Jembe Ulaya
JF-Expert Member
- Oct 27, 2008
- 456
- 104
Ubinafsi, Tamaa, Ulafi, Ufisadi, Ujanjaujanja....kweli wanahitaji uma na kisu na sio jembe na nyundo.
Nataka niitengeneze vizuri na niisajili kama trademark hii.
Nataka niitengeneze vizuri na niisajili kama trademark hii.
BabuLao,
You have made my day. Thank you very much. Inafanana nao sana!
Dorry alitoa hoja uwekwe na mrija!
ni kweli hiki chama kimekuwa na mweleko wa kutisha, hiki chama hapo mwanzo kililingana na cha kanu kenya na kwa sasa naona pia hakina tofauti na kanu kenya. Nakumbuka hapo nyuma ccm walikua wakienda zimbabwe kwa kampeni za mugabe baada ya zanu pf kuporomoka sasa wako kimyaa!! Nadhani sasa zamu yao kufulia au mwaonaje wenzangu.WanaJF, Maneno hayo nimeyaazima kutoka kwenye post za Isekuu na LAT. Nimejikuta natafakari nini maana ya alama ya Jembe na Nyundo. Je wakati haubadilishi maana? Jembe na Nyundo vimebaki, watu wamebadilika. Je sio muda wa kubadili nembo? Nadhani Umma na Kisu itafaa zaidi. Ni ushauri tu kwa CCM.
hahahahhaha yaani ndo maana yake nilikuwa sijajua! ndo maana Xmaana yake ni mkulima na mfanyakazi hawaruhusiwi kuingia huko na ndiyo maana jembe (mkulima) na nyundo (mfanyakazi) vimewekwa kwa style ya X!!!!............ are you there??