BAVICHA kuchakaza Igunga, Operesheni Chukua Igunga

wana jamii nawasha tv yangu tbc wanapitisha maandish chadema waanza operation igunga nifahamisheni uzuri chadema wameitangaza lini na wanaianza vipi?
 
Natamani CHADEMA wamsimamishe Said Bagalile original!

Kamanda si unajua cDM hakuna kupeana vyeo, bali ni kugawana majukumu. Mwambie aingie kwenye mchakato agombee. Wananchi nafikiri wanapaswa kupewa nafasi ya kuweka chaguo lao. Au sio kamanda.
 
wana jamii nawasha tv yangu tbc wanapitisha maandish chadema waanza operation igunga nifahamisheni uzuri chadema wameitangaza lini na wanaianza vipi?

Wewe kweli ni junior! Sasa umeingiaje katika hii thread! Ina maana hukusoma kabisa hata topic. Du watu wengine balaa hapa JF.
 
samahani jamani, hivi ni nani katibu wa hawa baba vichaa ( bavicha)?

mkuu,
Tuheshimiane kabisa, hilo jina unalotubatiza sio la kiungwana kabisa, hiyo mipasho ya kisiasa sidhani kama ni mahala pazuri pa kufanyia propoganda za aina hii.
Baraza letu sio la aina ya utenge wa akili kama unavyotaka kuanzisha hapa.
Ugomvi/hofu na ukosefu wa hekima ni hatari sana.
Kama unania ya kumjua katibu wa baraza haina haja ya kuuliza kwa namna hii.
 
CDM ina diwani 1 wakata ya igunga mjini, bw. Vicent Deuka. Washirikiane naye kwa uzuri jimbo lichukuliwe!
 
Matokeo ya Igunga yatakuwa hivi,
CHADEMA 89.9%
CUF 7.1%
MAGAMBA 3.0%
NCCR 2.0%
 
mkuu, Tuheshimiane kabisa, hilo jina unalotubatiza sio la kiungwana kabisa, hiyo mipasho ya kisiasa sidhani kama ni mahala pazuri pa kufanyia propoganda za aina hii.Baraza letu sio la aina ya utenge wa akili kama unavyotaka kuanzisha hapa.Ugomvi/hofu na ukosefu wa hekima ni hatari sana.Kama unania ya kumjua katibu wa baraza haina haja ya kuuliza kwa namna hii.
Kamanda huyo gamba asikuumize kichwa maana wamezoea propaganda zisizo na mashiko so anadhani zitaweza kuichafua (bavicha) propaganda huwa hazina maisha katika ukweli na haki.
 
Naona CDM wameanza kuvizia kuichukua iliyokuwa himaya ya Rostam. Nafikiri kati ya vitu ambavyo jamaa hawa waliwahi kuwaza au ku-foresee ni pale walipoamua kufanya ziara ya ujenzi wa chama mkoani Tabora mapema mwaka huu ambako pia Dr. Slaa aliupatia mkoa huo hadhi ya kutumika kutangaza/kuongeza majina mengine katika Orodha ya Mafisadi. Ziara hiyo itakuwa ni utangulzi mzuri wa kazi nyingine inayoanza kesho ikiongozwa na Baraza la Vijana (BAVICHA). Makamanda kibao watakuwa mkutanoni kesho. Kama kawa maandamano yataanza kwanza.

Operesheni hii inaitwa Operesheni Chuku Igunga (OCI). Mwenyekiti Heche amezungumza na waandishi wa habari leo kuwajuza tukio la kesho. Ambapo pia 'kamgonga' vibaya, JK na Pinda katika udhaifu wa serikali kuchukua hatua madhubuti kumaliza tatizo la umeme. Mnataka habari zaidi wakuu...? Naomba kuwasilisha.

Hapo patamu,. wananchi badilikeni achana na maisha ya kuisaniwa hata mavazi na chakula.... tambua utu wenu na haki ya kupatiwa fursa za uchumi na huduma za kijamii kwani ni haki yenu kuishi maisha mazuri na msidhani umaskini ni halali yenu na utajiri halali kwa wengine
 
Naona CDM wameanza kuvizia kuichukua iliyokuwa himaya ya Rostam. Nafikiri kati ya vitu ambavyo jamaa hawa waliwahi kuwaza au ku-foresee ni pale walipoamua kufanya ziara ya ujenzi wa chama mkoani Tabora mapema mwaka huu ambako pia Dr. Slaa aliupatia mkoa huo hadhi ya kutumika kutangaza/kuongeza majina mengine katika Orodha ya Mafisadi. Ziara hiyo itakuwa ni utangulzi mzuri wa kazi nyingine inayoanza kesho ikiongozwa na Baraza la Vijana (BAVICHA). Makamanda kibao watakuwa mkutanoni kesho. Kama kawa maandamano yataanza kwanza.

Operesheni hii inaitwa Operesheni Chuku Igunga (OCI). Mwenyekiti Heche amezungumza na waandishi wa habari leo kuwajuza tukio la kesho. Ambapo pia 'kamgonga' vibaya, JK na Pinda katika udhaifu wa serikali kuchukua hatua madhubuti kumaliza tatizo la umeme. Mnataka habari zaidi wakuu...? Naomba kuwasilisha.

