Feedback
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 7,988
- 4,507
Kama hata katiba ya Chadema huna hizo imani zinatoka wapi.........wewe endelea tu kuwa na imani zako.Sina tu katiba ya Chadema lakini nina hakika wakienda mahakamani kudai haki yao ya kuondolewa uanachama wao na sababu walizotoa CC ya Chadema nina imani watarudishwa kwa amri ya mahakama na kuendelea na udiwani wao.
lakini vile vile nina imani kama uchaguzi utafanyika katika kata zote hizo tano CCM watachukua kata zote kwani wananchi wamechoshwa na malumbano kila siku bali wanataka maendeleo. na hapo sasa kutakuwa hakuna haja ya muafaka baina ya CCM na Chadema.