CHADEMA, anzisheni TV/Radio Station!

mbona mnavyo tatizo vinaandika habari zilezile kila siku! vimekosa mvuto!

Uhuru na Mzalendo+Habari Lao,Daily Noes,Mtanzania,Rai,The african,+TBC,Clouds Fm,TBC Radio,Uhuru fm,Star tv!!+Tume ya uchaguzi+JESHI LA POLISI+SHIMBO+Kiravu+Makame=(IKULU)
 
Uhuru na Mzalendo+Habari Lao,Daily Noes,Mtanzania,Rai,The african,+TBC,Clouds Fm,TBC Radio,Uhuru fm,Star tv!!+Tume ya uchaguzi+JESHI LA POLISI+SHIMBO+Kiravu+Makame=(IKULU)

Selemani, Salva Rweyemamu, Malaria Sugu, Kishongo, Kalagabhao
 
wazo zuri sana lakini kumbukeni kuna Tume ya mawasiliano (Tume ya serikali ya CCM) TCRA inaweza kuzuia broadcasting - sababu za ki intelegensia. :wink2:
 
Hilo ni wazo jema sana lakini lisilowezekana, hakuna uwezekano wowote kwa TCRA kuiruhusu Chadema au chama chochote cha upinzani kuwa na vituo vya redio wala television.
 
Chama cha Democrasia na Maendeleo (CDM) kina kila sababu sasa kuhakikisha kina azisha kituo cha TV, ili kuondoa hujuma tunazo zishuhudia katika TV yetu ya umma TBC dhidi ya kile kinachoonekana dhahiri kuziminya habari za chama hiki na wakati mwingine kutokukipa muda wa kutosha ukilinganisha na CCM.

Wote tunaelewa kuwa chama hiki kimeonesha kukubalika na wengi hasa vijana wengi wao wakiwa mijini,nadhani hapa jitihada za makusudi zinahitajika zifanyike ili elimu ya mabadiliko ifike mpaka vijijini ambako CCM bado imepafanya kama mtaji wa chama.so nafikiri,kama cdm tv itaanzishwa na ikawa na uwezo wa kuchana mawimbi nchi nzima basi moja kwa moja CCM ijiandae kuzikwa rasmi 2015.

Wito wangu kwa viongozi wa CDM kuandaa mkakati kabambe wa kitaifa waje nao kwa wapenzi na wanachama wote wa CDM bila kuwasahau hata wasiokuwa na chama ili kuendesha mchango wa fedha nchi nzima wa kuanzishwa kwa tv chadema je tuko tayari?.lakini nikileta hoja hii kwenu naomba pia nijulishwe je mamlaka ya anga hapa TZ ina kizuizi kisheria juu ya jambo hili kufanyika? Naomba kuwasilisha
.
 
Usitake kuingiza CHADEMA kwenye mkenge. Chadema staili yake ya kuendesha 'elimu kwa umma' kwa kutumia mikutano ya wazi na wananchi inatosha kuwaelewesha wananchi haki zao za msingi.

Historia inaonyesha kuwa ukianzisha vyombo rasmi vya kuwasiliana na wananchi kwa njia ya radio, TV au gazeti unakaribisha 'mamluki' kujipenyeza na kuchafua hali ya hewa.

CHADEMA iendelee kutumia mikutano na wanachi ili kuishitaki serikali ya CCM kwa kutowajibika kwa wananchi masuala ya RADIO UHURU, STAR TV, magazeti ya UHURU/MZALENDO/DAILY NEWS waachiwe CCM. CHADEMA tayari ina safu za viongozi na makada na wapenzi wake ambao wanatosha kusambaza 'elimu kwa umma juu ya siasa' na hakuna mantiki ya kuingia gharama ya vyombo rasmi vya habari.

Midahalo ambayo CCM huikimbia CHADEMA wanaitumia kikamilifu, vyombo huru kama JamiiForums CHADEMA inashiriki kikamilifu kutetea hoja zake. Mitego hii ya kutaka kuingiza mkenge CHADEMA gharama zisizo na tija inafaa kuepukwa kama suala hili la kuwa na TV/RADIO/Magazeti rasmi.
 
CHADEMA Television

Chama cha Democrasia na Maendeleo (CDM) kina kila sababu sasa kuhakikisha kinaa zisha kituo cha TV ili kuondoa hujuma tunzozishuhudia katika TV yetu ya umma TBC dhidi ya kile kinachoonekana dhahili kuziminya habari za chama hiki na wakati mwingine kutokukipa muda wa kutosha ukilinganisha na CCM.

