makocha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kavulata

    Tatizo la Makocha wazawa Timu ya Taifa ni Malezi yao Mabaya

    Malezi anayopewa mtu utotoni kwenye mambo na matukio mbalimbali ndani ya familia, jamii na taasisi mbalimbali kama za kidini, shule na mpira vina uhusiano mkubwa na tabia na ufanisi wa mtu huyo wakati wa utu uzima. Kama utotoni ulipigwa sana kuna uwezekano mkubwa na wewe kuwa mpigaji wa watoto...
  2. SAYVILLE

    Mfanano wa makocha Robertinho na Gamondi

    Kipindi Robetinho amekuja Simba, alikuja na vibe lake la ushangiliaji. Upande wa pili wakaanza kumkejeli sana kuwa anashangilia kwa kukimbia kimbia kama kichaa. Ikafika wakati nadhani uongozi ukamshtua, akapunguza ushangiliaji wake. Leo hii kocha wa Yanga Gamondi anashangilia vile vile kama...
  3. Wilson Gamba

    Ajira za Makocha wa Mpira wa miguu ni ngumu

    Kati ya vitu vinavyoniletea shida ni Ajira za Hawa waheshimiwa na walimu wengine kwa ujumla.Ebu tufikilie hapa kocha au mwl anapewa timu na anafanya kwa kadri ya uwezo wake na mwisho wa siku yeye haingii uwanjani kucheza na Yale alowaelekeza wachezaji wake wakishindwa kutekeleza zigo...
  4. CAPO DELGADO

    Nimetabasamu kuona Manura na Inonga wamerejea ila ushauri wangu VIONGOZI na MAKOCHA msiupuuze.....

    WAKATI mashabiki wa Simba baadhi wakiwa hawana imani na kipa Ayoub Lakred kutokana na kuruhusu mabao katika mechi mbili za kimataifa, tabasamu limeanza kuonekana baada ya Aishi Manula kuanza mazoezi ya uwanjani. Manula ambaye ni kipa namba moja wa Simba, amerejea kwenye uwanja cha mazoezi mara...
  5. JanguKamaJangu

    Makocha wa klabu waliotumia fedha nyingi kusajili

    Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola anaongoza kwa kutumia kiasi kikubwa cha fedha katika maisha yake ya ukocha kufanya usajili, akiwa kwenye nafasi ya Kocha Mkuu kwenye klabu zote alizotumikia Pauni Bilioni 1.75 zimetumika kusajili, hii inajumuisha alipokuwa Barcelona, Bayern Munich na alipo...
  6. kavulata

    TFF ijivunie kuwa na makocha kama Gamondi na Robertihno kwenye ligi yake.

    Gamondi na Robertihno ni makocha wa kiwango kikubwa sana kuwepo kwenye ligi ya Tanzania. TFF lazima ione namna nzuri ya kuzipongeza Yanga na Simba kwa kuthubutu kuleta makocha ya viwango hivi, pia TFF na wadau wengine wa mpira waone ni kwa namna ipi wanaweza kuwatumia hawa makocha kwa manufaa ya...
  7. kavulata

    Makocha wa Yanga wameanza vibaya mashindano, ni kwanini?

    Gamondi ameikosa ngao Kaze kafungwa na JKT Tanzania Mwinyi Zahera amefungwa na Coastal Union Haya ni matata matatani. Ni uwezo wao mdogo, timu mbovu au ni mwanzo tu>
  8. Wadiz

    Tanga yaanzisha battle na Simba makocha Brazil vs Argentina

    Hello, Yanga SC halali yao kuitwa utopolo na yeboyebo, mdebwedo, hii ligi ya makocha hamtaiweza Simba SC member mwanzilishi wa African Super League.(ASL). Yanga SC wamesajili kocha kituko, Hongera yanga Kwa usajili wa Angelina
  9. Dan Zwangendaba

    Simba U-20 ni Mbovu Sana utadhani haina Makocha

    Mateso yanaendelea kwa sisi wana Msimbazi. Mpira unaochezwa na hii Simba U-20 ni kichefuchefu. Benchi la ufundi la timu hii pia liangaliwe. Timu ni Mbovu sana. Haijui kila kitu uwanjani. Wanarukaruka tu. Salam ziwafikie
  10. GENTAMYCINE

    Hizi ndio sababu zinazofanya Makocha na Wachezaji wengi kuondoka Yanga

    1. Wachezaji hawakuwa Mali yao bali ni wa Mkopo kutoka kwa Wakata Congo. 2. Kukopwa sana Pesa na Viongozi na kulipwa kwa kusumbuana mno. 3. Kilichomtokea mwenzao mmoja kuhusu Mkataba wake, kunyanyasika na kudhalilika kumewachukiza wengi. 4. Wachezaji hawataki tena kuwa sehemu ya kushuhusdia...
  11. M

    Chelsea FC inachezea sana hela kwa kuwafidia makocha inayowafukuza ovyo ovyo

    Huyu kocha Graham Potter aliyefukuzwa majuzi amekuwa millionaire ghafla. Tangu Chelsea inunuliwe kutoka kwa billionare Roman Abrahamovich chini ya mwaka imeshafukuza makocha watatu Frank Lampard, Thomas Tuchel na sasa Graham Potter kabla ya mikataba yao kuisha na kuwalipa fidia ya mamilion ya...
  12. Tango73

    Yanga na Simba wapenzi wenu wamejifunza nini kuhusu makocha walionao sasa vilabuni?

    Makocha wa yanga na simba wamegeuka kuwa lulu sasa vilabuni mwao baada ya kupitia misukosuko ya kutakiwa kufukuzwa. Ukweli kabisaa nabi aliponea chupuchupu pale yanga iliotoka sare nyumbani dhidi ya africa club ya tunisia na ilingojewa timu ishindwe tuu mechi ya marudiani kabla ya kocha...
  13. CAPO DELGADO

    Mohamed Dewji acha kuwabebesha makocha lawama

    Ubahili wa Mwamedi Ndio chanzo Cha yote haya. Halafu MASHABIKI mbumbumbu wanamtupia KOCHA LAWAMA. Simba Ina wachezaji WATANO TU. Inonga, Chama, Saido, Manula, Kapombe na Shabalala . WACHEZAJI MIZIGO WENGI MNO. Kanute, Banda, Ottara, Okwa, Onyango Umri, Sawadogo, Baleke. WAZAWA. Nyoni, Boko...
  14. GENTAMYCINE

    Simba SC na Azam FC tafuteni haraka Makocha wapya, Nabi tuliyekuwa tunamngojea atimuliwe Yanga SC jana mmeshamkosa

    Najua mlikuwa mnalificha hili ila kwa wadadisi na wachunguzi wabobezi wa masuala mtambuka nchini Tanzania, Rwanda na Uganda, akina GENTAMYCINE tuna taarifa za uhakika kuwa wote Simba SC na Azam FC mlikuwa mnavizia sana na hata kuombea Yanga SC jana ifungwe na Club Africaine ili Kocha Nabi...
  15. Championship

    Makocha kumi bora kuwahi kufundisha mpira wa miguu Tanzania 1990-2022

    Hawa ndio makocha bora zaidi katika soka letu katika kipindi tajwa hapo juu. Kigezo kikuu ni idadi ya vikombe ila pia tumeangalia ubora wa mpira na uwezo wa kuboresha vipaji vya wachezaji. 1. James Siang'a 2. Abdallah Kibaden 3. Patrick Phiri 4. Jack Chamangwana 5. Patrick Aussems 6...
  16. GENTAMYCINE

    Ya Makocha Nabi na Kaze 'Kutukanana' mlibisha haya Kanusheni sasa na la Aucho na Morrison kutukanana jana mazoezini

    "Wachezaji wa Yanga SC kiungo Khalid Aucho na mshambuliaji Bernard Morrison jana wakiwa mazoezini kambini kwao Avic Tawn walitukanana huku Aucho akimwambia Morrison hana akili na Morrison naye akimwambia Aucho kubwa jinga." Tembelea taarifa hii kutoka mtandao wa Sports Arena, ila ukiniuliza...
  17. Vawulence

    Makocha 13 kushuhudia Derby ya Simba dhidi ya Yanga leo

    Siku ya leo Derby kati ya wababe wawili Simba dhidi ya Yanga itaweka rekodi ya kushuhudiwa na kufuatiliwa na makocha wa timu 16 za Afrika. Mchezo huu muhimu utashihudiwa na Kocha wa Club Africain ya Tunisia kwani atapenda kuwajua wapinzani wake Yanga atakaokutana nao tarehe 2 November 2022...
  18. GENTAMYCINE

    Simba SC tunashinda ila Makocha wa JamiiForums tumsaidie Kocha Mgunda kukipanga Kikosi chake

    Binafsi ningependa zaidi vifuatavyo: Kikosi A 1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Mohamed Hussein 4. Kennedy Juma 5. Joash Onyango 6. Henock Inonga 7. Saido Kanoute 8. Muzamir Yasin 9. Moses Phiri 10. Clatous Chama 11. Augustine Okra Kikosi B 1. Aishi Manula 2. Israel Mwenda 3. Mohamed...
  19. aka2030

    Hii tabia ya hovyo kuwapa wachezaji majina ya wachezaji na makocha wakubwa kutoka nje inakera

    Huu ni upuuzi mkubwa sana tunauendekeza, unakuta mtu akiwika ama akifanya vizuri basi anapewa jina la mtu mwingine mpaka linafifisha jina lake. Utasikia Kelvin John Mbape, mara Juma Mgunda Pep Guardiola Mnene, hebu waacheni watengeneze utambulisho wao.
Back
Top Bottom