tetemeko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Logikos

    Uturuki ni Earthquake Prone

    Baada ya kuona wadau wanaanza kuleta habari za mwisho wa dunia na wengine kusema huenda kuna mabomu / silaha zinazosababisha haya majanga, naomba tujikumbushe kwamba Matetemeko kwa Uturuki sio jambo la ajabu na on record yalishatokea hata miaka ya 1900 na kuua zaidi ya watu laki mbili. Kwahio...
  2. Komeo Lachuma

    Israel Defence Forces wakiwa Uturuki kuwaokoa waathirika wa Tetemeko. Nchi zetu za Kiarabu zinasubiri nini? Iran

    Nimeshangaa sana hawa Waisrael ambao hatuishi kuwasema kwa ubaya wamekuwa mstari wa mbele kwenda kuokoa Waarabu wa Uturuki. Pamoja na Ukafir wao. But nashangaa Iran huyu ambaye nampenda sababu anajaribu sana kumsaidia Mrusi kwenye vita dhidi ya Ukraine. Amenyamaa tu. Saud Arabia, Iraq,Pakistan...
  3. HIMARS

    Tetemeko kubwa lazikumba Uturuki na Syria. Watu zaidi ya 36,257 Wafariki Dunia

    UPDATE, FEBRUARY 13: VIFO VYA #TURKEYEARTHQUAKE VYAFIKIA 36,257 Vikosi vinaendelea kuokoa walionusurika kwenye Vifusi vya majengo yaliyoangushwa na Matetemeko mawili ya ukubwa wa Richa 7.8 na 7.6 wakiwemo Watoto 2 wa miaka 10 na 13 waliotolewa kwenye Kifusi baada ya kusubiri kwa saa 183. Hadi...
  4. BARD AI

    Waliofariki kwa Tetemeko la Ardhi Uturuki na Syria wafikia 4,300, idadi inaendelea kuongezeka

    Ripoti za idadi ya waliofariki inaendelea kuongezeka kufuatia Tetemeko la Ardhi la ukubwa wa 7.8 kwa kipimo cha Richa, kuzipiga Uturuki na Syria usiku wa kuamkia Februari 6, 2023. Watu zaidi ya 2,900 wameripotiwa kufariki Nchini Uturuki huku zaidi ya 15,000 wakijeruhiwa. Upande wa Syria...
  5. S

    Laana ya vifaranga: Tutarajie mapigo kama mafuriko, ukame, njaa, tetemeko, n.k kama sio wahusika wenyewe kupata pigo la moja kwa moja

    Vyovyoyte itavyokuwa, wafanya maamuzi wetu hawawezi kukwepa lawama kwa vifaranga waliopoteza maisha na kwakuwa hii ni dhambi mbaya, lazima tutaadhibiwa kama nchi au wahiusika wenyewe ndio wataadhibiwa na NATURE moja kwa moja. Viumbe wale hawakuwa na kosa lolote na kilio chao hakiwezi kwenda...
  6. BARD AI

    Mexico yapigwa na tetemeko kubwa la ardhi

    Mashuhuda waliripoti kuona majengo yanatikisika ingawa bado hakukuwa na ripoti za haraka za madhara kwa binadamu, huku meya wa Mexico City akiripoti kuwa hakuna uharibifu mkubwa. Licha ya kutotangazwa madhara, agizo la kuhama kwenye maeneo ya hatari limetolewa. Mamlaka ya Hali ya Hewa imesema...
  7. Suzy Elias

    Tetesi: Inahisiwa China imemtengenezea tetemeko Taiwan hali mbaya

    Unaambiwa muda huu hakukariki huko Taiwan na hali ya hatari ilishatangazwa tayari. Inasemekana China kaunda Tetemeko la Sunami kuiangamiza Taiwan! Inasemekana lakini.
  8. MK254

    Tetemeko kubwa la ardhi laikumba China, dah! Hizi sio dalili nzuri

    Kwa sisi waumini wa dini tunahisi hii sio kawaida.....mara Corona, mara vita, mara tetemeko....yalitabiriwa BEIJING (Reuters) - The death toll from the strongest earthquake to hit China's southwestern Sichuan province since 2017 rose to 65 on Tuesday as rescuers rushed to reach hundreds of...
  9. JanguKamaJangu

