Afande Sele kugombea ubunge 2015

ni kweli but 2015 kura za maoni cdm patachimbika kwani kuna kichwa hapa moro kiligombea kuipitia cdm kinaitwa aman mwaipaja kni mwansheria kitaaluma na hoja sana kama zitto au mnyika.

huyo amani mwaipya goi goi kweli kweli, hakuwa serious kwenye kampeni 2010, alikuwa kama anajifunza nini maana ya siasa yaani kama alikuwa darasani, 2015 tunahitaji mtu serious,mwenye malengo, alikuwa anatoa photocopy picha zake za kampeni na kuzibandika, .goi goi kweeeli
 
CDM na wavuta bangi wakuvua nguo jukwani wapi na wapi :nono: labda aende kwa magamba ama ccm b (CUF) CDM tunahitaji vichwa vya maana
 
Jamani kila chama kina taratibu zake!

Tumesikiliza mahojiano ya Afande Selemani Msindi live na alisema yafuatayo:-
  1. Bado hajaamua ni Chama gani, ila haitakluwa CCM
  2. Kwamba kuna vyama vingi vimewasiliana naye kutaka ajiunge navyo, ila haklupenda kuvitaja lakini amesema ni vikubwa tu
  3. Kwamba chama kitakachoweza kumridhisha kwa sera na kitakachoweza kumuandaa vema ndiyo atajiunga nacho
 
afande sele alisema atagombea kupitia CUF,yeye mwenyewe kwa kinywa chake tukiwa wote sinza,nilipo muuliza why not cdm alisema toa kisingizio cha udini,na nilipo fatilia zaid nikagundua chadema alipaogopa kwakua moro wana kichwa kipiga sheria ameona hata weza kupita kwenye kula za maon

mkuu hacha ubishi ww! Afande sele ni CHADEMA na kama unabisha basi sikiliza huu wimbo mpya aloutoa na huyu Bonta mwanachadema wa shinyanga ndio utaamini ninachokisema.
 
Jamani kila chama kina taratibu zake!

Tumesikiliza mahojiano ya Afande Selemani Msindi live na alisema yafuatayo:-
  1. Bado hajaamua ni Chama gani, ila haitakluwa CCM
  2. Kwamba kuna vyama vingi vimewasiliana naye kutaka ajiunge navyo, ila haklupenda kuvitaja lakini amesema ni vikubwa tu
  3. Kwamba chama kitakachoweza kumridhisha kwa sera na kitakachoweza kumuandaa vema ndiyo atajiunga nacho

w ndo umesema fact za maana. But kwa ninavyojua ni CDM.
 
Huyu labda aanzishe chama chake lakini sio mbunge wa CHADEMA!
afande.jpg
 
mkuu hacha ubishi ww! Afande sele ni CHADEMA na kama unabisha basi sikiliza huu wimbo mpya aloutoa na huyu Bonta mwanachadema wa shinyanga ndio utaamini ninachokisema.

mkuu mi siwezi bishi sana kwani toka niongee nae imepita muda na kweli baada ya muda nikamsika kwenye media ahojiwa na kusema ametangaza nia ingawa hakusema direct ni chama,lakini kuimba wimbo na mtu wa chadema haimanishi kuwa yupo chadema.chamsingi tusubiri yeye mwenyewe atakapo tamka.kama ni chadema tunamkaribisha kwenye mapambano ya kukomboa nchi.
 
Hivi afande hawezi kuendeleza harakati hukohuko kwenye muziki? Kuna cku nchi itakuwa na hari mbaya tukiendekeza watu maarufu ilimradi tuyapate majimbo, cdm fanyeni fasta msajili dr. Ndelakura perpetua nikichwa cha hatari.
 
Huyu si ni mtoto Sugu kimuziki? Like father like son, lazima na yeye awe CDM tu, also nafikiri Afande ni under 40yrs, hiki kizazi ni cha mageuzi tu, ukiona yupo magamba ujue iko namna!

Huyu jamaa is indiscipline, nitashangaa sana CDM wakimpitisha huyu jamaa.
Unaposema kuwa ni mtoto wa Sugu, like father like son kwa Afande labda kwa maana ya muziki lakini upande wa nidhamu, sidhani.
 
Huyu labda aanzishe chama chake lakini sio mbunge wa CHADEMA!
afande.jpg

hakya mungu kama Afande sele ndo huwa anafanya upuuzi kama huu basi CDM tukimpitisha huyu tutakuwa tumeingia choo cha kike.
MUNGU AEPUSHIE MBALI.
 
Huyu kilaza hawezi kugombea ubunge kwakupitia CDM,labda aende kwa magamba.
Kuna vichwa kibao wenye uelewa moro wanaoweza kugombania na wakashinda,huyu pum*avu anaovua nguo kwenye show zake hatumtaki kabisa.Wakimpitisha huyu kilaza kwa tiketi ya CDM nahama chama kabisa,sitaki ujinga huu
 
Back
Top Bottom