Afande Sele kugombea ubunge 2015

Hiyo mibange yake, atakuwa anakula 'ban' za spika kila kikao.
 
Akitoa hints wakati akihojiwa katka kipindi cha top 20 cha clouds fm afande sele ameweka msimamo wake waz kuwa atagombea ubunge morogoro mjini kupitia chadema 2015 ametanabaisha kuwa yeye ni mshauri wa chadema siku nyingi ila hatogombea kupitia ccm.ppoooosss!wataisoma mafisadi!
 
Msanii wa bongo fleva alimaarufu kwa jina la afande sele amesema atagombea ubunge morogoro mjini kupitia chama cha upizani na wala sio ccm kwa sababu yeye ni toka kitambo amekuwa akimpa sapoti mbowe na yeye ndio alimshauri sugu ahamie chadema.msanii huyu alienda mbali na kusema katka kazi zake za mziki amepata mchango mkubwa sana kutoka kwa baadhi ya viongozi wa kafu. Aliongeza pia anaamin ili kuyatoa manyang'au ccm madarakani ni vema vyama vya upinzani kuungana pamoja. Alipoulizwa atagombea kupitia chama gani alisema muda ukifka ntasema ila sio ccm.
 
mmh!! ingawa ni haki yake lkn hapana.................inamaana CDM imekosa watu kabisa hadi iende kwa huyu ambaye mzuka ukipanda huwa anavua nguo hadharani??
 
Mweeeeeeeee!!!!!!baaaaaaaaaasi!!!!!Nadhani ile sheria iliyopitishwa kule uruguay ya matumizi ya bangi,sasa na hapa kwetu ipo njiani yaja!!!!!
 
Anakaribishwa sana.
Hatokuwa peke yake. Atajiunga na mwenzake yule aliyetaka serikali kuhalalisha kilimo cha bangi..!!!!
 
mmh!! ingawa ni haki yake lkn hapana.................inamaana CDM imekosa watu kabisa hadi iende kwa huyu ambaye mzuka ukipanda huwa anavua nguo hadharani??
Teh teh teh teh!
Alafu anainamaga kisha anashikaga pale mbele kwenye mkuki kisha anasema yo!!!yo!!!yo!!!yoyoyoyo!!!!huku kavaa jinzi.
 
Agrobuz; Anayo haki ya kutangaza nia kwani ni Mtanzania kama wengine, tungekuwa tunabaguana sidhani kama yule mganga wa kienyeji Prof.Maji Marefu angekuwa mbunge kupitia CCM maana waganga wa kienyeji na uchawi ni inseparable
 
Last edited by a moderator:
mmh!! ingawa ni haki yake lkn hapana.................inamaana CDM imekosa watu kabisa hadi iende kwa huyu ambaye mzuka ukipanda huwa anavua nguo hadharani??

Usiwe na wasi dada, chama kina utaratibu wake wa kuwapata wagombea wake, huyu ndugu lazima atapita kwenye mchakato na akifanikiwa kwa mujibu wa vigezo vilivyowekwa na chama atakuwa.
Alichofanya ni kutangaza nia yake tu na si vinginevyo
Ila utambue tu, ni HERI HUYU KULIKO ANAYEJIFANYA MHESHIMIWA MBELE YA JAMII KWA KUVAA MASUTI ILHALI NYUMA YA PAZIA NI MUUZA PODA.
 
Mimi binafsi nawashauri chadema chadema wawe makini na watu kama akina afande sele maana......
Msanii wa bongo fleva alimaarufu kwa jina la afande sele amesema atagombea ubunge morogoro mjini kupitia chama cha upizani na wala sio ccm kwa sababu yeye ni toka kitambo amekuwa akimpa sapoti mbowe na yeye ndio alimshauri sugu ahamie chadema.msanii huyu alienda mbali na kusema katka kazi zake za mziki amepata mchango mkubwa sana kutoka kwa baadhi ya viongozi wa kafu. Aliongeza pia anaamin ili kuyatoa manyang'au ccm madarakani ni vema vyama vya upinzani kuungana pamoja. Alipoulizwa atagombea kupitia chama gani alisema muda ukifka ntasema ila sio ccm.
 
Karibu sana mjomba kwenye siasa ili uzipe matendo nyimbo zako....KILA LA HERI!
 
Cdm a.k.a wazee wa kusajili wasanii maana wengi ni vipanga ili wakipata madaraka wawapelekeshe wanavyotaka
 
Haya kila la heri, ila kwa pale Moro mjini sijui kama atamuweza Abood maana jamaa ni kama kawaroga watu wa pale mjini.
 
huu wehu sasa cdm tukimpa nafasi... hakika nipo radhi kumpigia kura hata mgombea wa ccm.
 
Agrobuz; Anayo haki ya kutangaza nia kwani ni Mtanzania kama wengine, tungekuwa tunabaguana sidhani kama yule mganga wa kienyeji Prof.Maji Marefu angekuwa mbunge kupitia CCM maana waganga wa kienyeji na uchawi ni inseparable
Prof maji marefu ana kesi Chunya ya Mwaka 1995 alikujaga shuleni kwetu Primar kufanya mazingaombwe kwa kumchinja dada mmoja viungo vyake vyote na hatima yake alipata tabu sana kuviunganisha mpaka leo yule dada ni chzi.
 
Back
Top Bottom