madawati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Cherehani Atoa Madawati 975 ya Milioni 63.3 Katika Maadhimisho ya Miaka 47 ya CCM

    MBUNGE CHEREHANI ATOA MADAWATI 975 YA MIL 63.3: MAADHIMISHO MIAKA 47 YA CCM Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe Emmanuel Cherehani kupitia Ofisi ya mbunge ametoa madawati 975 yenye thamani ya Shilingi 63,375,000 ili kuimarisha sekta ya elimu ikiwa ni pamoja na kuhakikisha wanafunzi wanakuwa na...
  2. Leak

    Waziri Mkenda hawa walimu walikosea nini hadi wapewe hii adhabu ya kuporwa madawati ya kukalia?

    Hii hali ndio inafanya watu wachukie kazi ya ualimu na wengine waione ni kazi ya utumwa na inayo dharauliwa kabisa! Hivi inakuwaje Mwalimu anaporwa kiti au dawati la kukali kisha anakwenda kupewa mwanafunzi? Haki za walimu ziko wapi kwanini mnawadhalilisha na kutweza utu wao namna hii...
  3. H

    MADAWATI MASHULENI

    Najua kanda ya kaskazini hasa Kilimanjaro suala la wanafunzi kukaa chini madarasani waliachana nalo takribani miaka 40 iliyopita Kama unafaham Shule ya msingi yenye hiyo changamoto ya wanafunzi kukaa chini, taja jina la shule, Kijiji, Kata, Wilaya na Mkoa iliyopo pengine inaweza kusaidika
  4. B

    Dkt. Samizi ashiriki kupokea madawati 50, washuhudia mamilioni ya Rais Samia ujenzi wa shule

    Jana Jumatatu Septemba 25, 2023 Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Dkt. Florence George Samizi ameambatana na Mkuu wa Wilaya ya Kibondo, Col. Aggrey Magwaza pamoja Mkurugenzi wa Benki ya NMB Kanda ya Magharibi Seka Urio katika mapokezi ya madawati 50 yenye thamani ya milioni tano kutoka...
  5. K

    Mabilioni yanusuru wanafunzi kukosa madarasa na madawati mkoani Arusha

    Kaimu Mkurugenzi wa halmashauri ya jiji la Arusha, Hargney Chitukuro amesema kuwa mwaka huu hakuna mwanafunzi aliyekosa kuingia darasani kwa kukosa chumba cha darasa au dawati. Amesema wamefanikiwa kuepukana na adha hiyo kutokana na uamuzi wa serikali kutoa zaidi ya Sh. bilioni mbili kwa ajili...
  6. K

    DC Chikoka ashiriki katika kukabidhi madawati 250 kwa shule za Wilaya ya Rorya

    Mkuu wa Wilaya ya Rorya, Juma Chikoka ameshiriki kukabidhi madawati 50 kati ya Madawati 250 ambayo yametolewa na Bank ya NMB kwa shule 5 zilizopo wilayani hupo kwa lengo la kusaidia kupunguza changamoto ya watoto kukaa chini na kuboresha ufaulu wao. Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo, DC...
  7. Mparee2

    Tatizo la madawati mashuleni

    Natamani Waziri Mkuu atangaze kila wilaya/Mkoa umalize hii kero ya upungufu wa madawati; Watoto wanateseka jamani..... Wiki iliyopita nikiwa Kisaki/Kilosa, nilipita shule inaitwa Kichangani shule ya msingi, yenye wanafunzi takribani 850 huku ikiwa na madawati kama 40hivi tu pengine niseme ya...
  8. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Igalula, Venant Daud aendelea na ziara jimboni, achangia madawati 300

    MBUNGE IGALULA, MHE. VENANT DAUD AENDELEA NA ZIARA JIMBONI, ACHANGIA MADAWATI 300 Mbunge wa Jimbo la Igalula Mkoa wa Tabora Mhe. Venant Protas Daud amefanya ziara ya siku tano kuanzia tarehe 27 Februari 2023 mpaka tarehe 03 Machi 2023 katika Kata Nne zilizomo Igalula ambazo ni Kata ya KIGWA...
  9. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Eshter Malleko achangia madawati 40 Shule ya Wasichana Sekondari ya Ashira

    MHE. ESTHER MALLEKO MADAWATI 40 YA MILIONI 1.6 SHULE YA WASICHANA SEKONDARI YA ASHIRA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Malleko amechangia Madawati 40 Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Ashira yenye thamani ya Milioni 1.6, tukio hilo limefanyika mnamo tarehe 14 Februari...
  10. A

    Mwalimu wa field aliyesambaza picha za watoto wamekaa chini kufukuzwa (uhaba wa madawati)

    Mwalimu aliyesambaza picha hizi kufukuzwa JUMATANO , 8TH FEB , 2023 NA MWANDISHI WETU Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya, Wakili Triphonia Kisiga, amesema Mwalimu wa kujitolea katika shule ya sekondari Sinde, Evarist Chonya, aliyesambaza picha za uongo za wanafunzi wakiwa wamekaa chini...
  11. M

    Tatizo la uchache wa madawati mashuleni limekithiri litatuliwe hivi...

