Ntemi Kazwile
JF-Expert Member
- May 14, 2010
- 2,182
- 307
Nyundo - Kuwaponda ponda wale wote wanaotetea haki kwa kutumia vyombo vya dola
ikiwemo usalama wa taifa, majeshi, mawasiliano (kueneza uwongo na uzandiki)
Jembe - Kuwachimbia wananchi mashimo marefu ya ujinga na umasikini kwa kutumia
rushwa, propaganda za chuki na udini. Halafu kuwafukia wasije wakaiona nuru na
kuujua ukweli kwa kutumia vyombo vya mawasiliano kama redio na kuhakikisha
kuwa umasikini huu hauwawezeshi kujipatia habari za kweli kupitia vyombo vilivyo
huru.
Hii ndiyo CCM mpya ambayo falsafa yake ni kuhakikisha kuwa kundi la watawala linalindwa kwa nguvu zote kwa kutumia rasilimali za umma.