utashi

Abraham Kipchirchir Rotich (born 26 June 1993) is a Kenyan-born Bahraini middle-distance runner. Rotich won the 800 metres at the 2012 Diamond League meeting in Monaco.

View More On Wikipedia.org
  1. Joyboy

    Utashi wa kifikra wa vijana wengi wa kiume unazidi kupungua kwa kuendekeza kuangalia video/picha za ngono

    Utafiti wa BBC unasema asilimia 37% ya internet search history zinahusiana na haya mambo na asilimia 35% ya downloads zote kwenye internet zinahusiana na haya mambo, vilevile asilimia kubwa ya watu wanao-search haya mambo ni wanaume tukiwa na asilimia 80% na wanawake asilimia 20% Tasfiri yake...
  2. R

    Padre Kitima: Tanzania kinachosumbua ni utashi wa watu kuongozwa na sheria

    Hata tukawa na katiba bora kabisa , kama hakuna utashi wa kuongozwa na sheria ni Bure! Kumbe huyu ni mbobezi wa Constitutional Law! Msikilize
  3. Pascal Ndege

    Authenticated leaders (viongozi wenye utashi hakika sahihi na wakweli) ndio msingi wa kwanza wa uongozi

    Msomi wa vitabu Hayati Benjamin Mkapa alikuja na kauli mbiu ya UKWELI NA UWAZI sikumielewa sana kipindi kile. Ilikuwa ni kauli mbiu ya kisomi sana kwa mtu wa kawaida kung'amua. Katika harakati zangu za Maisha longolongo ndio ilikuwa janja yangu. Katika kikao kimoja nilifanya na viongozi wa...
  4. Petro E. Mselewa

    Kama nchi, ushoga tumeukataza na kuuadhibu kisheria. Kilichobaki ni utashi wa kuisimamia sheria husika, tuache porojo!

    Nimechukua muda wa kutosha kuisoma Sheria ya Kanuni ya Adhabu (Sura Na. 16 iyofanyiwa mapitio mwaka 2019) na kujiridhisha pasi na shaka kuwa, kama nchi-Tanzania, ushoga umekatazwa na kuadhibiwa vikali kwenye sheria hiyo. Ni vifungu vya 154 na 155 vya Kanuni ya Adhabu. Wahusika wote wa ushoga...
  5. Mkwawe

    Hili ndilo kundi lako la kiwango cha Utashi

    Nadhani umeshawahi kusikia mtu akisema "...tatizo una IQ ndogo sana.." na wewe bila kuchanganua hoja yake ukakasirika. Inawezekana ni kweli au sio lakini je IQ ndiyo kigezo pekee Cha kupima utashi wa mtu? Hebu tiririka nami kwenye hii makala fupi sana. "Kulingana na Wanasaikolojia, kuna aina...
  6. Stroke

    Maridhiano ya CHADEMA na CCM ni batili kwakuwa sio jumuishi

    Kabla ya hicho kinachoitwa maridhiano hakuwahi kuwepo kwa hitaji hilo toka kwa wananchi. Kama mwana ccm na mwananchi sikuwahi kusikia popote pale wananchi au wanachama wa ccm wakishinikiza kuwepo kwa maridhiano hayo. Ni ajabu sana kwa viongozi wa CCM na Chadema kusimama na kusema kwamba kuna...
  7. Lyetu

    Kwahii kauli ya Rais Samia, Je Hayati Magufuli ndiye aliamua kufuta mikutano ya kisiasa kwa utashi wake au ni CCM?

    "Wakati nasema tufungue mikutano ya hadhara kwenye chama changu kulikuwa kugumu kidogo, mjadala ulikuwa mkubwa kama mnavyofanya nyie, najua juzi Mbowe alikuwa na mjadala mkubwa kwanini mmemuita Rais kwenye hili jukwaa, kwa hiyo mwenyekiti wale wahafidhina wapo kwangu wapo kwako,” ameeleza Rais...
  8. Chikenpox

    Hayati Magufuli alikuwa na utashi lakini alikosa uwezo

    Mimi nakubali sana kuwa JPM alikuwa na utashi mkubwa na nchi hii lakini uwezo alikuwa hana. Hii inadhihirishwa na miradi mikubwa aliyoianzisha, japo nina uhakika asingeweza kuimaliza maana tayari alinipiga pini yeye mwenye kwa kuweka mazingira magumu kwa wafanyabiashara wakubwa, kutoamini...
  9. Wadiz

    Hongera Luhaga Mpina kwa kuwa na akili na utashi wa kibunge

    Wasalaam JF Pongezi kwa ndugu Luhaga Mpina kwa namna anavyowasilisha hoja zake, michango yake, mantiki na maudhui, anakuwa na hoja na mapendekezo. Uwakilishi halisia wa kibunge, Mungu ambariki sana, na anatoa taswira nzuri ya uwepo wa watu wenye akili na utashi wa kibunge ndani ya Bunge letu...
Back
Top Bottom