Wote tunaelewa kuwa chama hiki kimeonesha kukubalika na wengi hasa vijana wengi wao wakiwa mijini, nadhani hapa jitihada za maksudi zinahitajika zifanyike ili elimu ya mabadiliko ifike mpaka vijijini ambako ccm bado imepafanya kama mtaji wa chama.

So nafikiri,kama cdm tv itaanzishwa na ikawa na uwezo wa kuchana mawimbi nchi nzima basi moja kwa moja CCM ijiandae kuzikwa rasmi 2015.

Wito wangu kwa viongozi wa cdm kuandaa mkakati kabambe wa kitaifa waje nao kwa wapenzi na wanachama wote wa cdm bila kuwasahau hata wasiokuwa na chama ili kuendesha mchango wa fedha nchi nzima wa kuanzishwa kwa tv chadema je tuko tayari?

Lakini nikileta hoja hii kwenu naomba pia nijulishwe je mamlaka ya anga hapa tz ina kizuizi kisheria juu ya jambo hili kufanyika?naomba kuwasilisha
.

NB: Haya maneno si ya kwangu bali tu ni kwamba hata na mie hapa nilitamani kuyaona uzuri zaidi, kuyasoma na kuyaelewa.

Hii TV tunalihitaji kama tangu juzi vile!!!
 
nisameheni kwa kupost tread yangu ikiwa kwenye font ndogo,but siyo tabu sana ilimradi mjadala umefika mbele yenu.
 
Usitake kuingiza CHADEMA kwenye mkenge. Chadema staili yake ya kuendesha 'elimu kwa umma' kwa kutumia mikutano ya wazi na wananchi inatosha kuwaelewesha wananchi haki zao za msingi.

Historia inaonyesha kuwa ukianzisha vyombo rasmi vya kuwasiliana na wananchi kwa njia ya radio, TV au gazeti unakaribisha 'mamluki' kujipenyeza na kuchafua hali ya hewa.

CHADEMA iendelee kutumia mikutano na wanachi ili kuishitaki serikali ya CCM kwa kutowajibika kwa wananchi masuala ya RADIO UHURU, STAR TV, magazeti ya UHURU/MZALENDO/DAILY NEWS waachiwe CCM. CHADEMA tayari ina safu za viongozi na makada na wapenzi wake ambao wanatosha kusambaza 'elimu kwa umma juu ya siasa' na hakuna mantiki ya kuingia gharama ya vyombo rasmi vya habari.

Midahalo ambayo CCM huikimbia CHADEMA wanaitumia kikamilifu, vyombo huru kama JamiiForums CHADEMA inashiriki kikamilifu kutetea hoja zake. Mitego hii ya kutaka kuingiza mkenge CHADEMA gharama zisizo na tija inafaa kuepukwa kama suala hili la kuwa na TV/RADIO/Magazeti rasmi.

Kama ingekuwa hesabu nadhani babala ya kwenda na namba kichwani umeenda nayo kisiginoni.
 
Sijakuelewa kabisa mkuu, yaani sijaelewa mantiki hasa ya kukaribisha mamluki na kuchafua hali ya hewa ni kwa CDM tu au chama chochote na kwa nini CCM iwe exempted?.

Hii inanikumbusha ile hoja ya marekani ya kutaka Nchi zote zenye silaha ya nyuklia ziwe disarmed ibakie marekani tu kwa kuwa wao ni taifa lililo more responsible mpaka katika kufikia kutumia nyuklia, walisahau kuwa America ni taifa pekee duniani lililowahi kutumia silaha hizo dhidi ya nchi nyingine(Japan).
 
Usitake kuingiza CHADEMA kwenye mkenge. Chadema staili yake ya kuendesha 'elimu kwa umma' kwa kutumia mikutano ya wazi na wananchi inatosha kuwaelewesha wananchi haki zao za msingi.

Historia inaonyesha kuwa ukianzisha vyombo rasmi vya kuwasiliana na wananchi kwa njia ya radio, TV au gazeti unakaribisha 'mamluki' kujipenyeza na kuchafua hali ya hewa.

CHADEMA iendelee kutumia mikutano na wanachi ili kuishitaki serikali ya CCM kwa kutowajibika kwa wananchi masuala ya RADIO UHURU, STAR TV, magazeti ya UHURU/MZALENDO/DAILY NEWS waachiwe CCM. CHADEMA tayari ina safu za viongozi na makada na wapenzi wake ambao wanatosha kusambaza 'elimu kwa umma juu ya siasa' na hakuna mantiki ya kuingia gharama ya vyombo rasmi vya habari.

Midahalo ambayo CCM huikimbia CHADEMA wanaitumia kikamilifu, vyombo huru kama JamiiForums CHADEMA inashiriki kikamilifu kutetea hoja zake. Mitego hii ya kutaka kuingiza mkenge CHADEMA gharama zisizo na tija inafaa kuepukwa kama suala hili la kuwa na TV/RADIO/Magazeti rasmi.

