Chikenpox
JF-Expert Member
- Oct 15, 2022
- 784
- 1,247
Mimi nakubali sana kuwa JPM alikuwa na utashi mkubwa na nchi hii lakini uwezo alikuwa hana. Hii inadhihirishwa na miradi mikubwa aliyoianzisha, japo nina uhakika asingeweza kuimaliza maana tayari alinipiga pini yeye mwenye kwa kuweka mazingira magumu kwa wafanyabiashara wakubwa, kutoamini kuwekeza tena nchini kwa sababu ya kufokafoka kwake na ikumbukwe hawa ndiyo walipa kodi. Yeye alibaki tu anazalisha machinga wengi ambapo kimsingi hawalipi kodi.
Pili alishajenga ukuta na mataifa wahisani kwa kauli zake hivyo mikopo au misaada tukanyimwa kabisa.
Ndiyo alipenda nchi yake lakini uwezo alikuwa hana. Akaanza kuvamia akaunti za matajiri ili kuiba hela kwa ajili ya kumaliza miradi hiyo ambapo in the long run nchi ingeburuzwa mahakamani ndio maana kila kukicha ndege zilikuwa zinakamatwa hapa na pale ambapo baadae shirika lingejikuta halina ndege tena.