CHADEMA, anzisheni TV/Radio Station!

Kutokana na msukumo na hali halisi hapa kwetu Tanzania kuonyesha kuwa vyombo vingi vya habari ama kununuliwa na selikali ya CCM au watu wenye maslahi yao binafsi katika kutangaza habari na kutetea upande wao, huku upande wa pili ukikandandamizwa, Ningependa kutoa ombi hasa kwa CHADEMA kumiliki vyombo vyake vya habari hasa televisheni na radio ili wananchi wengi zaidi waweze kupata kile ambacho kinastahili wakipate katika nyanja za kisiasa, kijamii, kiuchumi na kiutamaduni.

Nadhani hilo litakuwa na faida nyingi sana katika kutangaza sera za chama na malengo yake kwa wananchi walio wengi wenye kiu ya mabadiliko katika nchi yetu..

Natoa hoja.
Mungu ibariki Tanzania

hoja imeungwa mkono kwa mikono miwili. natumaini wametupata
 
hili ni wazo la msingi sana maana hata sisi waislam tulioko chadema tunakoswa hata namna ya kuwalipua hawa wajinga wajinga wanaopamba ujinga kupitia ccmavi na mkewe CUF
 
Sijui wanampango gani mana tv zao ckuizi hazieleweki mana itv pekee wakichange tumekwisha wengine wote wapo magamba kuwabeba
 
mi mwenyewe naushangaa uongozi inamaana hilo wazo hawana?jaman bila kujitoa kwa staili hiyo hatutaweza hiyo ni moja ya kitu kikubwa cha kufanya watu waijue chadema
 
hili ni wazo la msingi sana maana hata sisi waislam tulioko chadema tunakoswa hata namna ya kuwalipua hawa wajinga wajinga wanaopamba ujinga kupitia ccmavi na mkewe CUF

Wewe na cuf nani mke kwa ccm sabodo ni ccm mbona Hawapi pesa cuf Ambao no mke kwa ccm anawapa chadema kila anaehama ccm anaenda chadema na anaetokachadema anaenda ccm kina Siri gani na Vipi maalim Seif mikutano yote anayofanya znz haionyeshwi ktk tv
 
Tunataka radio na tv stesheni haraka,kama vipi itisheni harambee kwenye tv kama kipindi kile tuchange......haraka sana
 
Too late. Hata kama wakiamua kufanya hivyo, mchakato wake wa kupata go ahead toka TCRA ni mrefu sana probably 6 months minimum (Practically) na hata wakipewa masuala ya ujenzi wa kituo na mambo ya nufundi ni kadhia nyingine.

Isitoshe, sasa hivi ni zama za Digital TV kwa station zote mpya. Kufikisha signals zako kwa watazamaji lazima upitie (Starmedia) ambao ni TBC, au Basic Transmission (ambao ni Star TV + ITV) au upitie Agape Associates.

Kwa hiyo huenda yakawa yale yale ya Kocha wao, wachezaji, wenyewe, marefa wenyewe, don't expect miracle.

Nakutakia Idd njema mkuu!
wasisingizie watanyimwa kibali hawa jamaa ni wazee wa kupiga tu kwani hata offisi ya maana hawana kwani wako kwa ajiri ya kupiga tu kaja lowasa na pesa yake wanaji
 
Back
Top Bottom