Chief Isike
JF-Expert Member
- Jan 17, 2010
- 445
- 462
Naona CDM wameanza kuvizia kuichukua iliyokuwa himaya ya Rostam. Nafikiri kati ya vitu ambavyo jamaa hawa waliwahi kuwaza au ku-foresee ni pale walipoamua kufanya ziara ya ujenzi wa chama mkoani Tabora mapema mwaka huu ambako pia Dr. Slaa aliupatia mkoa huo hadhi ya kutumika kutangaza/kuongeza majina mengine katika Orodha ya Mafisadi. Ziara hiyo itakuwa ni utangulzi mzuri wa kazi nyingine inayoanza kesho ikiongozwa na Baraza la Vijana (BAVICHA). Makamanda kibao watakuwa mkutanoni kesho. Kama kawa maandamano yataanza kwanza.
Operesheni hii inaitwa Operesheni Chuku Igunga (OCI). Mwenyekiti Heche amezungumza na waandishi wa habari leo kuwajuza tukio la kesho. Ambapo pia 'kamgonga' vibaya, JK na Pinda katika udhaifu wa serikali kuchukua hatua madhubuti kumaliza tatizo la umeme. Mnataka habari zaidi wakuu...? Naomba kuwasilisha.