Anne Kilango achukua fomu ya kuwania spika wa bunge

Wakuu,

Hebu kwa mara ya kwanza baabada ya miezi mitatu bila kuchangia hapa na mimi nichangie.

Tulishakataa maswala ya personal vendata kuyachanganya na mambo ambayo hayawezi kuathiri utendaji wa mtu kazini.

Tume-bend kwenye personal Issues na kusahau credibility muhimu zinazoweza kumkwaza mtu au kumwezesha mtu kuwa spika wa Bunge letu ambalo linatakaiwa kuwa pro-wananchi jinsi inavyopaswa

- Mkuu wangu Ben, maneno mazito sana haya, yazingatiwe!

William.
 
hapo pekundu sawa....
hayo mengine ni nyongeza yako! Bunge lina sheria zake (standing orders) na nadhani kazi kubwa na muhimu kupita zote ya spika ni kuhakikisha wabunge wanafuata hizi sheria. Hayo ya ku-deal na personalities ni mengine kabisa na sidhani kama ni muhimu. Bunge ni sauti huru ya wananchi dhidi ya Serikali. Kwangu mimi hili ndilo jambo muhimu kupita yote na la kuzingatia. Pamoja na hayo...lazima ukumbuke yote haya yako chini ya party politics. kwa hiyo vi vigumu kwa speaker kusimama mbali na chama chake kwa kukiacha kinyanyaswe bungeni! Hili liko wazi katika nchi zote duniani!
Ishu ya mgombea binafsi sio swala speaker bali ni bunge. Kama wabunge wengi watakubali lijadiliwe, basi itambudu speaker kuruhusu lijadiliwe. Lakini papo hapo kumbuka party politics...na hivyo hili swala litaweza kujadiliwa pale tu chama chenye wabunge wengi bungeni kuruhusu mjadala!
Ukizingatia haya yote....Ofisi ya speaker haitajiki kupewa nafasi kubwa katika uongozi wa nchi! Nadhani ni moja ya nafasi zinazohitaji kuwa regulated katika Katiba mpya na kupunguziwa matumizi mabovu ya pesa za umma!!

- Sawa sawa mkuu, maneno mazito sana na ya kuzingatiwa sana!

William.
 
Tanzania ni nchi nchanga bado hatuna demokrasia ya kweli; hii nafasi ya spika ni nafasi nyeti na muhimu ingenikuwa ni vyema badala ya kujali maslahi ya chama wabunge waachiwe wenyewe waamue nani awe kiongozi wao bila ya kuingiliwa na viongozi wa vyama vyao; suala la kuweka mbele maslahi ya chama lingekuwa na mantiki kama vyama hivyo vingeweka mbele maslahi ya wananchi; hivi sasa wabunge hasa wa CCM watapigania nafasi hii kwa maslahi yao binafsi jambo ambalo ni hatari; labda wananchi wapewe nafasi kuwauliza hawa wagombea wapo kwa maslahi binafsi au taifa? CCM salamu za wanachi wamezipata siamini kama wataichezea nafasi hii; pamoja na hitilafu nyingi za kiufundi mh. Kikwete amapata asilimia 61 hii pungufu kwa asilimia 20 za uchaguzi uliopita, hii haikutokana na vyama upinzani kuuza sera zao bali hasira za wananchi dhidi ya utendaji mbovu wa serikali baada ya kashfa nyingi zilizojitokeza ndani ya bunge. Mengi tusingeyajua kama mh. Sitta asingeruhusu mijadala hiyo; tunachowaomba wabunge wetu waweke maslahi ya taifa mbele, wananchi watawachagua tu bila kujali vyama kama ilivyojitokeza kwa mh. Shija, hizi siasa za mizengwe zimepitwa na wakati, mama Killango kama anagombea nafasi hiyo kwa maslahi ya taifa lake namtakia kila la heri, mh. Chenge inawekana kabisa umewafanyia mema sana wanachi wa jimboni mwako lakini una doa kubwa kwa watanzania tangu ulivyokuwa mwanasheria mkuu wa serikali hadi hivi sasa jiengue kwa kulinda heshima ya chama chako na watanzania hayo pia yanamhusu mh. Lowassa; madhambi yenu yanazidi ya Yuda kumsaliti Yesu; mnaweza kumudu nafasi hizo lakini madhambi yenu hamfai, CCM imetumia mabilioni ya pesa kwenye kampeni matokeo yake mh. Kikwete ameambulia asilimia 61 jee wasingetumia pesa na mizengwe angeambulia ngapi? WATANZANIA WANAHITAJI SPIKA MSAFI NA MKWELI TUNAAMINI YUPO NDANI YA CCM :bowl:
 
- Bado naendelea kucheka sana ha! ha! ha! ha! ha! maana ninachotetea ni principle na kwa kutumia FACTS, sio maneno meengi ya mitaaani mitaaani yasiyo na evidence wala FACTS,

- Ndio maana ninasema huu mjadala ni muhimu sana kuonwa na wananchi wengi maana unaweka wazi mchele na pumba zilipo isipokuwa inachekesha saana ha! ha! ha! ha! ha! ha!