    Ni jambo la kusikitisha kuona hadi sasa idadi kubwa ya wanafunzi wa shule ya msingi na hata sekondari wakiwa wanakaa chini katika shule zetu si mjini wala vijijini. Japo tunapongeza jitihada za kuongeza madarasa bado inashangaza Sana kuona hao wataalam wa mipango wanashindwa kuona ukakasi wa...
  12. BigTall

    Arusha: Wanafunzi Shule ya Msingi Unga Limited wakaa chini kwa kukosa madawati

    Wanafunzi wanaosoma shule ya Msingi Ungalimited Jiji la Arusha wamelazimika kukaa chini kutokana na uhaba wa madawati huku uongozi ukidai ni kutokana na ukarabati wa vyumba vya madarasa unaoendelea katika shule hiyo kongwe. Hata hivyo Ofisa Elimu Msingi Jiji la Arusha,Hosseni Madengale amesema...
  13. K

    Uhamiaji Sekondari na michango ya madawati wanafunzi wapya kidato cha kwanza

    Nimeshangazwa na mchango wa madawati Uhamiaji Sekondari kwa wanafunzi wanaojiunga kidato cha kwanza, kwani nilitegemea shule zote za Dar zilishapewa madawati ya kutosha. Hebu mwenye undani wa jambo hili atujuze.
  14. Roving Journalist

    Mambosasa awaasa Askari Polisi wanaohudumia madawati ya Usalama Kwanza kuleta tija jeshini

    Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam, Kamishna Mwandamizi wa Polisi, Lazaro Mambosasa amewataka Askari Polisi wanaohudumia madawati ya Usalama Kwanza kutumia mafunzo waliyoyapata kuleta tija ndani ya Jeshi la Polisi. Alisema hayo alipokutana na askari hao katika mwendelezo wa...
  15. BigTall

    Kigoma: Wanaume walia kunyanyaswa na wake zao, wataka Madawati ya Kuwatetea

    Viongozi na wananchi wa Kijiji cha Murufiti, Nyansha na Kigondo wakiwa kwenye makundi wakijadili mkakati wa kukabili ukatili na unyanyasaji wa kijinsia kwenye jamii za vijiji vyao katika kongamano lililoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP). Baadhi ya wanaume walioshiriki mjadala wa...
  16. Mmawia

    Serikali inanunua ndege kwa mbwembwe huku wanafunzi 65,000 wanakaa chini!

    Hivi inaleta picha gani hasa kwa wadau wetu wa maendeleo? Mnapewa misaada kibao kuboresha elimu lkn bado tu watoto wetu hapa sumbawanga wanakosa madawati ya kukalia madarasani? Wanafunzi 65,000 mkoani Sumbawanga wanakaa chini. CCM tunaomba mjitafakari vinginevyo mtuwachie nchi yetu...
  17. kimu mazengo

    Shule ya Msingi Chicheho Wilayani Manyoni haina madawati

    Shule ya msingi chicheho, iliyopo kata ya sanza wilaya manyoni ina upungufu mkubwa wa madawati (nusu ya shule nzima wanafunzi wanakaa chini ) hali ni mbaya sana.
  18. E

    Ndugai yuko sahihi - hatutakiwi kukopa kujenga madarasa, vyoo, zahanati, madawati, hivi tufanye kwa tozo na kodi

    Nimejaribu kufuatilia kinachoendelea mpaka nikashangaa watanzania walivyo mbumbumbu, nilivyomsikia ndugai sidhani kama alimaanisha watanzania tusikope kabisa bali ametizama matumizi ya mkopo wa trilioni 1.3 tuliokopa ili tujenge madarasa n.k akatazama kwenye bajeti yetu tulisema tunaweka tozo za...
  19. K

    Hizo pesa za kuninulia vifaa vya sport bunge zipelekwe Mashuleni kununua madawati

    Nimeona kwenye taarifa ya habari ya ITV Leo tarehe 30.11.2021 sh. Mil. 20 zimetengwa kwa ajili ya kuninulia vifaa vya Michezo ya wabunge ili Hali shule nyingi asa za msingi watoto hawana madawati wanakaa chini. Huo ndo uzalendo wa viongozi wetu au wanafanya hivyo kisa watoto wao hawasomi...
  20. chief kamchicha

    Serikali ipeleke madawati ya jinsia katika Vyuo Vikuu

    Ukatili dhidi ya Mtoto wa kike huwakatisha tamaa maelfu ya mabinti kuzifikia ndoto zao. Eneo la vyuo vikuu ni sehemu hatari zaidi ambako bado hakujatiliwa mkazo unaostahiri. Serikali ipeleke dawati la jinsia kwa vyuo vyote ili kumsaidia Mtoto wa kike, kwa hali ya sasa anayehusika na kesi zote...
Back
Top Bottom