Misemo ya kikwetu yenye Hekima ndani yake

raiswenu

JF-Expert Member
Apr 20, 2018
794
1,429
Nianze na misemo ya kisukuma na maana zake

1. Chujaga mhela utizaguchuja nhola
Bora umkose nyati atakuhurumia kuliko kukosea kuoa.

2. Kushema Chonja kubundala
Huu ni sawa ule msemo mtaka cha uvunguni sharti uiname.

3. Gw'ana nongu akalyaga na kabisile
Mtoto mwema huweza kupewa ale kilichofichwa kwa ajili ya baadae (wema unalipa).

4. Kwigwa kwa mbulu mpaga mininga mgutu,
Kusikia kwa kenge mpaka damu masikioni (jifunze kuwa msikivu)

5.......(
 
Back
Top Bottom