William.

To see ur mental retardation, a little thing u say, FACTS, FACTS, FACTS.........what facts do u have...? what..? may be u have FATS in your brain, stop kidding with our lives, Kimada wa baba yako hafai kuwa speaker,Lusinde exellent job kuwaangusha Malecela, i thought ur 21 century young pioneer in thinking, kumbe kama mzee wako, sasa unatufanya ss mafala, check ur time dude, ur sick in darkness, tumbo tu as i said hamna lolote, hasa ww in our generation u meet man like me, u will not cross my line i swear to God, u don't believe me, eti unasema Anne kilango alipewa nafasi nyingi na nzito bungeni,.....!!!! aaaaaaaaahh ww mgonjwa wa ubongo kweli, au i think unamaanisha alikuwa na baba yako kule bungeni hivyo walikuwa na shughuli nzito yao si yetu ss, peleka huko upuuzi, ur such a croock
 
To see ur mental retardation, a little thing u say, FACTS, FACTS, FACTS.........what facts do u have...? what..? may be u have FATS in your brain, stop kidding with our lives, Kimada wa baba yako hafai kuwa speaker,Lusinde exellent job kuwaangusha Malecela, i thought ur 21 century young pioneer in thinking, kumbe kama mzee wako, sasa unatufanya ss mafala, check ur time dude, ur sick in darkness, tumbo tu as i said hamna lolote, hasa ww in our generation u meet man like me, u will not cross my line i swear to God, u don't believe me, ur such a croock

- Mheshimiwa Mbunge Mama Kilango anao uwezo wa kuwa Spika. FACTS: Amekuwa Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, na mbunge wa kuchaguliwa mara mbili, amekuwa mjumbe wa kamati ya ulinzi na usalama wa taifa ya bunge, amekua makamu mwenyekiti muendeshaji wa kamati ya miundo mbinu ya bunge, amekuwa mwenyekiti wa kamati ya uongozi na maadili ya bunge, amemaliza Degree ya kwanza ya Uchumi with honors na sasa ameingia kwenye DEgree ya pili yaani Masters ya Uchumi na pia ni Mbunge mpiganaji.

- FACT: Mama Kilango Malecela ni mke wa Mzee Malecela si kimada kama ulivyosema hapo juu, either ulikuwa na nia ya kupotosha kwa makusudi au ulikuwa hujui.

- Katika uchaguzi wowote wa siasa kunakua na washindi na walioshindwa, kushindwa sio mwisho wa maisha kwenye huu uchaguzi wameshindwa wengi sana na Mzee Malecela ni mmojawapo, aliposhindwa alikubali mara moja kama Demokrasia inavyotaka, hakuleta ubishi wala kilio unaitwa ni ustaarabu na wengine wanahitaji kujifunza, kwamba ukishindwa sio mwisho wa maisha na kwamba bado unaweza kujipanga upya na kugombea tena. Maneno maneno mabovu yasiyo na tija kwa taifa kuhusu walioshindwa katika uchaguzi ndio hua yanaishia kuwafanya walioshindwa kukataa kukubali matokeo, mkuu tukazane kujenga taifa la Demokrasia ambalo wananchi wanakua na nafasi ya kuchagua wanayemtaka bila tatizo na wasiokubalika na wananchi wanakubali bila tatizo.

- Binadam mwingine hawezi kukufanya mjinga, unless wewe mwenyewe umeamua kuwa one!

- Well ni uamuzi wa wabunge wetu kuamua nani awe Spika, kwa vile sasa imethibitishwa kwamba Mheshimiwa Kilango amechukua fomu, ni uamuzi wa wabunge hasa wa Upinzani kuamua nani kati ya waliochukua fomu za U-Spika, anaweza kufaa kwa masilahi ya taifa.

- Naona mwisho umeandika vitisho vingi sana naomba nicheke kwanza on that! ha! ha! ha! ha! kama kweli unaweza kutimiza hayo uliyosema hebu jaribu nione ha! ha! ha! ha!

William.
 
