Anne Kilango achukua fomu ya kuwania spika wa bunge

- Contradictions, Mama Kilango hana sifa zinazotakiwa na CCM lakini huwezi kuzisema hapa kama FACTS, unasema CCM wamezima kambi ya Malecela, lakini Mama kilango amepita kwa kuchaguliwa kuwa mbunge tena kupitia CCM, unasema Mkamba is running the show ni kweli ndio maana kwa mara ya kwanza Chadema wamefundisha adabu CCM, unasema she will never be a Spika maana anayeutoa ni wewe ha! ha! ha! unasema CCM had enough of Malecela's crap, lakini Mama Kilango Malecela bado ameshinda kupitia CCM hiyo hiyo, ha! ha! ha! unajua this coming from a Great Thinker inafurahisha sana.

William.
Duh mie naangalia kwa makini mtiririko wa hoja zako. Hapo unakiri kuwa kuna tatizo kati ya Makamba na Anne possibly hadi kwa baba mwenye nyumba. Sasa akipewa nafasi si itakuwa visasi. Maana ni kama vile wewe unafurahi kibano cha CCM, natambua uchungu wako unaanzia wapi? Lakini duh!!!
 
William samahani umekwenda shule wapi? CCM hawaangalii uwezo wa utendaji kazi, kama uwezo ni Kikwete asingekuwa raisi , kama ni suala la uwezo naamini kabisa hana uwezo kuwa kuwa spika, unapojadili mada siku zote mada mpya( yatokanayo) zitajitokeza. Usijadili mada kama kihiyo na hilo ndilo linalotutatiza hapa. Kama hoja kubwa ilikuwa ni Kilango kugombea na tusijadili zaidi labda usiingeileta ama ungetoa kwa mfumo wa kura ya maoni, vnginevyo JF waitaijadili kwa mapana na marefu.
 
- Again ninasema hivi haya hayana anything to do na topic at hand, ukitaka unaweza kufungua topic yake ila hapa ni sifa za Uspika tu!

- Well, ninataka kuamini kwamba wewe umeenda shule kubwa sana, unasema kama CCM ingekua inajali uwezo Dr. Kikwete asingekua Rais, maana ni CCM kama chama ndio wanachagua nani awe Rais wa Tanzania, loh! na haya mawazo yameandikwa na Great Thinker as a FACT! na mpaka kuuliza shule za member wengine!

- Well sio siri mkuu kwa hoja zako hizi kwamba una shule kubwa sana.

William.
 
Huyu mama kwa kutumia Jaziba yake alikuwa anaitwa mpiganaji hapa JF. Sasa hivi Jazba yake imekuwa liability. Kitu kikubwa nachokiona hapa ni hile hoja kuwa majimbo yenye so called wasomi, ni lazima wachague CHADEMA. Na wapiga kura wakichagua mtu kutoka CCM, watu wa kutoka majimbo hayo waliopo hapa JF wanajiona inferior.

Mama kashinda katika jimbo ambalo CHADEMA walifikiri kuwa watashinda. Na kilichobaki sasa watu ku-vent frustrations zao.
 
- Again ninasema hivi haya hayana anything to do na topic at hand, ukitaka unaweza kufungua topic yake ila hapa ni sifa za Uspika tu!

William.
Lakini ndio ulichoandika. Na pia kama hakuna uhusiano wa kueleweka kati ya katibu wa CHAMA na spika anayetokana na CHAMA kitafuata kitu gani hapo? Mahusiano yake na CHAMA chake ni muhimu zaidi katika mjadala huu wa kama anafaa au la.
 
Huyu mama kwa kutumia Jaziba yake alikuwa anaitwa mpiganaji hapa JF. Sasa hivi Jazba yake imekuwa liability. Kitu kikubwa nachokiona hapa ni hile hoja kuwa majimbo yenye so called wasomi, ni lazima wachague CHADEMA. Na wapiga kura wakichagua mtu kutoka CCM, watu wa kutoka majimbo hayo waliopo hapa JF wanajiona inferior.

Mama kashinda katika jimbo ambalo CHADEMA walifikiri kuwa watashinda. Na kilichobaki sasa watu ku-vent frustrations zao.

