Anne Kilango achukua fomu ya kuwania spika wa bunge

labda kama FACTS zako unazipata kwenye michuzi nitakubaliana na wewe, Kilango hana sifa zinazotakiwa na CCM; kwani CCM wameshafanikiwa kuizima kambi ya Malecela, Jemedari Makamba is one who run the show, whether you like it or not she will never be speaker, CCM had enough of Malecela crap.

- Contradictions, Mama Kilango hana sifa zinazotakiwa na CCM lakini huwezi kuzisema hapa kama FACTS, unasema CCM wamezima kambi ya Malecela, lakini Mama kilango amepita kwa kuchaguliwa kuwa mbunge tena kupitia CCM, unasema Mkamba is running the show ni kweli ndio maana kwa mara ya kwanza Chadema wamefundisha adabu CCM, unasema she will never be a Spika maana anayeutoa ni wewe ha! ha! ha! unasema CCM had enough of Malecela's crap, lakini Mama Kilango Malecela bado ameshinda kupitia CCM hiyo hiyo, ha! ha! ha! unajua this coming from a Great Thinker inafurahisha sana.

William.
 
William just to remind you CCM is mafia style like organization, its not about the peoples, party interests comes first, you might have positive views about Kilango, unfortunate CCM view Malecela and company including her as a threat, keep dreaming with your facts; the same apply to Sitta who soon will become former speaker.
 
Spika ni moderator, atadeal na party politics katika ku deal na miswada, na hata katika parties kuna factions e.g, CCM Mtandao na wengine. Halafu hapo hapo kuna drama za kudeal na personalities kibao zenye egos za aina tofauti bungeni, kuanzia masela kina Mr. II Sugu mpaka ma profesa Tibaijuka wanaofikiri wamesoma mpaka kuona kibao kilichoandikwa "Hapa ndipo mwisho wa usomi".

Zaidi ya hapo kuna politics na mihimili mingine ya dola kama mahakama na uongozi, jaji mkuu mara anamrushia mpira Spika hoja ya mgombea binafsi si suala la kisheria ni suala la kisiasa lijadiliwe bungeni, mara rais kaunda kamati ya bunge sijui kuchunguza kitu gani, mara Rostam anataka ku influence vitu bungeni kwa habari za ufisadi kwa kupitia ofisi gani ya serikali, hapo hata sijaingia kwenye wapinzani watakaosema Spika anapendelea CCM na kudai equal, if not special treatment, bado sijaingia Wazanzibari na Wazanzibara, huyu mama atasnap na kututia aibu tu, hana staha wala uhimilivu unaotakiwa na hii kazi.

- Mkuu ukweli ni kwamba mengi uliyoyasema kama FACTS huanzia kupitia kwenye kamati ya maadili na uongozi ambakp Mama kilango Malecela, amekua Mwenyekiti kwa miaka mitano iliyopita na hakuna hata wakati mmoja tumesikia ame-snap, ametia aibu, au amekosa staha na uvumilivu, lakini kama ulivyosema mwenyewe ni haki yako kama mwananchi kuwa na haya maoni!

William.
 
mnajipeleka wenyewe kwenye blue corner na mkila za uso mnasema mmeonewa, kabla ya kuchukua mtu mwenyewe na wapambe wajipime na kuchukua hatua.

sidhani kama ccm watakosea tena!
 
- Ndio tunaita Great Thinking, saafi sana mkuu!

William.

huyu mama kwa nini alitudamganya na ahadi ya kiwanda cha tangawizi nafuatilia sana siasa za huyu mama na nina uhakika kuwa wananchi wamemrudisha kutokana na historia ya wabunge waliopita yeye kama yeye amekuwa karibu sana na wananchi wake tofauti na kina Mgonja au Yona ndhirA..LAKINI HIKI SIO KIPIMO CHA KUWA AMEWATENDEA mambo meama watu wa same mashariki
au kama kuna jambo lolote unalolijua kuwa kalifanya pale same mashariki niambie hapa
 
William just to remind you CCM is mafia style like organization, its not about the peoples, party interests comes first, you might have positive views about Kilango, unfortunate CCM view Malecela and company including her as a threat, keep dreaming with your facts; the same apply to Sitta who soon will become former speaker.

- Ninachosema ni kwamba Mama kilango ana haki ya kugombea anything kama mwanachi wa Tanzania, kama hafai ni wapiga kura ndio waamue, kule jimboni wamesema anafaa kuwa mbunge wao kwa mara ya pili, na CCM imemkubali kwamba anafaa kugombea kupitia CCM yenyewe ambayo sasa unasema haimtaki maana yeye sio interest ya CCM, maana CM ni mafia and the rest of the story loh!

- Na all this is coming from a Great Thinker!, kwa kweli Mungu Aibarikie Tanzania!

William.
 
huyu mama kwa nini alitudamganya na ahadi ya kiwanda cha tangawizi nafuatilia sana siasa za huyu mama na nina uhakika kuwa wananchi wamemrudisha kutokana na historia ya wabunge waliopita yeye kama yeye amekuwa karibu sana na wananchi wake tofauti na kina Mgonja au Yona ndhirA..LAKINI HIKI SIO KIPIMO CHA KUWA AMEWATENDEA mambo meama watu wa same mashariki
au kama kuna jambo lolote unalolijua kuwa kalifanya pale same mashariki niambie hap
a

- Sasa ya yeye kufaa au kutofaa kuwa Spika yameisha tena bro? Maana sasa naona inakuwa subject nyingine kabisaa vipi labda ufungulie topic mpya ya hayo mengine au?

william.
 
- Sasa ya yeye kufaa au kutofaa kuwa Spika yameisha tena bro? Maana sasa naona inakuwa subject nyingine kabisaa vipi labda ufungulie topic mpya ya hayo mengine au?

william.

sasa kama hajasaidia jimbo lake iweje aweze kuongoza bunge??......usimind hapa ndio JF na sijjaribu kumpaka mtu matope hapa najaribu kuongea fact:
 
mnajipeleka wenyewe kwenye blue corner na mkila za uso mnasema mmeonewa, kabla ya kuchukua mtu mwenyewe na wapambe wajipime na kuchukua hatua.

sidhani kama ccm watakosea tena!

- Very interesting hudhani kama CCM watakosea tena, walikosea on what? Unasema CCM walikosea kumruhusu Mama kilango kugombea ubunge na sasa hawatmruhusu kuwa Spika ot what?

William.
 
sasa kama hajasaidia jimbo lake iweje aweze kuongoza bunge??......usimind hapa ndio JF

- Unasema kulisaidia jimbo ndio sifa ya kuwa Spika? hivi unajua kwamba hata mwananchi wa kawaida anaruhusiwa kugombea U-Spika kwa mujibu wa katiba yetu ya jamhuri sasa kama sifa ni kulisaidia jimbo itakuwaje kwa wanaogombea na sio wabunge?

- Halafu unasema nis-mind maana hii ni JF ha! ha! wewe kweli unaamini kwamba unaijua hii JF kuliko mimi?

sijamaanisha hivyo
 
kwa ninisasa hakuenda moja kwa moja kwenda kugombea uspika basi, na akaanza na ubunge... anajua wazi kuwa hatapata huo uspika
 
hana tofauti na JOSEFINE MUSHUMBUZI, ILA YEYE ANNE KILANGO ANA AFADHALI KIDOGO KWANI HAJAIKIMBIA NDOA YAKE WALA KUINGILIA NDOA YA MWINGINE.

Una hakika na hilo?

Hebu mtafute Engr Kange umuulize, kabla hujajibu. Watoto wanne si wa kuokotwa.

Pia ukipata nafasi pata pia maoni ya Tatu Ntimizi kuhusu vikumbo.

Usione mamba katulia ukadhani gogo la mti.
 
kwa ninisasa hakuenda moja kwa moja kwenda kugombea uspika basi, na akaanza na ubunge... anajua wazi kuwa hatapata huo uspika

- Kama anagombea au hagombei U-spika sujui na I could careless hayanihusu, ninachojadili hapa ni haki yake kisheria kama mwananchi wa Tanzania na mbunge if you will, na kama anazo sifa as FACTS za kisheria na kisiasa kugombea hiyo nafasi, that is all!

William.
 
Una hakika na hilo?

Hebu mtafute Engr Kange umuulize, kabla hujajibu. Watoto wanne si wa kuokotwa.

Pia ukipata nafasi pata pia maoni ya Tatu Ntimizi kuhusu vikumbo.

Usione mamba katulia ukadhani gogo la mti.

:focus:
 
- Yale yale ya Dr. Slaa na mke wa mtu sina nafasi nayo!, halafu ni aibu sana coming from you mtu unayeheshimika sana na society, inasikitisha sana na pia inachekesha sana,

- Ila nimeipenda sana hii ya mamba kutulia maana in the process mtu unaweza kujisema mwenyewe who you are ha! ha! ha! ha!