Tanzania ni nchi nchanga bado hatuna demokrasia ya kweli; hii nafasi ya spika ni nafasi nyeti na muhimu ingenikuwa ni vyema badala ya kujali maslahi ya chama wabunge waachiwe wenyewe waamue nani awe kiongozi wao bila ya kuingiliwa na viongozi wa vyama vyao; suala la kuweka mbele maslahi ya chama lingekuwa na mantiki kama vyama hivyo vingeweka mbele maslahi ya wananchi; hivi sasa wabunge hasa wa CCM watapigania nafasi hii kwa maslahi yao binafsi jambo ambalo ni hatari; labda wananchi wapewe nafasi kuwauliza hawa wagombea wapo kwa maslahi binafsi au taifa? CCM salamu za wanachi wamezipata siamini kama wataichezea nafasi hii; pamoja na hitilafu nyingi za kiufundi mh. Kikwete amapata asilimia 61 hii pungufu kwa asilimia 20 za uchaguzi uliopita, hii haikutokana na vyama upinzani kuuza sera zao bali hasira za wananchi dhidi ya utendaji mbovu wa serikali baada ya kashfa nyingi zilizojitokeza ndani ya bunge. Mengi tusingeyajua kama mh. Sitta asingeruhusu mijadala hiyo; tunachowaomba wabunge wetu waweke maslahi ya taifa mbele, wananchi watawachagua tu bila kujali vyama kama ilivyojitokeza kwa mh. Shija, hizi siasa za mizengwe zimepitwa na wakati, mama Killango kama anagombea nafasi hiyo kwa maslahi ya taifa lake namtakia kila la heri, mh. Chenge inawekana kabisa umewafanyia mema sana wanachi wa jimboni mwako lakini una doa kubwa kwa watanzania tangu ulivyokuwa mwanasheria mkuu wa serikali hadi hivi sasa jiengue kwa kulinda heshima ya chama chako na watanzania hayo pia yanamhusu mh. Lowassa; madhambi yenu yanazidi ya Yuda kumsaliti Yesu; mnaweza kumudu nafasi hizo lakini madhambi yenu hamfai, CCM imetumia mabilioni ya pesa kwenye kampeni matokeo yake mh. Kikwete ameambulia asilimia 61 jee wasingetumia pesa na mizengwe angeambulia ngapi? WATANZANIA WANAHITAJI SPIKA MSAFI NA MKWELI TUNAAMINI YUPO NDANI YA CCM :bowl:

- Hatimaye sasa tunaanza kuelekea kwenye njia moja, mkuu nice mawazo mazito sana!

William.
 
Ushauri kwa mzee malecela , apumzike wala, asijihusishe na siasa za bongo, zitamuhumiza kichwa bure
 
icon1.gif
Re: Anne Kilango achukua fomu ya kuwania spika wa bunge

Ushauri kwa mzee malecela , apumzike wala, asijihusishe na siasa za bongo, zitamuhumiza kichwa bure

- Mkuu heshima sana, vipi kwani aliyechukua fomu ya U-Spika ni mama au mzee?

William.
 
Unajua Kikwete kaharibu kila kitu nchi hii, Kikwete alivyofanikiwa kuwa rais basi kila mtu anataka kuwa kila kitu, kuanzia Zamaradi kutaka kuwa mbunge kama feel good confidence building therapy mpaka Anna Kilango-Malecela anapotaka kuwa Spika wa bunge.

It's open season, kinachotakiwa ni ambition tu, ambayo kila mwanasiasa na mtoto na mjukuu wake wanayo. Uwezo si jambo la msingi.

and what is the problem with that?
Kila mtu ana haki ya kufuata ndoto yake...
the only problem ni kuwa pesa na woga wa waTz unafanya kusiwe na mchujo mzuri!
 
W.J,. Malecela, naona umekaza kwelikweli kujibu hoja.

ukiniuliza mimi nani awe spika kati ya Sita, Makinda na Kilango. nitasema Kilango kwa sababu naona yeye angalau yupo juu ya wengine katika kutetea maslahi ya Taifa. nitampa kura yangu (if i was allowed to vote).... kama si kilango watu wengine ambao naona wanaweza kuwa wazuri ni Mwakyembe, Selelii, Ole Sendeka..
otherwise wakiweka mtu ambaye atakataa mijadala mizito kuchukua nafasi yake basi atakuwa anatengeneza njia nyeupe kwa wapinzani kushinda..

inabidi CCM itambue kwamba lazima wabunge wake wajirekebishe inapofika suala la kutetea maslahi ya Taifa... waache kwende na msimamo wa kichama.-- waongozwe na maslahi ya TAIFA!!.
 
W. J. Malecela; Re: Anne Kilango achukua fomu ya kuwania spika wa bunge

William somo la siasa za CCM umelielewa? Hii ndiyo CCM inatuongoza kwenye karne hii ya 21 FACTS hawana, chama kimejaa ubinafsi vitina na majungu. Vijana wenye ari kama wewe wanahitajika sana kwenye kubadili mwelekeo wa chama.
 
Back
Top Bottom