BAVICHA kuchakaza Igunga, Operesheni Chukua Igunga

Chief Isike

JF-Expert Member
Jan 17, 2010
445
462
Naona CDM wameanza kuvizia kuichukua iliyokuwa himaya ya Rostam. Nafikiri kati ya vitu ambavyo jamaa hawa waliwahi kuwaza au ku-foresee ni pale walipoamua kufanya ziara ya ujenzi wa chama mkoani Tabora mapema mwaka huu ambako pia Dr. Slaa aliupatia mkoa huo hadhi ya kutumika kutangaza/kuongeza majina mengine katika Orodha ya Mafisadi. Ziara hiyo itakuwa ni utangulzi mzuri wa kazi nyingine inayoanza kesho ikiongozwa na Baraza la Vijana (BAVICHA). Makamanda kibao watakuwa mkutanoni kesho. Kama kawa maandamano yataanza kwanza.

Operesheni hii inaitwa Operesheni Chuku Igunga (OCI). Mwenyekiti Heche amezungumza na waandishi wa habari leo kuwajuza tukio la kesho. Ambapo pia 'kamgonga' vibaya, JK na Pinda katika udhaifu wa serikali kuchukua hatua madhubuti kumaliza tatizo la umeme. Mnataka habari zaidi wakuu...? Naomba kuwasilisha.
 
Nasikia kuna madiwani wa CDM hapo? Wawe intelijensia pamoja na uongozi wa hapo
 
"Mzee ruksa miaka 10 hakuyamalza, mzee Nkapa miaka 10 hakuyamalza, mie miaka 5 hayajaisha nmeongeza 5 mingne hayatakwsha" Jk
 
Kikwete ana kiburi cha kijinga sana. Nafikiri ile kujua kwamba ana jeshi legelege na watanzania wavivu wa kufikiri na kutenda basi anaona hawezi kuguswa na chochote. But naona dalili za kuchoka kwa watanzania zinazidi kuongezeka. Na kadri siku zinavyokwenda ndivyo watu wanavyokata tamaa ya maisha. Juzijuzi tu, tumesikia kijana kajirusha kwenye bwawa la maji machafu huko mabibo na kufa, kisa maisha magumu. Hivi mtu kama huyu ambaye yupo tayari kutoa uhai wake kutokana na ugumu wa maisha ataona shida gani kuingia kupambana na polisi bila kujali uzima wake? Mtu aliyekata tamaa ana nini kilichobaki mikononi mwake?

Na nyie mashabiki wa Kikwete na CCM, mshauri kwa umakini huyu kilaza wenu, manake huu mzahamzaha hutumbua usaha. Atafia pale Ikulu kama anaendelea kufanya mzaha kwenye mambo ambayo yapo serious.
 
kila la kheri CDM tunatarajia kutafanyika kazi ya uhakika sana ili kulipata jimbo hilo...pia haya majimbo mengine ya Bariadi na Monduli nayo tunayasubiri kwa hamu kubwa.
 
Naona CDM wameanza kuvizia kuichukua iliyokuwa himaya ya Rostam. Nafikiri kati ya vitu ambavyo jamaa hawa waliwahi kuwaza au ku-foresee ni pale walipoamua kufanya ziara ya ujenzi wa chama mkoani Tabora mapema mwaka huu ambako pia Dr. Slaa aliupatia mkoa huo hadhi ya kutumika kutangaza/kuongeza majina mengine katika Orodha ya Mafisadi. Ziara hiyo itakuwa ni utangulzi mzuri wa kazi nyingine inayoanza kesho ikiongozwa na Baraza la Vijana (BAVICHA). Makamanda kibao watakuwa mkutanoni kesho. Kama kawa maandamano yataanza kwanza.

Operesheni hii inaitwa Operesheni Chuku Igunga (OCI). Mwenyekiti Heche amezungumza na waandishi wa habari leo kuwajuza tukio la kesho. Ambapo pia 'kamgonga' vibaya, JK na Pinda katika udhaifu wa serikali kuchukua hatua madhubuti kumaliza tatizo la umeme. Mnataka habari zaidi wakuu...? Naomba kuwasilisha.
Kwa nini wasiiite Operation Igunga Chukuliwa yaani OIC?
 
"Mzee ruksa miaka 10 hakuyamalza, mzee Nkapa miaka 10 hakuyamalza, mie miaka 5 hayajaisha nmeongeza 5 mingne hayatakwsha" Jk
Hivi anatufanya hatujui kwamba 10 + 10 + 5 = 25 !!!! Kwani kila rais anayeingia anaanza upya? Watanzania si wajinga kwa hesabu rahisi kama hizi!!!
 
Mkumbushe Cummulative Statistics ndo ataelewa. Watu wengi waliokimbia hesabu ni wezembe hata kwenye kufikiria
 
Kikwete ana kiburi cha kijinga sana. Nafikiri ile kujua kwamba ana jeshi legelege na watanzania wavivu wa kufikiri na kutenda basi anaona hawezi kuguswa na chochote. But naona dalili za kuchoka kwa watanzania zinazidi kuongezeka. Na kadri siku zinavyokwenda ndivyo watu wanavyokata tamaa ya maisha. Juzijuzi tu, tumesikia kijana kajirusha kwenye bwawa la maji machafu huko mabibo na kufa, kisa maisha magumu. Hivi mtu kama huyu ambaye yupo tayari kutoa uhai wake kutokana na ugumu wa maisha ataona shida gani kuingia kupambana na polisi bila kujali uzima wake? Mtu aliyekata tamaa ana nini kilichobaki mikononi mwake?

Ni kweli mkuu. Katika Press Conf' hiyo Kamanda Heche kasema time is coming. Kama serikali hii wont serious na suala la umeme it is likely to be in serious trouble, very serious trouble. Na vijana hao baada ya Igunga wanasema watakuja kutoa tamko kuonesha namna gani kundi la vijana linaathirika na KADHIA hii kubwa. Kauliza juu ya kauli za Rais Kikwete BBC zinazoonesha low thinking na unseriousness katika ku-tackle tatizo hili. lililofanywa kuwa kubwa. Nakubaliana nawe mkubwa, hatuwezi kuendelea namna hii, nchi iko gizani Rais anapata muda wa kwenda kuimba happy birthday SA.
 
HTML:
[HTML]
[/HTML]
Acha uchokozi Mzito Kabwela. OIC inamilikiwa tayari. Inatosha hata hiyo ilimradi ujumbe umefika. Uzuri wa jina siyo utendaji mkuu.

Kweli mkuu. Jamaa anataka kuchokoza mambo mengine tu hapa. Kwani OCI (ambayo by the way ni ya kwangu mwenyewe) ina tatizo gani. Let's go with it.
 
By Degedege
"Mzee ruksa miaka 10 hakuyamalza, mzee Nkapa miaka 10 hakuyamalza, mie miaka 5 hayajaisha nmeongeza 5 mingne hayatakwsha" Jk

Shule yako ndogo nini?Inaonesha jinsi usivyoona mbali,nadhani wewe ni magamba.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom