Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,932
- 32,337
Mkuu, tufahamishe sehemu gani Tanzania kuna wasomi wengi!Igunga ni kugumu sana sababu wananchi uelewa wao kuhusu vyama vya upinzani ni mdogo sana! Kule wasomi ni wachache mno, ndio maana yule muirani alikuwa anachukua jimbo kirahisi sana. But tuombe Mungu wapate ufahamu ili wakombolewe mikononi mwa mafisadi ccm.