- Mkuu unajua bila mijadala ya wazi namna hii ni rahisi sana mtu kuharibiwa jina hapa JF, nafikiri unaona mwenyewe kwamba hakuna lolote ila ni yale yale tu ya Dr. Slaa na mke wa mtu, ambayo hayawezi kulisaidia taifa anything, kinachosikitisha sana ni all this coming from Great Thinkers!

William.
 
Unataka kuniambia Kikwete wakati anagombea ndani ccm 2005 alikuwa bora kiutendaji kuliko wagombea wanzake? nenda kapitie majina ya 2005 ndani ya ccm changanua wagombea majibu utayapata, narudia tena nipe kiwango chako cha elimu.
 
Lakini ndio ulichoandika. Na pia kama hakuna uhusiano wa kueleweka kati ya katibu wa CHAMA na spika anayetokana na CHAMA kitafuata kitu gani hapo? Mahusiano yake na CHAMA chake ni muhimu zaidi katika mjadala huu wa kama anafaa au la.

- Sasa mkuu hayo mahusiano kati ya Spika na katibu wake wewe unaonekana kuyafahamu sana labda uyaweke hapa as FACTS, halafu pia utuwekee mahusiano ma-Spika wote waliopita na makatibu wa CCM yalikuwaje?

- Vipi ukianza na Sitta na Makamba mahusiano yao yalikuwaje maana unaonekana kufahamu sana mambo haya mkuu, tuwekee tu hapa!

William.
 
Unataka kuniambia Kikwete wakati anagombea ndani ccm 2005 alikuwa bora kiutendaji kuliko wagombea wanzake? nenda kapitie majina ya 2005 ndani ya ccm changanua wagombea majibu utayapata, narudia tena nipe kiwango chako cha elimu.

- Mkuu bado tu huelewi kwamba CCM haichagui Rais ni sisi wananchi wa Tanzania ndio tunamchagua Rais, sasa ni kwa nini nipoteze muda wangu kama hata vitu basic tu hivi huelewi?

William.
 
- Mama Anne Kilango Malecela, amekuwa mbunge wa muda mrefu sana sasa toka wa kuteuliwa na Rais Mkapa, na hii ni mara ya pili anachaguliwa na wananchi kuwakilisha jimbo lake la Same East,

- Akiwa bungeni, amekuwa mjumbe wa kamati ya ulinzi na usalama, Makamu wa Mwenyekiti Miundo Mbinu, Mwenyekiti kamati ya Maadili ya bunge, kama ni mabifu yangejiotokeza kwenye hizo kamati hasa akiwa Mwenyekiti wa Maadili ya bunge,

- Sheria iko wazi kwamba mbunge yoyote anaweza kugombea na kuchaguliwa kuwa Spika, wananchi wa Same East siamini kwamba wanaweza kumuondoa Waziri maarufu kama Daniel Yona na kumpa Jimbo Mama Kilango, ambaye ni mapepe na hajatulia mambo mengine ni kwa Great Thinkers kutumia common sense japo kidogo tu kabla hutjaandika hapa uwanja mtukufu.

William.

Mkate kwa baba....
 
- Mkuu unajua bila mijadala ya wazi namna hii ni rahisi sana mtu kuharibiwa jina hapa JF, nafikiri unaona mwenyewe kwamba hakuna lolote ila ni yale yale tu ya Dr. Slaa na mke wa mtu, ambayo hayawezi kulisaidia taifa anything, kinachosikitisha sana ni all this coming from Great Thinkers!

William.

Sidhani kama topic hii inasaidia chochote katika kujadili hoja za kulisaidia taifa. Kinachoonekana hapa ni utetezi wa hoja na upande wa pili ni upinzani wa hoja. Mmoja akisema hili na mwingine au wengine wakisema lile. Ajabu ni kuwa kila upande unaubeza upande wa pili katika hoja hafifu isiyo na mchango katika kulijenga taifa.