    Tetemeko la ardhi laua watu 46 China

    Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa magnitude 6.8 limetokea katika Jimbo la Sichuan, China na kuua watu 46. Baadhi ya barabara, nyumba na miundombinu ya mawasilian iimeharibika. Eneo hilo limekuwa na kawaida ya kutokea tetemeko hasa maeneo ya Magharibi ambapo kuna milima. --- Earthquake in...
  10. tzhosts

    Tetemeko la Ardhi Arusha

    Mida ya saa 1:11pm(19:11) Nimeexperience tetemeko la ardhi lilodumu kwa sekune 3-4.Je kuna mwingine aliyesikiia hasa katika Mkoa wa Arusha.Au ni huyu Jirani yangu ameanza mambo yake?
  11. L

    Watu 1,500 wafariki katika tetemeko la ardhi nchini Afghanistan

    Tarehe 23 Juni, maafisa wa Taliban nchini Afghanistan walisema, hadi asubuhi ya siku hiyo, watu 1,500 walifariki na wengine 2,000 kujeruhiwa baada ya tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa kipimo cha Richter 6.2 kutokea mashariki mwa nchi hiyo.
  12. MK254

    Taliban waomba msaada uzunguni baada ya tetemeko la ardhi Afghanistan

    Tetemeko hatari sana limefanya uharibifu na kusababisha vifo vingi hadi Taliban wameomba msaada. ============= At least 920 people have been killed and 600 injured after an earthquake struck eastern Afghanistan early on Wednesday, authorities said. The 6.1 magnitude quake hit in Paktika...
  13. Lady Whistledown

    Tetemeko la ardhi laua takriban watu 1500 nchini Afghanistan

    Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.1, kwa kipimo cha richa, limetikisa maeneo ya mashariki mwa nchi hiyo na kudaiwa kusababisha vifo 130 nchini humo, mamlaka ya kudhibiti majanga nchini humo zimesema idadi ya vifo inaweza kuongezeka Inaelezwa kuwa, tetemeko hilo lilipiga takriban kilomita 44...
  14. mgt software

    RAIS Samia tunusuru Wanakagera tupewe hela za tetemeko zilizochukuliwa na serikali ikijidai inarekebisha miundo mbinu

    Wana JF Katika kitu kigumu ni kuamini kama serikali kupitia kiongozi wake anaweza kudhurumu pesa isiyo yake kutoka kwa wale walioingiwa na huruma wakachangia watu wajistri na pesa inayobaki waunganishe na yabdharura ya maafa kujenga miundo mbinu. Bado tuna kumbu kumbi waliochangia maafa ya...
  15. K

    Tetemeko la Ardhi Kintinku

    Taarifa mitandaoni zinaeleza kuwa leo tarehe 10 Mei, 2022 saa 9:22 mchana limetokea tetemeko la ardhi Kusini mwa Kintinku. Tetemeko hilo lilikuwa na ukubwa wa 4.30 kwenye kipimo cha Ritcher.
  16. Supu ya kokoto

    Tetemeko la ardhi limetokea Katavi na Mpanda

    Tetemeko LA ardhi limeutikisa mji wa Mpanda,katavi muda huu. Tupate taarifa zaidi please. ===== Tetemeko hilo lenye ukubwa wa 4.6 katika vipimo vya Ritcher, limeyakumba maeneo ya Katavi na Mpanda. Bado madhara ya Tetemeko hilo hayajafahamiaka.
  17. Supu ya kokoto

    News alert: Tetemeko la ardhi Mpanda mjini.

    Tetemeko LA ardhi limeutikisa mji wa Mpanda,katavi muda huu. Tupate taarifa zaidi please. ===== Tetemeko hilo lenye ukubwa wa 4.6 katika vipimo vya Ritcher, limeyakumba maeneo ya Katavi na Mpanda. Bado madhara ya Tetemeko hilo hayajafahamiaka.
  18. support wpn

    Tetesi: Tetemeko la ardhi Kigoma leo alfajiri

    Kuna tetemeko dogo limepiga Leo kigoma wilaya ya buhigwe alfajiri
  19. K

    Tetemeko maeneo ya Ziwa Rukwa

    Tetemeko la ardhi limetokea leo saa 2:50 asubuhi maeneo la Ziwa Rukwa. Mliopo maeneo hayo mtujuze.
Back
Top Bottom