CCM: Jembe na Nyundo ni alama sahihi kwa nyakati?

Nyundo - Kuwaponda ponda wale wote wanaotetea haki kwa kutumia vyombo vya dola
ikiwemo usalama wa taifa, majeshi, mawasiliano (kueneza uwongo na uzandiki)

Jembe - Kuwachimbia wananchi mashimo marefu ya ujinga na umasikini kwa kutumia
rushwa, propaganda za chuki na udini. Halafu kuwafukia wasije wakaiona nuru na
kuujua ukweli kwa kutumia vyombo vya mawasiliano kama redio na kuhakikisha
kuwa umasikini huu hauwawezeshi kujipatia habari za kweli kupitia vyombo vilivyo
huru.


Hii ndiyo CCM mpya ambayo falsafa yake ni kuhakikisha kuwa kundi la watawala linalindwa kwa nguvu zote kwa kutumia rasilimali za umma.
 
nyundo - kuwaponda ponda wale wote wanaotetea haki kwa kutumia vyombo vya dola
ikiwemo usalama wa taifa, majeshi, mawasiliano (kueneza uwongo na uzandiki)

jembe - kuwachimbia wananchi mashimo marefu ya ujinga na umasikini kwa kutumia
rushwa, propaganda za chuki na udini. Halafu kuwafukia wasije wakaiona nuru na
kuujua ukweli kwa kutumia vyombo vya mawasiliano kama redio na kuhakikisha
kuwa umasikini huu hauwawezeshi kujipatia habari za kweli kupitia vyombo vilivyo
huru.


Hii ndiyo ccm mpya ambayo falsafa yake ni kuhakikisha kuwa kundi la watawala linalindwa kwa nguvu zote kwa kutumia rasilimali za umma.
te te te te te na huu ni ubunifu pia!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Waweka picha ya VX likiwa linapungiwa mikono na wananchi wenye njaaa
 
Ndugu zangu,
enzi za mwalimu CCM kilikuwa chama cha wafanyakazi na wakulima na ndio maana bendera yake ina jembe ikimaanisha wakulima na ina nyundo ikimaanisha wafanyakazi lakini sasa watu hawa hawana nafasi tena ndani ya chama.hinyo kuna umuhimu wa kubadilisha nembo hizo kwenye bendera ya CCM.
Kwa kuwa sasa CCM kimekuwa chama cha wafanyabiashara na familia zao,kuna umuhimu na bendera yao isadifu wanachama wake. je kama wewe wamekupa tenda ya kubuni nembo mbadala wa JEMBE na NYUNDO UNGEWEKA NEMBO GANI?

Waweke picha ya Noti ya elfu kumi na kibakuli cha kuombea misaada.
 
ndugu zangu,
enzi za mwalimu ccm kilikuwa chama cha wafanyakazi na wakulima na ndio maana bendera yake ina jembe ikimaanisha wakulima na ina nyundo ikimaanisha wafanyakazi lakini sasa watu hawa hawana nafasi tena ndani ya chama.hinyo kuna umuhimu wa kubadilisha nembo hizo kwenye bendera ya ccm.
Kwa kuwa sasa ccm kimekuwa chama cha wafanyabiashara na familia zao,kuna umuhimu na bendera yao isadifu wanachama wake. Je kama wewe wamekupa tenda ya kubuni nembo mbadala wa jembe na nyundo ungeweka nembo gani?

watumie hii v
 
kwanza rangi inabidi iwe ya gold, then waoneshe ile mi-bling kama yakina 50 cent,then kwa pembeni karata za poker, cigar, na Lamborghini ya sllver.
 
kwanza rangi inabidi iwe ya gold, then waoneshe ile mi-bling kama yakina 50 cent,then kwa pembeni karata za poker, cigar, na Lamborghini ya sllver.


imagesCA35V6I7.jpg
 
libaki jembe tu, maana wafanyakazi waliambiwa hata wagome miaka nane hawataongezewa mafao ng'o!
 
Tayari rangi walizoweka zinashabihiana nao, nadhani wana JF tunajua maana zake kama ilivyo kwenye ile ya taifa. Tofauti ni kuwa wameongezea ...kwa nguvu zaidi...

Kwenye nembo kuwe na "kibatari, darasa la tembe, nyumba ya tembe plus barabara ya tembe. Hapa itaonyesha vyema tulikotoka-1961, tulipo-2010 na tuendako-20...
Ila nembo hiyo isichakachuliwe na kupoteza maana.
 
Ccm kuanzia mwenyekti,ktbu,makada makuu,mpaka meneja kampeni wote wajeda,Nashauri waweke Gwanda la wajeda na mabomu ya machozi kwa ajili ya kuchakachua. Pia ile kauli ya Sitatoa wala kupokea rushwa wawauzie chadema,watangaze tenda kama ile ya power tiller ambayo lazima RA atashinda ili kununua itikadi mpya ambayo napendekeza iwe "UKIHOJI MASLAHI YA UMMA KAMA SLAA UTAKUWA UNAHATARISHA AMANI"
 
Kwanza waongeze kuwa ni chama cha wakulima,wafanyakazi na wafanyabiashara ila kuwawakilisha wafanyabiashara inabidi wateu noti yoyote ile
 
Back
Top Bottom