Haya mawazo yako cdm hayapo, kwani itakuwa ni aibu kubwa kwa kianguko mtakachopata, ccm wamesha mchukua Kubenea kuwa mbunge wa Igunga, hebu nitajie mgombea ambaye unadhani atakuwa na vote kwa Igunga kupitia cdm? Kidogo chama ambacho naona kitakuwa na nguvu pale ni CUF na siyo cdm.cdm 4 igunga ur dreaming.
 
=Major;2268689]Matokeo ya Igunga yatakuwa hivi,
CHADEMA 89.9%
CUF 7.1%
MAGAMBA 3.0%
NCCR 2.0%

Mkuu Major,
Mkishinda kama unavyobashiri, tunakwenda mahakamani kwani mtakuwa mmechakachua.
:biggrin1:
 
Huyu katibu wa Bavicha Heche, siku wanaojiwa Star Tv yeye pamoja na Nape, alisema taingie azaliwe hajawahi kushika milioni mbili. Kwake mtu yoyote hatakae kuwa na zaidi ya milioni mbili ni fisadi. Huyu ndio kichwa cha vijana wa CDM
 
samahani jamani, hivi ni nani katibu wa hawa baba vichaa ( bavicha)?

Hayo mapungufu yako usiyalete huku,una uwezo kabisa wa kuyaficha......

Huyu katibu wa Bavicha Heche, siku wanaojiwa Star Tv yeye pamoja na Nape, alisema taingie azaliwe hajawahi kushika milioni mbili. Kwake mtu yoyote hatakae kuwa na zaidi ya milioni mbili ni fisadi. Huyu ndio kichwa cha vijana wa CDM

Ritz,

Naona umeathirika sana na mfumo wa zidumu fikra bora za Mwenyekiti kwa kaumini hata mwenyekiti wa chama chako ndiye mwenye akili kuliko wote...hebu toka huko kwenye fikra za kijima.This is 21st century for God's sake.Ungesema haya 20 years ago, you could be stoned to death ! ! !
 
Naona CDM wameanza kuvizia kuichukua iliyokuwa himaya ya Rostam. Nafikiri kati ya vitu ambavyo jamaa hawa waliwahi kuwaza au ku-foresee ni pale walipoamua kufanya ziara ya ujenzi wa chama mkoani Tabora mapema mwaka huu ambako pia Dr. Slaa aliupatia mkoa huo hadhi ya kutumika kutangaza/kuongeza majina mengine katika Orodha ya Mafisadi. Ziara hiyo itakuwa ni utangulzi mzuri wa kazi nyingine inayoanza kesho ikiongozwa na Baraza la Vijana (BAVICHA). Makamanda kibao watakuwa mkutanoni kesho. Kama kawa maandamano yataanza kwanza.

Operesheni hii inaitwa Operesheni Chuku Igunga (OCI). Mwenyekiti Heche amezungumza na waandishi wa habari leo kuwajuza tukio la kesho. Ambapo pia 'kamgonga' vibaya, JK na Pinda katika udhaifu wa serikali kuchukua hatua madhubuti kumaliza tatizo la umeme. Mnataka habari zaidi wakuu...? Naomba kuwasilisha.

ili kuwaraisishia wananchi wangeiita OCHI kwa kifupi.
 
Hayo mapungufu yako usiyalete huku,una uwezo kabisa wa kuyaficha......Ritz,Naona umeathirika sana na mfumo wa zidumu fikra bora za Mwenyekiti kwa kaumini hata mwenyekiti wa chama chako ndiye mwenye akili kuliko wote...hebu toka huko kwenye fikra za kijima.This is 21st century for God's sake.Ungesema haya 20 years ago, you could be stoned to death ! ! !
Ben,Mimi ni Indepenent Thinker tena fikra zangu zipo Cognition, tofauti na nyie Pro-CDM ni mateka wa mwenyekiti wenu Mbowe fikra zake ndio mnazitumia wote! Mfano mdogo tumeona kwa Kafulila, tumeona kwa Zitto Kabwe, alivyotaka kugombania Uenyekiti, leo hii tumeona kwa Shibuda amekataa kuwa mateka wa fikra za mwenyekiti unaweza kupoteza ubunge, tumeona uchaguzi wa BAVICHA wewe mwenyewe wamekutosa na unajua kwa nini lakini kwa sababu fikra za mwenyekiti, tumeona suala la Madiwani kina Mallah wamekwenda tofauti na fikra za Mwenyekiti nini kimetokea!Mambo yapo mengi sana ndani ya CDM yanaenda kwa fikra za Mwenyekiti
 
Igunga ni kugumu sana sababu wananchi uelewa wao kuhusu vyama vya upinzani ni mdogo sana! Kule wasomi ni wachache mno, ndio maana yule muirani alikuwa anachukua jimbo kirahisi sana. But tuombe Mungu wapate ufahamu ili wakombolewe mikononi mwa mafisadi ccm.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom