Mpoki yeye Bukoba mjini, kwa ticket ya Magamba !Si muda mrefu na joti ataenda kugombe morogoro!
nilikua nimechoka but nimejikuta nacheka
mwacheni afande sele aitumie haki yake.
wema sepetu kuwa mbunge wa Kinondoni!!!
Habar wana jf!
Mwanamziki wa hip pop nchini bw. Selemani msindi (afande sele) ametangaza nia ya kugombea ubunge moro mjini 2015, japokuwa hakutaja chama atakachogombea but nimefanya utafiti mdogo nyumbani kwao matombo-moro watu wengi wamesema atagombea kupitia CDM.
Source:xxl ya clouds fm jana mchana.
Huyu si ni mtoto Sugu kimuziki? Like father like son, lazima na yeye awe CDM tu, also nafikiri Afande ni under 40yrs, hiki kizazi ni cha mageuzi tu, ukiona yupo magamba ujue iko namna!
Acha uongo. Alimpaisha sana Julius Mtatiro. Huenda akagombea kwa tiketi ya ndama (CALF).