Kwa hali ilivyo sasa hivi CDM wana kila sababu ya kuanzisha TV station. CCM wanatumia sana TBC, IOTV, Star TV, kwa nini Isiwepo TV ya CDM. Nafikiri, ODM kenya wana TV yao, labda tutafute namna tujifuze toka kwao kuhusu advantage and disadvantages za kuwa na TV station kwa CDM. Au bw Bagamoyo, toa mifano hai ya chama cha siasa kilichoanzisha TV station halafu kikashindwa kuwafikia wananchi. Labda niongeze tu kuwa, CDM waanzishe pia radio station. Sharia na kanuni za kuanzisha zipo. Zifuztwe tu.
 
Vituo vya Tv/Radio ni gharama kuviendesha na kutumia ruzuku za vyama (CHADEMA) kuendesha vyombo vya habari haina tija zaidi ya mikutano ya CHADEMA na wananchi/kuboresha ofisi/mitandao vyuoni n.k
  • Pia CHADEMA kupata source/vyanzo vya hela nje ya ruzuku(matangazo ya biashara/wadhamini) kwa sasa ni mtihani mkubwa
  • Gharama za kuendesha Vyombo vya TV/Radio zitadhoofisha harakati zingine za kuwafikia wananchi kule walipo.
  • Ikiwa gharama za TV/Radio ni Tshs. Billioni 1(Clouds FM/Radio Uhuru bajeti zao ni mfano) kwa mwaka kwa uchache ni project isiyowezekana na ukienda ndani zaidi kufikia umma kona zote kupitia vyomb hivyo TV/Radio ni changamoto. Bora kuwawezesha makada/viongozi mashinani/vyuoni n.k waendeleze moto wa CHADEMA.
  • Mamluki kuingiza studio 'nyaraka za siri za serikali' na kisha kukilaumu CHADEMA ni rahisi au hata kuchoma moto vifaa ghali vya kutendea kazi studio baada ya gharama kubwa kuvinunua ni rahisi kwa mafisadi na kupelekea kukidhoofisha chama cha CHADEMA.
Niishie hapo kuna sababu nyingi tu za 'kiintelejensia' ila kwa mikakati iliyopo ya sasa ya CHADEMA kuwafikia wananchi ni tosha kabisa kuleta mageuzi nchini.
 
Asante ndugu yangu kwa kuwasilisha hoja yako nakubaliana nayo kwa asilimia mia kwani watanzania wengi hufikiwa na habari ukiwa na chombo cha kutangazia na hapa napiga brush nikiongezea na maelezo aliyotoa Mnyika siku ya tarehe 10/4/2011 saa 12 mchana African dream conference centre iliyoko area D Dodoma alivyokuwa akijibu swali lililoulizwa na wanafunzi wanaotoka vyuo vikuu mkoa wa dodoma kuwa je CDM ina mkakati gani wa kuanzisha vyombo vya mawasiliano kama televisionili watanzania wengi waweze kufikiwa na habari kwa urahisi zaidi ?

Akijibu swali hilo kwa niaba ya Dr. willbroad slaa mnyika alisema kati ya mambo ambayo chama imepanga kutekeleza mwezi wa nane watakapo keti kupitisha bajeti ya miaka mitano ni kuhusu television ya chama na kwa sababu pia nanyie mmeona umuhimu wake basi tumechukua kwa msisitizo zaidi kwa hiyo ndugu yangu nikuambie tu kuwa CDM ni chama makini kwa hiyo na wao walisha ona umuhimu wa hilo asante nawasilisha
 
Kwa maoni yangu ni muhimu sana kuwa na Tv. Kutokuwa na vyombo vya habari imetugharimu sana kwa muda mrefu. Fikiria magazeti yote yangekuwa kama magazeti ya habari coporation CHADEMA ingeumia zaidi.

Bahati nzuri kuna magazeti machache yaliyojitahidi kutoegemea upande wa CCM na yametusaidia sana mwaka 2010. Magazeti hayo yote yakitugeuka kama habari coperation tutakuwa wageni wa nani?
 
Sijajua vizuri mchakato wa Kuanzisha Tv umekaaje? maana kuna habari za kuaminika kwamba Wamiliki wa gazeti Mwananch! wana nia ya kuanzisha TV na taratibu zote wamezifuata lakini ni mwaka mmoja na zaidi sasa makalabrasha yao yamekaliwa na mamlaka ya mawasiliano na kila wakifuatilia wanaambiwa bado wanayafanyia kazi. Na mbaya zaidi hawajawaambia kuna tatizo gani labda wakalirekebishe
 
Back
Top Bottom