Naomba tuishie hapa na kujadili mengine kama ni kwa namna gani mtu wa kawaida atafaidi matunda na utajiri wa nchi na si wachache walio ama wanasiasa au wako connected na wanasiasa kimaslahi, kifamilia, au kibiashara.
 
unasahau ccm wanaanzia ndani ya chama kupitisha wagomebea wao, kitu gani ambacho huelewi? unachichanganya mwenyewe wewe ndio huelewi soma vizuri kabla hujaandika pumba zako.
 
- Mkuu unajua bila mijadala ya wazi namna hii ni rahisi sana mtu kuharibiwa jina hapa JF, nafikiri unaona mwenyewe kwamba hakuna lolote ila ni yale yale tu ya Dr. Slaa na mke wa mtu, ambayo hayawezi kulisaidia taifa anything, kinachosikitisha sana ni all this coming from Great Thinkers!

William.

Hiyo ya kujiita Great thinkers is a far-fetched entitlement. Kuna watu hapa wanasoma hivi vitu na bila kufanya utafiti wanachukua kama ni vigezo vya kujenga hoja. Hoja lazima ijengwe kwa facts.
 
unasahau ccm wanaanzia ndani ya chama kupitisha wagomebea wao, kitu gani ambacho huelewi? unachichanganya mwenyewe wewe ndio huelewi soma vizuri kabla hujaandika pumba zako.

- Pumba ni kusema kwamba Rais wa Tanzania anachaguliwa na CCM.

William.
 
Hiyo ya kujiita Great thinkers is a far-fetched entitlement. Kuna watu hapa wanasoma hivi vitu na bila kufanya utafiti wanachukua kama ni vigezo vya kujenga hoja. Hoja lazima ijengwe kwa facts.

- Thaanks bro, naona kwa leo imetosha sana hapa ngoja niweke kalamu chini sasa.

William.
 
nionyeshe wapi nilisema Raisi wa Tanzania anachaguliwa na ccm? inukuu hiyo sentensi kama ilivyo
 
- Naona hoja hamna tena maana haya unayoyasema hayanihusu na wala hayahusu the topic, unajua kufikia maneno kama haya ndio maana huwa ninawambia viongozi wa CCM kwamba wajifunze kuwaltea watu wao hapa kujadili kwa nia njema with facts, sasa tizama bro wewe ndiye unaheshimika sana hapa kwa kushambulia members wenye hoja against Upinzani, lakini tizama sasa unavyochekesha hoja huna wala facts huna.

- I mean nimekuona mara ka mara ukitisha watu hapa na matusi na kejeli as if una hoja, sasa tizama mtumzima unavyoabika mpaka kuishia maneno ya hovyo hovyo ya mitaani, jifunzeni kuongea na facts na hoja badala ya ngebele ngebele kama kwenye vilabu vya pombe huu ni uwanja wa Great Thinkers muwe mnafikiria sana hili jina kabla ya kuruka ruka hapa na maneno yasiyo fananana jina la Forums!

- Nimemaliza sasa, Ahsanteni Wakuu!

William.
naona bado upo mkuu... great thinker, uko gado kichizi... lakini huyo mama kilango hafai kuwa spika, period!!! Mtafutieni kazi nyingine kama zile za umemba wa bodi nk. sio spika, kichwa chake ni kidogo kwa ile kazi

sasa unashindana nini na facts?
ah
 
- Sasa mkuu hayo mahusiano kati ya Spika na katibu wake wewe unaonekana kuyafahamu sana labda uyaweke hapa as FACTS, halafu pia utuwekee mahusiano ma-Spika wote waliopita na makatibu wa CCM yalikuwaje?

- Vipi ukianza na Sitta na Makamba mahusiano yao yalikuwaje maana unaonekana kufahamu sana mambo haya mkuu, tuwekee tu hapa!

William.
Wewe ndio ulianza kuzungumzia uhusiano kati ya kina Makamba na kina Anne. Lakini huyu mama ni mmoja wa watu waliochangia CCM kufanya vibaya. Maana alikuwa akiropoka hadharani na kwa jazba na kusahau kabisa huwa kuna mengine yanaongelewa ndani ya CHAMA. Uspika kwa nchi kama zetu na nyinginezo unahitaji mtu atakayekuwa tayari kukilinda CHAMA chake pia. Huyu hatakuwa mlinzi bali mharibifu.
 
Back
Top Bottom