BRN
JF-Expert Member
- Nov 18, 2013
- 4,229
- 5,266
Tarehe 13/08/2023 timu za mpira wa miguu za Tanzania Bara za Simba na Yanga zilipambana kwenye fainali ya kugombea Ngao ya Hisani.
Mechi hiyo ambayo timu ya Yanga ilifungwa goli tatu na kujifanya Simba kutawazwa kuwa Mabingwa wa Ngao hiyo ambayo hufungua msimu wa Ligi Kuu ya msimu 2023/2024.
Baada ya mechi hiyo kumekuwepo na maneno na misemo ya kujifariji kutoka kwa mashabiki wa Yanga na wale mashabiki mamluki wa Simba.
Uzi huu ni Maalumu kwa ajili ya kuweka misemo hiyo;
~ Yanga ilicheza vizuri kuliko Simba
~ Penalty hazina mwenyewe
~ Ally Salim alikuwa nje ya mstarii
~ Simba dhaifu
~ Simba wameshinda lakini hawana furaha
Haya wadau tuendelee kutiririka.