Afande Sele kugombea ubunge 2015

bangi bana! wengine mnaweza kubaki kama mashabiki tuu! sio lazima wote muwe wabunge
 
Ni kweli Afande Sele anafaa kuwa Mbunge.
afande_sele4.jpg

Hahahahaha....Amepita bila kupingwa
 
mbona watu meshapigilia msumari atagombea kwa ticket ya ccm.. kuna TLP... UDP... PPT MAENDELEO... na pia ni haki yake.. kama wananchi wakiona ni heri wamchague hata kama anapuliza ndio democracy hiyo . sugu sio msanii wa kwanza kuwa mbunge so afande haigi mtu...! walitangulia Kina JOHN KOMBA ...

GO ... AFANDE!!! SELEMANI MSINDI... BABA TUNDA...!! "nazimikia sana pini lako Dunia ina mambo" :lock1:
 
Hatujapigilia msumari ila inajulikana hawa watu sasa ni ma opportunist lazima wanawaza vyama makini na vyenye mizizi na CDM hawahitaji watu wakuwaharibia CV yao na huyu anafanania Magambani maana kaweza kuufisadi mpaka mwili wale kwa kuuwacha wazi
 
Wa-afrika kwa nongwa ni noma, ndio maana hatupati maendeleo! Badala ya watu kukutia moyo wata-crash mawazo/plans zako na kukuvunja moyo...

Afande sele katangaza nia ya kugombea ubunge, vi-watu full kumchambua kwa mabaya yake na kumponda...

Hujakatazwa na wewe tangaza nia hata ya ku-gombea ubalozi mtaani kwenu, au kwa vile unafahamu hata huo ubalozi mtaani kwenu huna uwezo wa kuupata ndio maana unaleta chuki binafsi kwa wengine??!!!

go go go Afande Selle usiwasikilize hao wenye mawazo ya kukuvunja moyo..!!
 
Ni haki yake kikatiba kuchagua na kuchaguliwa, all the best kioo cha jamii.
 
Atagombea kupitia CHADEMA, hii ni kwa mujibu wa Afande mwenyewe!

Kichwa kinaelekea mjengoni, kwa taarifa isiyo rasmi, ni kuwa Juma Nature nae atagombea jimbo la Temeke kupitipia CHADEMA

Pipoooooooooz pawaaaaaaaaaa!
 
sasa hapa ndo alikua anapiga kampeni au?

Naamini sele anajutia kuliko kitu kingine staili yake hii ya kulipamba jukwaa, Itamgharimu maisha yake yote yaliyosalia. Namshauri aachane kabisaaaaa na siasa, itamuondoa na kwenye fani ya kughani. Kama anaangalia mafanikio ya sugu, akumbuke "si kila king'aacho ni dhahabu"
 
Atagombea kupitia CHADEMA, hii ni kwa mujibu wa Afande mwenyewe!

Kichwa kinaelekea mjengoni, kwa taarifa isiyo rasmi, ni kuwa Juma Nature nae atagombea jimbo la Temeke kupitipia CHADEMA

Pipoooooooooz pawaaaaaaaaaa!

Huyu juma anaweza kujipigia kampeni na kushinda, wapiga kura wa umri wake wengi wanakubali kazi zake za muziki, hivyo ni rahisi kuungwa mkono, kugombea kupitia cdm si dhambi, akipita kwenye chekeche la chama utaifa wake ndio kitu muhimu, kuna wakati unauhitaji ujasiri wa mtu mithili ya juma, nieleweke vizuri "ujasiri"
 
Back
Top Bottom