William
 
sijamaanisha hivyo
usiwe mnyonge simba sports klab mwenzangu...

huyo malecela anweza kubishana hata na redio mambo yakimhusu anne kilango... na ukibisha zaidi atakuambia alikua anamuendesha RO New york utaona

BBwaahahaaaaaaa:hurt:
 
unarudia maneno, nilishasema awali mtanzania yeyote anayohaki ya kugombea nafasi ya spika bila kujali kama ni mbunge, Kilango achilia mbali kwamba ni mbunge anayohaki hiyo nanichaoongelea mimi ni yeye kushinda nafasi hiyo, suala la yeye kuwa mbunge huo ulikuwa ni uamuzi wa watanzania jimboni mwake, mfumo wa sasa wa kura za maoni jimboni wanaccm wana sauti ya kutaka nani wamesimamishe, kamati kuu ilipitisha maamuzi ya wanaccm waliyoyafanya jimboni ingawaje baadhi ya wagombea waliondolewa hata baada ya kushinda kwenye maoni, narudia tena kukuelewesha spika atatoka ndani ya ccm kwan wana majority, wabunge wa ccm watapiga kura kwa mafuata maelekezo ya kamati kuu. Kilango ni mke wa Maelecela, Mumewe yaani Malecela ndiye chanzo kikubwa cha mpasuko ndani ya ccm, kazi kubwa ya Makamba ilikuwa kuizima kambi ya Malecela kitu ambacho wamefanikiwa, Kilango hawezi kupata support ya wabunge wa ccm kwani kura zao watapiga kwa maelekezo, Kilango anayohaki ya kimsingi kugombea kama mtanzania yeyote, ninachoongelea mimi wabunge wa ccm hawatampa nafasi. Tukubaliane kwenye hilo halafu tuendelee na mjadala .
 
- Naona hoja hamna tena maana haya unayoyasema hayanihusu na wala hayahusu the topic, unajua kufikia maneno kama haya ndio maana huwa ninawambia viongozi wa CCM kwamba wajifunze kuwaltea watu wao hapa kujadili kwa nia njema with facts, sasa tizama bro wewe ndiye unaheshimika sana hapa kwa kushambulia members wenye hoja against Upinzani, lakini tizama sasa unavyochekesha hoja huna wala facts huna.

- I mean nimekuona mara ka mara ukitisha watu hapa na matusi na kejeli as if una hoja, sasa tizama mtumzima unavyoabika mpaka kuishia maneno ya hovyo hovyo ya mitaani, jifunzeni kuongea na facts na hoja badala ya ngebele ngebele kama kwenye vilabu vya pombe huu ni uwanja wa Great Thinkers muwe mnafikiria sana hili jina kabla ya kuruka ruka hapa na maneno yasiyo fananana jina la Forums!

- Nimemaliza sasa, Ahsanteni Wakuu!

William.
 
unarudia maneno, nilishasema awali mtanzania yeyote anayohaki ya kugombea nafasi ya spika bila kujali kama ni mbunge, Kilango achilia mbali kwamba ni mbunge anayohaki hiyo nanichaoongelea mimi ni yeye kushinda nafasi hiyo, suala la yeye kuwa mbunge huo ulikuwa ni uamuzi wa watanzania jimboni mwake, mfumo wa sasa wa kura za maoni jimboni wanaccm wana sauti ya kutaka nani wamesimamishe, kamati kuu ilipitisha maamuzi ya wanaccm waliyoyafanya jimboni ingawaje baadhi ya wagombea waliondolewa hata baada ya kushinda kwenye maoni, narudia tena kukuelewesha spika atatoka ndani ya ccm kwan wana majority, wabunge wa ccm watapiga kura kwa mafuata maelekezo ya kamati kuu. Kilango ni mke wa Maelecela, Mumewe yaani Malecela ndiye chanzo kikubwa cha mpasuko ndani ya ccm, kazi kubwa ya Makamba ilikuwa kuizima kambi ya Malecela kitu ambacho wamefanikiwa, Kilango hawezi kupata support ya wabunge wa ccm kwani kura zao watapiga kwa maelekezo, Kilango anayohaki ya kimsingi kugombea kama mtanzania yeyote, ninachoongelea mimi wabunge wa ccm hawatampa nafasi. Tukubaliane kwenye hilo halafu tuendelee na mjadala .

- Mkuu ungefungua mjadala mpya kuhusu CCM makundi na nani ana nafasi ya kuwa Spika kwenye bunge lijalo, unasema maneno mengi sana ambayo hayana anything to do na topic at hand, ninachosema ni kwamba Mama Kilango ana haki ya kugombea U-Spika na ana uwezo wa kushika hiyo nafasi, ya kama anagombea sijui, kama atashinda sijui maana hayanihusu!

William.
 
Back
Top Bottom