Anfaal
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 1,154
- 113
Duh mie naangalia kwa makini mtiririko wa hoja zako. Hapo unakiri kuwa kuna tatizo kati ya Makamba na Anne possibly hadi kwa baba mwenye nyumba. Sasa akipewa nafasi si itakuwa visasi. Maana ni kama vile wewe unafurahi kibano cha CCM, natambua uchungu wako unaanzia wapi? Lakini duh!!!- Contradictions, Mama Kilango hana sifa zinazotakiwa na CCM lakini huwezi kuzisema hapa kama FACTS, unasema CCM wamezima kambi ya Malecela, lakini Mama kilango amepita kwa kuchaguliwa kuwa mbunge tena kupitia CCM, unasema Mkamba is running the show ni kweli ndio maana kwa mara ya kwanza Chadema wamefundisha adabu CCM, unasema she will never be a Spika maana anayeutoa ni wewe ha! ha! ha! unasema CCM had enough of Malecela's crap, lakini Mama Kilango Malecela bado ameshinda kupitia CCM hiyo hiyo, ha! ha! ha! unajua this coming from a Great Thinker inafurahisha sana.
William.