njia

Tao-Njia is a studio album by American jazz trumpeter Wadada Leo Smith which was recorded in 1995 and released on the Tzadik Records' Composer Series.

View More On Wikipedia.org
  1. Afrika yetu sote

    Unatumia njia gani kumpata mshauri wa mambo unayopitia?

    Watu wengi huwa tunaomba ushauri kwa watu mbalimbali ili watusaidie pale tunapohitaji, lakini ikitokea tumegombana na wale waliotupa ushauri, tunazikuta siri zetu nje ya hapo. Sasa wewe unatumia njia gani kumpata mshauri anayefaa? Kuna baadhi huwa tunawachukua marafiki kama washauri ila kibaya...
  2. KijanaHuru

    MAARIFA MBADALA: Tambua kitu sahihi kwa njia sahihi cha kufanya maishani

    Habari ya Usiku wana JF, Natumaini mko poa na wmaendelea vyema kabisa katika majukumu yenu na ratiba zenu za kila siku. Kuna nyuzi nyingi sana zipo humu majukwaani zinazoelezea njia mbalimbali yakupamana na tatizo la ajira yakitolewa mawazo na miongozo mbalimbali ambayo huenda si kwa kila mtu...
  3. Valencia_UPV

    Njia gani nzuri Dar-Johannesburg?

    Wakuu Krismasi nimepanga kuitest LANDCRUISER PRADO TX kutoka Dar mpaka Johannesburg nipitie njia gani baada ya kuvuka Border? Zambia-Zimbabwe-SA au Mozambique? NB: Ikumbukwe hii ni Adventure tu vibali/documents zote zimekaa vizuri CORRECTION: Njia gani nzuri Dar-Johannesburg
  4. shampondo shila

    Ulitumia njia gani kumkwepa mtu aliyetaka kuzidisha mazoea na wewe?

    Hatimae nimepambana nimefanikiwa kupata buku la bando ili tu nilete huu uzi, Kwanza habari za humu wanaJF wenzangu. Natumai mko poa kabisa. Mada yangu kama inavyosema hapo juu, Mimi nakumbuka kuna mdada kipindi nimeajiriwa kazi ya duka, Alinikuta siku moja nakula nikamkaribisha tukala siku...
  5. Tanzania Nchi Yetu Sote

    Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo: Jitahidi kumlea katika njia impasayo!

    Na: Denis Mpagaze ______________________________ Kulea ni kazi nyie. Binti mmoja alilelewa katika maadili mazuri sana, ukubwani akapata mchumba kama unavyojua tena binti mwenye tabia nzuri kuolewa ni kugusa tu maana hata mwanaume mwenye tabia mbaya atataka mke mwenye tabia nzuri. Basi bwana...
  6. Rashda Zunde

    Rais Samia amewafungulia njia wananchi wa Msomera

    Rais Samia Suluhu amewajali sana na kuwathamini wananchi waliohamia Msomera kwa kiasi kikubwa hawakuwahi kufikiria siku moja watakuja kumiliki mashamba makubwa ambayo ni ekari 5, nyumba za kuishi ambazo zina maeneo makubwa ya ekari 2 na nusu na kujengewa miundombinu yote ikiwemo umeme, maji...
  7. Gama

    Canada: Njia mpya za mazishi ambapo masalia ya mwili wa marehemu hufanywa kuwa mbolea

    Huko Canada, kuna ubunifu mpya ambapo mtu anaweza kuchagua aina ya mti au maua yatakayooteshwa juu ya masalia ya mwili wake baada ya kifo. Kampuni moja imebuni makasha maalum biodegradable ambayo huwekwa masalia ya mwili baada ya kuchomwa. Pichani ni moja ya kasha la kuhifadhia majivu ya...
  8. Komeo Lachuma

    Mkitaka kuzaa watoto smart tumieno njia hii. Mtakuja nishukuru baadaye

    Inawezekana kabisa siku hizi kuna watu wengi hawana uelewa mzuri kwa sababu ya aina styles zilizotumika wakati wazazi wao walipokuwa wanafanya mapenzi. Watoto wa siku hizi wengi hawana akili vizuri. Chukulia ile style ya "Kalunguyeye" ... Mtoto atazaliwa anaakili za namna gani? Au mkwezi...
  9. L

