Ripoti za awali zinasema takriban watu 20 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 200 kujeruhiwa kufuatia tetemeko la ukubwa wa 5.7 lililotokea mapema leo Kusini mwa Pakistan.
Imeelezwa, idadi kubwa ya waliopoteza maisha ni Wanawake na Watoto ambao walikuwa wamelala. Majengo kadhaa yakiwemo ya...
Habari wanafamilia wa JamiiForums.
Muda 3:48 am kishindo cha kasi sana/ tetemeko la ardhi limepita maeneo ya Arusha.
Je, kuna yeyote aliyepo Arusha amelisikia?
Muda huu majira ya saa 5:38 alfajiri, tetemeko la ardhi limepita viunga vya mwanza.
Tetemeko hilo la ardhi limedumu kwa takribani sekunde 9-10 lakini hakuna madhara yoyote yaliyotokea hadi sasa
Takriban watu 304 wamepoteza maisha kufuatia tetemeko la ardhi la ukubwa wa 7.2 huku wengine wapatao 1,800 wakijeruhiwa. Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Ariel Henry ametangaza Hali ya Dharura kwa mwezi mmoja
Mbali na vifo pamoja na majeruhi, Nyumba 949, Makanisa 7, Hoteli 2 na Shule 3 zimeharibiwa...
Hope mko njema,
Binafsi jana nikiawa nimetulia kibarazanii mida ya saa mbili usiku nilihisi mtikisiko wa nguvu tu uliodumu kama sekunde 10 hivi. Sikutilia maanani maana nilikua nipo bize na simu ila nilihis kama tinga tinga la kushindilia lami limepita kwa ule mtikisiko
Nikasema niingie ndani...
Jengo hili lilikua ndio sura ya mji Mkongwe Zanzibar na kivutio Kiki kikubwa cha utaliii, lakini serekali imeshindwa kulitunza.
Serekali ya Oman 🇴🇲 ilikua tayari kulikarabati lakini inaonekana wamefanyiwa urasimu na watendaji wenye tamaa.
===
Jengo la Beit al Ajaib lilijengwa na sultan wa...
Tetemeko la Ardhi lililotokea mchana wa Ijumaa ya tarehe 30 Octoba 2020 katika ukanda wa Bahari ya Aegean limeharibu miundombinu katika miji ya pwani.
Watu katika Mji uliopo Magharibi mwa Uturuki , Izmir wamekusanyika katika mitaa baada ya kuyakimbia majengo yao wakitafuta usalama. Meya wa mji...
Nasikia kuna mradi mkubwa unaofadhiliwa na mataifa ya nje ili kukarabati Shule Kongwe hapa nchini. Mradi huu hutoa pesa kwa ajili ya shughuli hii.
Shule ya Sekondari Nyakato pamoja na Ihungo ni moja ya shule kongwe na hivi karibuni zimezua mjadala. Shule hizi zilipigwa na tetemeko lililoikumba...
1. Rais uhuru kenyata alichangia wahanga million 200.
2. Serikali ya korea iliwachangia wahanga million 108.
3. Serikali ya uingereza iliwachangia wahanga billion 6
4. Askofu mkuu wa EAGT dkt brown mwakipesile alichangia million 10.
5. Mh Freeman Mbowe million 5.
6. Waziri mkuu wa india...
Wazee wenye elimu wametujuvya ya kuwa mara hii CCM inaanguka na sehemu ambayo itapigwa na chini ni Zanzibar ni baada ya kutokea tetemeko la ardhi baharini hivi majuzi, wazee hao walienda mbali zaidi na kusema hii sio dalili nzuri kwa CCM na kwa ishara hizi halina dawa wakubali tu bora nusu shari...
Tetemeko lililtokea majuzi limewashangaza wengi hasa wanaoishi ukanda huu wa Pwani.
Kama sikosei hili ni tetemeko la pili katika muda wa miaka takriban minne au mitano nlilolisikia lakini kumbe yamekuwepo mengi.
Nimekaa Dar es salaam kwa kipindi kirefu sana lakini sikumbuki kuona tetemeko...
Kwa mujibu wa tafiti za jiolojia tetemeko hutokea mara kwa mara, lakini mara nyingi ni hafifu mno, haisikiki na binadamu ila tu inapimwa na mitambo ya wataalamu.
Mara nyingine huweza kusababisha madhara kama uharibifu wa makazi na mali.
Tetemeko likitokea katika eneo la bahari, basi huweza...
Mzee Mgaya akiwa Moshi mkoani Kilimanjaro amenipigia simu na kunikumbusha kuwa enzi zetu tetemeko hili la ardhi lingetafsiriwa kama kishindo kikuu katika uchaguzi mkuu ujao.
Mgaya ananiambia wagombea ubunge wa CCM ambao bado wako kwenye mchujo muda huu wangekuwa wanakimbizana kwa waganga wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.