Nyinyi watu wa maji DAWASA nimeripoti tatizo langu la kukosa maji naona mpo mpo tuu na majibu yenu yasoeleweka, wiki ya pili hii sina maji kwangu bomba lenu limepasuka sijui mmefanyaje wenyewe mimi sipati maji wengine wanapata huduma kama kawaida.
Aisee msianze ukiritimba wenu na mambo ya...
Mwanasiasa Zitto Kabwe ambaye hivi karibuni alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa jukwaa la demokrasia nchini (TCD) ameanza majukumu yake hayo kwa kukutana na kufanya mazungumzo na bwana John Mnyika Katibu Mkuu wa CHADEMA taifa.
Zitto Kabwe ameeleza dhamira yake ya kutumia jukwaa hilo kuleta...
Kumekuwa na sintofahamu kuhusu nafasi ya 'Bugatti' hasa ikizingatiwa Yanga inae Afisa wa Habari, Hassan Bumbuli na Afsa wa Uhamasishaji Antonio Nugaz
Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Haji Mfikirwa amesema Manara ataingia kwenye Kitengo cha Uhamasishaji wakiamini atasaidia kuimarisha kitengo hicho...
Ndugu,
Rejea kichwa cha habari hapo juu, kwa yoyote yule ambaye anaweza kuwa na uelewa ama kufahamu majukumu ya waziri wa Ofisi ya Rais kazi maalum.
Nafasi hiyo kwa sasa inashikiliwa na Cap. George Mkuchika.
Nimemaliza hivyo ili kufahamu, na kuongeza maarifa. Nimewahi kukutana nafasi katika...
Heshima kwenu ndugu zangu.
Jambo likikukuta mshirikishe mwingine mwenye uzoefu, na mficha maradhi kifo humuumbua.
Naamini humu wapo wengi wenye ndoa na wazoefu wa changamoto mbali mbali,
Nimekaa nikatafakari sana nikaona bora nilete huku jambo langu hili ili nipate mawazo mapya.
Nimekuwa...
MHE MWENDA ATAKA MPANGO MKAKATI WA KUTEKELEZA MAJUKUMU, AKAZA KAMBA KERO ZA WANANCHI.
Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mhe Suleiman Yusuph Mwenda ameendelea na ziara yake ya kupita kata kwa kata kusikiliza kero za wananchi na kuzitolea maelezo na ufumbuzi wake. Akiwa kata ya Kiomboi leo Ijumaa Julai...
Press release za serikali ya Tanzania zimekuwa na story tu, zinakosa Jambo kuu ambalo ni msingi wa sheria pale hoja inapohusuJambo la kisheria. Rais anapofanya uteuzi Kuna sheria iliyompa hiyo mamlaka, lakini press zote hazina sheria inayoonyeshwa. Rais anapofuta umiliki wa ardhi au anapotengua...
Naibu Waziri wa afya Dkt. Mollel amesema chanjo ya Corona ni salama ndio maana Rais Samia mara tu baada ya kuchanjwa aliweza kuendelea na shughuli zake kama kawaida.
Mollel amesema Rais Samia alitoka Ikulu baada ya kuchanjwa na kwenda Lugalo Hospital ambako alifanya ukaguzi na kufungua mradi...
Kwanza nitangulize tahadhari sina nia ya kukashifu dini yoyote wala kufanya uzi huu sehemu ya malumbano
Si kwamba nataka kuyaelezea majumu hayo la! Bali nataka mniambie ni yapi maana naona kama nielewavyo mimi sivyo
Kuna hiki chombo kilichojipa mamlaka ya kusimamia waislam Tanzania (nina maana...
Taarifa ya kukamatwa kwa Mwandishi wa habari Shagata Suleiman na Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza.
.................................................
Ndugu waandishi wa Habari na Taasisi za kihabari Nchini Tanzania, nasikitika kuwataarifu kuwa, Mwandishi wa habari mwenzetu na mwanachama wa Klabu...
Hii vita sijui nani atakuwa mshindi, maana wanawake siku hizi hawana adabu wala utii tena kwa wanaume zao, kila kitu wanaonewa, wametoka kwenye kudai usawa sasa wanadai upendeleo, suala linalopelekea wanaume kuwazalisha au kuwaoa na kuwafuja tu hawawi responsible tena.
Zamani wanaume walikuwa...
Katika kuendeleza slogan ya mama yetu mpendwa mama Samia ya kazi iendelee. Mkuu wa wilaya ya kisarawe Mh.Nikki wa Pili ameanza kazi kwa kishindo kikubwa.
Ametembelea miradi ya afya, ujezi, mazingira, maji na uwezeshaji wa vijana akiwa na siku moja tu kazini. Ni jambo kubwa sana
Hili ni Jambo la...
Wadau naomba kujua yafuatayo juu ya sifa za kuteuliwa Ukuu wa Wilaya na KAZI za MKUU wa WILAYA.
1. Elimu
2. Umri
3. Ujuzi
4. Itikadi
5. Uzoefu
Ili tusiwalaumu walioteuliwa kumbe wanasifa sahihi.
Pia je, kama sio Watumishi Taarifa zao zinapatikana Wapi maana hawana MAFAILI.
====
Habari Wakuu,
Binafsi naamini moja ya chanzo cha nchi hii kutukukusanya mapato yanayoweza kutufanya tupige hatua kubwa zaidi, ni kuwa na taasisi moja(TRA) iliyokabidhiwa jukumu la kukusanya kodi za aina zote tena kwenye nchi kubwa kama yetu.
Moja ya sifa kubwa ya nchi yetu ni kuwa na utitiri...
Ninakumbuka Jk alipounda baraza lake la kipindi cha pili cha uongozi wake, alimteua pro. Mark Mwandosya akatuambia kuwa amemteua kama waziri asiyekuwa na wizara maalum.
Sasa hivi tena ameteuliwa waziri Mkuchika ambaye tunaambiwa kuwa ni waziri kazi maalumu.
Kwa uelewa wangu mambo yote ya...
Nimekuwa naifuatilia Tamisemi na jinsi inavyofanya kazi, ni dhahili wizara hii imelemewa na majukumu.
Haiwezekani Tamisemi ichuje ajira za walimu, afya, kilimo n. k wakati Kuna tume ya ajira. Hiyohiyo wizara ihusike na uhamisho wa watumishi, iratibu mitihani na ulipaji posho, ishughulikie...
Habari,
Nimezoea kuona wahudumu wakichukiwa sana wanapokuwa wanatekeleza majukumu yao ya kila siku katika zahanati vituo vya afya na hospitali mbalimbali hapa nchini
Nitatoa mifano hapa
A. Wakati wa kuona wagonjwa muda ukiisha mnafukuzwa na kwa wale vichwa ngumu ndo wanafukuzwa kama paka mwizi...
Katika hafla ya kuwaapisha wakuu wa mikoa, Mhe. Spika amewaasa wakuu wa mikoa kuacha kujiita marais wa maeneo wanayoyaongoza akidai kufanya hivyo kunawafanya kujiona kama Rais.
Binafsi sioni tatizo kujiita jina la unayemwakilisha eneo husika. Lililo la msingi kwao ni kumwakilisha Rais kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.