KWA NINI WATANZANIA WENGI NI MASKINI?
Sijawahi kumwona Mtanzania kwa wakati wowote ule ameondokana na umaskini, umaskini ambao sasa ni mkubwa mno na unakaribia kutudidimiza.
Binafsi nauchukulia umaskini kama kukosekana kwa mahitaji ya lazima ya kila siku kwa mwanadamu: malazi mazuri, chakula...
Ndugu samahanini kwa usumbufu,.nina mdogo wangu kahitimu kidato cha nne,ufaulu wake ni Division III(24)
(kiswahili, english, history, geography)-𝐂
(civics, biology, phyisics, chemistry)-D
mathematics-F
Kwa huu ufaulu je aaply coarse ipi yenye uhafadhari kwa hali ya sasa kwenye vyuo vya...
Elimu ni jumla ya maarifa aliyonayo mtu yanayomuwezesha kutatua changamoto za maisha yake ya kila siku. Elimu si ile tu inayopatikana shuleni na vyuoni bali ni maarifa yote yapatikanayo katika mazingira husika au mazingira yanayo tuzunguka.
Elimu ni kitu muhimu sana katika mapinduzi ya kifikra...
RISE UP ( AMKAA) sehemu ya kwanza
***********************************
***********************************
Niliendelea kukimbia huku nikianguka na kusimama maana nilikuwa najikwaa kwenye mawe yaliyoijaza hii njia ndogo, giza nene lililotanda juu ya uso wa nchi lilikuwa ni kikwazo kikubwa katika...
MHESHIMIWA JOYCE NDALICHAKO (WAZIRI WA ELIMU) NAOMBA TUZUNGUMZE KIDOGO)
Mhe Waziri,
Heshima kwako.................... …..
Nakupa salamu kwa lugha ya kikwetu Usukumani, "Ulimholla mayu ungumbyala"
Ni matumaini yangu u mzima wa afya tele, kama nakuona vile unavyozunguka zunguka katika kiti cha...
Ninavyo mfahamu Msukuma hufanya yafuatayo;
1- Hapendi makuu ukimchokoza anasema Kaya ya Ng'wobha nayo Kaya ili siku ipite salama.
2- Hapendi Kesi, ukimdhurumu anasema Maguzu Masese ili asipoteze muda wa kufuatilia mambo ya kesi badala yake afanye kazi.
3- Hapendi kuumiza moyo kwa Hasara iliyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.