Afande Sele kugombea ubunge 2015

Mbona sielewi? Wanataka ubunge kwenye Bunge la wasaníi au Bunge la Jamhuri?
 
Kwa Tanzania hata mtoto Lulu anaweza kuwa mbunge wa viti maalum kwa CCM
 
nilikua nimechoka but nimejikuta nacheka

Yaani hata mimi nilivyosoma nimejikuta nacheka bila kutegemea, inamaanisha watu wanatafuta umaarufu kwenye sanaa zao then wanaibukia kugombea ubunge, basi kama ni hivyo tutegemee bunge la :yell:.
 
mwacheni afande sele aitumie haki yake.

Tunakoelekea hao walegeza masuruali wote na wavaa hereni wanaume watakimbilia bungeni kwa sababu wanaona vjana wengi wanafagilia tabia zao, hv ninyi vjana tunaoambiwa mmemaliza vyuo vikuu hamna kaz mko wapi? kwa nn msichukue hizo nafas mnawaachia hao wanaowaiga wamarekani na kudharau utamaduni wao? je hao si ndo wataungana na mh kamerun kutushauri tuoane jinsia moja? tusichague kwa jazba kwani tutajikuta mwisho wa siku tuna bunge la mabuda tu wasiojua hata kujenga hoja za msingi
 
Nafikiri huko mjengoni ataomba serikali wa legalize bangi,but mbona cuf inakufa tunasubiri tuizike tu labda agombe Afp
 
Habar wana jf!
Mwanamziki wa hip pop nchini bw. Selemani msindi (afande sele) ametangaza nia ya kugombea ubunge moro mjini 2015, japokuwa hakutaja chama atakachogombea but nimefanya utafiti mdogo nyumbani kwao matombo-moro watu wengi wamesema atagombea kupitia CDM.
Source:xxl ya clouds fm jana mchana.
 
Huyu si ni mtoto Sugu kimuziki? Like father like son, lazima na yeye awe CDM tu, also nafikiri Afande ni under 40yrs, hiki kizazi ni cha mageuzi tu, ukiona yupo magamba ujue iko namna!
 
Acha uongo. Alimpaisha sana Julius Mtatiro. Huenda akagombea kwa tiketi ya ndama (CALF).
 
Huyu si ni mtoto Sugu kimuziki? Like father like son, lazima na yeye awe CDM tu, also nafikiri Afande ni under 40yrs, hiki kizazi ni cha mageuzi tu, ukiona yupo magamba ujue iko namna!

ni kweli but 2015 kura za maoni CDM patachimbika kwani kuna kichwa hapa moro kiligombea kuipitia CDM kinaitwa AMAN MWAIPAJA Kni mwansheria kitaaluma na hoja sana kama zitto au mnyika.
 
afande sele alisema atagombea kupitia CUF,yeye mwenyewe kwa kinywa chake tukiwa wote sinza,nilipo muuliza why not cdm alisema toa kisingizio cha udini,na nilipo fatilia zaid nikagundua chadema alipaogopa kwakua moro wana kichwa kipiga sheria ameona hata weza kupita kwenye kula za maon
 
Acha uongo. Alimpaisha sana Julius Mtatiro. Huenda akagombea kwa tiketi ya ndama (CALF).

uongo gani unaotaka mi niuache? Mimi ndio nipo huku moro na hata anapokaa Afande sele mm ndo naishi na nimesema wazi hapo juu kuwa kwa utafiti wangu watu wengi wanasema atagombea kupitia CDM sema kwa yy binafsi inakuwa ni mapema mno kutaja chama atakachogombea, Pia kumbuka sungu wa CDM ni marafiki wakubwa na Afande sele na mara nyingi ktk harakati mbalimbali huwa wapo pamo1.
 
Habar wana jf!
Mwanamziki wa hip pop nchini bw. Selemani msindi (afande sele) ametangaza nia ya kugombea ubunge moro mjini 2015, japokuwa hakutaja chama atakachogombea but nimefanya utafiti mdogo nyumbani kwao matombo-moro watu wengi wamesema atagombea kupitia CDM.
Source:xxl ya clouds fm jana mchana.

tetesi zilizopo anauta ubunge kupitia CUF....ni mtatiro ndo hata alimuwekea mdhamana na mwenzie 20% walivyopiga watu moro
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom