani waliofukuzwa na CDM wameandaa kikao jioni ya leo mjini Arusha kwa lengo la kuwapa wananchi hali halisi kuhusiana na sakata zima la CDM hapo A town. <font color="#0000ff">Tunaomba kwa mwenyezi mungu, sakata la CDM liishe salama ili chama kizidi kuchanja mbuga na kushiriki vizuri mchuano wa IGUNGA wasije kupata kisingizio watapopata kipigo cha mbwa mwizi jimboni IGUNGA wasije na kisinngizio cha mtafaruku wa A town.</font></b></span></font>
<br />
Mafilili,huna hoja hayo ni maneno ya mfa maji,ukweli na haki vitashinda daima,chadema bado ni imara sana,na tunajua mbinu zote wanazotaka kutumia,ila bado ari ya umma wa Arusha ipo juu sana,na wanafurahia maamuzi ya CC