majeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. nyboma

    Kama majeshi ya Rwanda yaliwamaliza magaidi wa Cabo Delgado ndani ya wiki moja, hawa viongozi wetu wa ulinzi walienda kufanya nini Msumbiji?

    Hakika nimeamini vita dhidi ya ugaidi inahitaji akili kubwa mno kuliko matumizi ya nguvu, ni miezi michache tu iliyopita tulitangaziwa na kuaminishwa ya kwamba magaidi ambao walikuwa wameshikilia jimbo la Cabo delgado walipigwa na kumalizwa na jeshi kutoka rwanda. Ila hivi karibuni tena...
  2. VUTA-NKUVUTE

    Jenerali Mabeyo, unayasikia yasemwayo na makomandoo wetu mahakamani kwenye kesi ya Mbowe?

    Mtani wangu na mkuu wangu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Venance Mabeyo, nakusalimu na kukutakia kazi njema. Nakuuliza tu kizalendo: unayasikia au kuyasoma maneno yasemwayo na makomandoo wetu walio washtakiwa na mashahidi kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake...
  3. figganigga

    Wanajeshi (JWTZ) Wasaidie kufundisha maadili na Uzalendo Majeshi mengine ya Tanzania

    Salaam Wakuu, 1. Kipindi cha Kikwete, Wanasiasa walipelekwa JKT kujifunza Uzalendo na Maadili. Hii napendekeza iendelee kwa Mawaziri, Wakurugenzi, Makatibu wakuu, Wakuu wa Wilaya na Mikoa. 2. Polisi, Usalama wa Taifa na Askari wa amani, Waende JWTZ kujifunza kwanini Wanaogopwa lakini JWTZ ni...
  4. M

    Naomba Umuhimu wa kuwepo kwa Wanajeshi Wanawake katika Majeshi ya Ulinzi duniani

    Nipo hapa nchini Malawi ambapo ndipo yaliko Makazi yangu na nimetokea Kuvutiwa na Kumpenda Askari Mmoja wa Jeshi la Wananchi wa Malawi mpaka Kutamani Siku moja aje kuwa Mke wangu. Hata hivyo KEROZENE nimekatishwa Tamaa na Mmoja wa Wanajeshi wa hapa Malawi nilipo baada ya Kukitahadharisha na...
  5. Mtumaini Mungu

    Wasomi Mbona Mnalia Sana Ajira Za Majeshi?

    Ee Bwana, Mtakatifu Mungu wetu sifa na utukufu ni Mali Yako nami kwa unyenyekevu mkubwa navirejesha kwako Sasa na hata Milele. Ndugu watanzania wenzangu, hapa karibuni zimetolewa nafasi nyingi za ajira katika vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, kuanzia Jeshi la Polisi Tanzania chini ya Afande...
  6. ESCORT 1

    Nasikia Mkuu wa Majeshi huku Venezuela ameshapita umri wa kustaafu lakini bado yupo ofisini

    Hivi inakujae Mkuu wa Majeshi ana miaka 64 na bado yupo ofisini analitumikia Taifa ilhali muda wa kustaafu kisheri ni miaka 60. Hayo ndio mambo ya huku Venezuela, kweli tembea ujionee!! Sijui atastaafu lini maana nasikia Rais wa huku Venezuela ambaye ni mpya madarakani kaamua kuendelea naye...
  7. G

    Huyu mhalifu wa Selander alipaswa kukamatwa, siyo kuuawa

    Polisi walipaswa kumtia nguvuni huyu mtu aliyekuwa na bunduki huko Kinondoni maeneo ya Selander. Lakini kwa kukosa weledi na kwa vile polisi Wana uoga uliokithiri wakamfyatulia risasi na kumuua. Sasa watakosa taarifa muhimu kutoka kwa mhalifu huyu mfano: Ni nani? Katumwa na nani? Yuko na akina...
  8. Prof Koboko

    Huenda kosa lingine ni kuteua na kuchukua darasa la saba wengi kwenye majeshi

    Siamini kabisa mambo yanayofanywa na polisi wetu kama kuna weledi wowote wa kiufundi unaozingatia taaluma zao. Naona kabisa shida kubwa zamani tukikosa wasomi recruitment ikawa inachukua darasa la 7 na huenda hawa ndio Ma-RPCs na OCDs wengi na baadhi ya Waandamizi pale HQ. Hii ndio shida...
  9. Richard

    Kamanda mwandamizi wa Boko Haram aitwae Amir Adamu Rugu Rugu ajisalimisha kwa majeshi ya Nigeria akiwa na wake zake watatu na watoto

