Afande Sele kugombea ubunge 2015

daaah kama akigombea kuptia CDM imani yangu kwa CDM itashuka. Thou ubunge hauna kiwango rasmi cha elimu wala uelewa, lakini ni wazi kwamba uelewa wa namna flani unahitajika.
Hizo report wanazoptia akina zitto na kamati zote za bunge tukiiwaachia bongo fleva wawe ndo wabunge wetu mama yangu nachelea kusema bila shaka report ya mkaguzi wa serikali hawataielewi, mikataba hawataielewa na hawataelewa mambo mengi mwisho wa siku itakula kwetu maana hakuna watakalo fanya.
Jamani CDM angalieni na watu wakuwapa nafasi ya kugombea si ushindi tu maana mwisho wa siku watatuharibia chama chetu.
 
Huyo Mvuta bangi nani atamkubali chadema.. Labda aende kwa wavuta bangi wenzake Ccm.
 
Msaniii afande sele ambaye ana ndoto za kugombea ubunge wa jimbo la morogoro mjini amesema kuwa ni kazi ya kibwege.

"Ubunge ni kazi ya 'kibwege' watu wamekuchagua ili uwatumikia kwa hiyo unatakiwa kuwa mtumwa wa watu wako kwa kuwa karibu na kufanya kile wanachokihitajiwao na siyo kukalia kiti hicho kwa niaba yako na ndugu zako, inanishangaza sana mtu anachaguliwa ndani ya miaka miwili tayari anamiliki Vogue sasa huu ka siyo wizi ni nini"

Source:-GUMZO LA JIJI
 
Ni kazi ya kutumikia wananchi mtoa hoja ......... mtoa hoja ujamalizia yote ila stil thanks for the link appreciate sana ndugu
 
Anazingua,kwanza akigombea ubunge akashinda atakuwa kero na ukorofi wake
 
Ivi Afande sijui kama anaoga ata kuoga duh!..yani jamaa ni mchafu kupitiliza.eti anataka kuwa mbunge simpo,usimpo wa uchafu duuuh!eti atakuwa anaenda kwa basi bungeni dodoma kama sio maigizo ni nini itakuwa.
Kama chadema ndio inaanza kupeleka wendawazimu kama hawa bungeni naanza kupata mashaka..Morogoro kuliko kuwa na mbunge dizain hii bora jimbo libaki wazi.
 
Jamaa dizain anaanza kuweweseka! Au ndio yale ya sizitaki mbichi hizi!
 
Mbna link iko clear jaman, anamaanisha ni kazi ya kuwa2mikia wa2 au wapga kura wako na cyo kukaa bungen na kutembelea magar ya kifahar
 
Naona kama habari yake kajichanganya sana unaposema kazi ya kibwege then unaitaka kazi hihiyo ya kibwege maanayake nini
 
Freemason wameshampa utajiri sasa wote mabwege tu hela bana lol
 
Kama ubunge ni kazi ya kibwege na usanii ni kazi ya kinini? Mbona anawatumikia mashabiki na haoni tatizo lakini analiona kwenye ubunge. Nadhani ubwege si ubunge bali ***** ndiye anauona ubunge ubwege. Nakubaliana na wanaoona kama hii ni sizitaki mbichi hizi. Anajribu kupreempt kitakachofuata. Haya afande ***** kaa na ubwege wako.
 
Back
Top Bottom