    Julai 5, 1996: Kondoo wa kwanza aliyeumbwa kwa njia ya kurudufu (Clone) duniani alizaliwa

    Dolly ni kondoo jike aliyeumbwa kwa kutumia teknolojia ya kisasa ya kurudufu (Clone) na Taasisi ya Utafiti ya Roslin ya Scotland na Kampuni ya teknolojia ya viumbe ya PPL Therapeutics. Kuzaliwa kwa Dolly kumeweka msingi wa maendeleo ya teknolojia ya viumbe vya kurudufu (Clone), na kuibua mawazo...
  10. Gama

    Matatizo ni mtaji: Finland imegundua njia mbadala ya nishati

    Ama kwa hakika matatizo ni mtaji. Finland nchi ambayo imepakana na urusi na ambayo imekuwa ikipata nishati hasa ya gas kutoka Urusi na mabayo Urusi imeikatia huduma hiyo imegundua aina mpya ya nishati ambayo inaweza kuzalishwa na kuhifadhiwa kwa mda mrefu. Nishati hiyo ni betri maaluma ambazo...
  11. JanguKamaJangu

    Wasambaza picha za ngono, wanaojiuza mitandaoni, waliojifanya mawakala wa Freemason wakamatwa

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na Timu Maalum ya Kuzuia na Kupambana na Uhalifu wa Mtandaoni, huku ikiwashirikisha Polisi Mkoa wa Morogoro, wamefanya Operesheni maalum kuanzia tarehe 18/05/2022 hadi 26/06/2022 katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam na...
  12. N

    Inatosha ndugu yangu; Mshukuru Mungu kwa yote, rudisha vitabu kwa Mkuu wa shule, chukua jembe itafute njia ya Nanjilinji ukajilimie ufuta!

    Ulitoka makao makuu yetu ya wilaya kwenda huko mbali kisiwani kwa ajili ya kujitolea na umekuwa ukijitolea kuwasaidia watoto hawa eneo hili la kisiwa lenye changamoto ya elimu na linaloogopwa na kukimbiwa na watu kila siku kwa juhudi zote tangu 2018.... Ajira za 2018 zikatoka nawe...
  13. Gama

    Jani la mgomba ni tiba ya njia ya hewa na moyo

    Nimeona article mitandanoni ikisifia namna kunywa chai ya maajani ta mgomba ilivyo na manufaa ki afya FUATILIA HAPA Plantain Leaf: Improves upper respiratory tract, heart health. Josephine Nettey - 16h ago By Prof. Raphael Nyarkotey Obu Plantain Leaf Tea improves blood...
  14. L

    Wafanyakazi wa mbuga ya wanyama waliwasaidia wanyama kupunguza joto kwa njia mbalimbali

    Juni 19 mwaka 2022, halijoto ya juu ya siku hiyo ilikaribia nyuzijoto 40 mjini Ji’nan China, na wafanyakazi wa mbuga ya wanyama waliwasaidia wanyama kupunguza joto kwa njia mbalimbali.
  15. GENTAMYCINE

    Rais Samia tafadhali muangalie sana Waziri wako Mmoja usidhani anakunyooshea njia bali anakupeleka Shimoni mazima

    Kwa jinsi huyo ( huyu ) Waziri anavyokukaanga kila mara huku Wewe ukiona anapatia na Serikali yako inaenda vyema nakuhakikishia Mama ( Rais Samia ) kwa Usununu ( Uchungu ) wa Watanzania ambao nawasikia sehemu mbalimbali kama Uchaguzi Mkuu wa 2025 CCM ( kupitia Serikali yako ) na Vyombo vyako...
  16. Gama

    Hizi ndizo njia tano za hatima ya mzozo wa Urusi na Ukraine

    CHANZO BBC Vita vya Ukraine: Mzozo wa Ukraine unaweza kuisha kwa njia hizi tano 3 Juni 2022 Vladimir Putin nchini Ukraine sio wa kipekee. Hofu za mapema za ushindi wa haraka zilifuatiwa na kurudi nyuma kwa Urusi na upinzani wa Waukraine, hilo sasa limekabiliwa na uvamizi wa Urusi uliolenga...
Back
Top Bottom