    Mmoja wa makamanda wa juu kabisa wa kikundi cha ugaidi cha Boko Haram aitwae Amir Adamu Rugu Rugu amejisalimisha siku ya Alhamisi jioni kwa majeshi ya Nigeria. Rugu Rugu alijisalimisha akiwa na wake zake watatu na watoto katika mji wa Gwoza ndani ya jimbo la Bono ambako ndipo vikosi vya jeshi...
  10. B

    RENAMO yahoji majeshi ya Afrika kuruhusiwa kuingia Mozambique

    4 August 2021 Maputo, Mozambique Chama kikuu cha upinzani RENAMO chahoji katiba kutofuatwa kwa majeshi ya kigeni ya nchi za Afrika kuingia nchini Mozambique. Hoja hiyo imewasilishwa na kiongozi wa upinzani bungeni Bw. Venâncio Mondlane Nakutaka kikao cha dharura cha Bunge kifanyike ili...
  11. Opportunity Cost

    Kuondoka kwa Majeshi ya Marekani Nchi Afghanistan kumewaachia maafa makubwa wananchi

    Ni huzuni kweli kweli,nimeona taarifa ya BBC ikionesha mateso wanayopata Raia wa Afghanistan kutokana na vita Kati ya Taleban na Majeshi ya Serikali. Watu Wana njaa,wanauwawa na Wana majeraha ya risasi na mabomu.Marekani wamekosea Sana kuondoka huku wakijua jeshi la Nchi ni dhaifu.Matokeo yake...
  12. kayaman

    Imetimia miaka 27 tangu Rwanda ilipokombolewa na majeshi ya RPF

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, utawala wa RPF chini ya Paul kagame umefanya mpinduzi makubwa sana ya kimaendeleo kwenye nchi ya Rwanda. Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
  13. The Stress Challengerr

    Maelfu ya mateka ya majeshi ya Ethiopia yalitekwa na Tigray Defense forces yafikishwa mji mkuu wa Tigray

    Inakuwaje WanaJF! Tigray defense forces ni nouma. Serikali ya Ethiopia inaminya uhuru wa habari kuficha kinachoendelea Tigray lakini mkong'oto wanaoupokea huko ni wa Hatari. Hii imetokea jana. Hao ni washenajeshi wa Ethiopia walioshikwa mateka wakiwa paraded Mekelle mji mkuu wa Tigray...
  14. Analogia Malenga

    Maeneo ya Magereza na Majeshi yanaongoza kwa migogoro na Wananchi

    Serikali imesema ni ukweli usiopingika kuwa maeneo mengi yenye magereza pamoja na majeshi yamekuwa na migogoro na wananchi wanaoishi jirani kuhusiana na umiliki wa ardhi. Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. George Simbachawene amesema hayo bungeni mkoani Dodoma wakati akijibu maswali yaliyoelekezwa...
  15. P

    Mohammed Deif: Kamanda wa Majeshi ya Hamas mwenye jicho moja, mkono mmoja na roho tisa

    Alizaliwa kwenye kambi za wakimbizi ukanda wa Gaza mwaka 1965 Aliwahi kufungwa kwenye majela ya Israel miaka ya mwanzo ya tisini Ndie kamanda mkuu wa kikundi cha kijeshi, Qassam Brigades, cha Utawala wa Hamas wa Palestina Anatafutwa kwa udi na uvumba na vyombo vya kijasusi na kijeshi vya...
  16. B

    Utendaji uliotukuka wa Dkt. Anna Makakala ukimpendeza Rais awateue wakuu wengine wa Majeshi yetu Wanawake

    Awamu iliyopita ilikuwa ngumu kiutawala na ilihitaji ujasiri kusimama na kubaki kwenye nafasi ya juu ya uteuzi. Dr. Anna Makakala Ni mmoja wa wanawake waliovumilia nakupambana kwa miaka mitano ya awamu hiyo bila kutumbuliwa. Kila ukiangalia picha za awamo ya tano utabaini alipokuwa Rais na huyu...
  17. Sherlock

    Majeshi ya Kenya kujiunga na kikosi cha Monusco nchini DRC

    "Kenyan troops will arrive in the DRC in the coming weeks to support our armed forces in order to attack in the most effective way this problem of terrorism and violence in the east of our country" ===== RDC: Félix Tshisekedi promet une réaction musclée aux terroristes qui sévissent dans l’Est...
  18. Uzalendo wa Kitanzania

    Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Uganda Yoweri Museveni Awapandisha Vyeo Brigedia Jenerali 7 Kuwa Meja Jenerali & Makanali 33 kuwa Brigedia Jenerali

    Rais wa Uganda na Amiri Jeshi Mkuu wa UPDF Mheshimiwa Yoweri Kaguta Museveni amefanya uteuzi kwa kuwapandisha vyeo Majerali na Maofisa Waandamizi wa Jeshi la nchi hiyo.
Back
Top Bottom