extrovert

  1. M

    Mwenye utaalam na Uzoefu na gari aina ya Honda Vezel

    Kama kichwa cha mada kinavyojieleza hapo juu ningependa mtu mwenye uzoefu na Hilo gari kushea na sisi humu ndani
  2. R-K-O

    Hata extrovert akasome. Huyu member wa kuitwa "raraa reree" ni roboti la ku like posti ama?

    Huu ni moto wa gesi, nawajua kina Extrovert , Joseverest , Leejay49 , GENTAMYCINE , mkwepu jr na mshamba_hachekwi lakini huyu wa kuitwa raraa reree ni next level. Ukiweka uzi ama comment yako usiku sana ukaona hakuna LIKES basi usihofu.. subiri raraa reree akiamka ata-like. Na moto wake wa...
  3. Wambandwa

    Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    KWA NINI WATANZANIA WENGI NI MASKINI? Sijawahi kumwona Mtanzania kwa wakati wowote ule ameondokana na umaskini, umaskini ambao sasa ni mkubwa mno na unakaribia kutudidimiza. Binafsi nauchukulia umaskini kama kukosekana kwa mahitaji ya lazima ya kila siku kwa mwanadamu: malazi mazuri, chakula...
  4. M

    Msaada gari yangu inaandika auto lamp inoperative!

    Gari ni Mercedes C200 Kompressor w204 inaandika autolamp function inoperative. Tatizo litakuwa ni nini?
  5. M

    2010 BMW 320i vs Mercedes Benz C Class

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba maoni yenu wadau ni ipi gari kali zaidi kati ya Mercedes C200 Kompressor vs BMW 320i zote za 2010 in terms of reliability, performance, comfortability, prestige, driving experience n.k?
  6. Mwachiluwi

    Watoto wa kike wanapitia changamoto nyingi sana

    Hivi wanaume wenzangu hatuwe kumsaidia mtoto wa kike bila kumuomba mbususu jamani Maana watoto wengi wa kike wakitaka kupata kazi basi watoe mbususu haya atakayekuja kumuoa ataikuta ikiwa na hali gani? Mfano wasanii wa kike wengi wanapitia hayo na sasa tunaona kwa konde boy alichokifanya kwa...
  7. CM 1774858

    Shaka : Rais Samia ni kama Nyerere kwa mwaka mmoja huu ametumia TZS 79bl kujenga vyuo vya VETA kwenye halmashauri 29 na mikoa 4

    SHAKA HAMDU SHAKA AMUUMA SIKIO RAIS SAMIA,AMWAMBIA "MAMA KANYAGA TWENDE,CHAMA KINARIDHISHWA, WANANCHI WANAKUELEWA" KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amemtia shime Rais Samia Suluhu Hassan azidi kukanyaga na kupiga hatua za maendeleo kwa kuwa...
  8. Unique Flower

    Hii imewahi kukutokea?

    Yaani mtu mmeongea naye bila kujuana halafu ukadata na sauti mkaja kumeet ukawa sivyo ulivyodhania je ulichukua hatua gani?
  9. Boss la DP World

    Huyu Extrovert wa JamiiForums ni mtu asiyejulikana?

    Nyuzi na maoni ninayotoa huwa yanafuatiliwa kwa karibu na huyu Extrovert sijui lengo lake ni nini isije ikawa ni mzee wa Nissan Nyeupe.
  10. Collins Munuo

    Hivi hii BSc. in Physics ukisoma unakuja kuwa nani? Kila mtu ananiambia utakuwa mwalimu tu

    Samahani wakubwa Hivi hii Kozi ya Bachelor of Science in Physics pale UDOM mtu akisoma anakuwa nani maana kila nitakayemuuliza ananiambia hapo ni ualimu naomba mnisaidie hapa? 🐒🐒🐒🤔🤔
  11. Mulokozi GG

    SoC01 Serikali Kuu Punguzeni Kuwafanyia Kazi Wananchi

    Kilikuwa kipindi kigumu nilipo jua uhalisia kuwa ukikubali kuishi ni lazima ufanye kazi, na maendeleo ya mtu ni kinyume sawia na ubora wa juhudi zake katika kazi anazozifanya. Sababu hakuna aliye umba chochote duniani vyote vilivyopo vilikuwepo na vipo, hivyo ni lazima tujifunze jinsi ya...
  12. XII Tz

    Je, mimi ni introvert au extrovert?

    Habari wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada, kwa muda mrefu nimekua nikisoma threads tofauti tofauti hapa JF zinazohusiana na watu wapole/wakimya (introvert) na wale wasio wapole/wacheshi (extrovert) Binafsi nimekua nikijiuliza nipo kundi lipi bila kupata majibu kwa sababu sifa zote za...
  13. Baba ilumba

    Andika mistari yako binafsi ya muziki tuone mkali nani

    Naaanza Mimi Ni asubuhi nimeaamka Mara pa Naona ka sijielewi duuh Kumbe ni J3 mitungi ya Jana Imenichanganya ndo mana hata sielewi Ni noma kwenda mbele siunajua tena wasela ndo ivo 😀😀😀😀😀😀 Tupieni na yenu wakuu tuchekane humu najua wengine sio watunzi wazuri kama nilivyo mm tu ila shuka tu
Back
Top Bottom