Kwa mazingira yetu ya Afrika biashara ya duka la mahitaji ya nyumbani inaweza kukutoa katika umaskini

Poqo

Member
Oct 10, 2023
30
90
Kwa ambao hatukusoma sana,si wajuzi wa teknolojia ya Hali ya juu,mitaji mikubwa changamoto kwetu,basi suruhisho la kututoa ktk UMASKINI ni biashara ya duka.

Faida ya duka la mahitaji ya nyumbani,. I)uhakika wa kuuza bidhaa Kila siku kwani watu wengi ni maskini na hununua bidhaa kidogokidogo Kila siku.mzunguko wa bidhaa ni mkubwa sana.

II)uhakika wa Kuuza bidhaa zako zote,90%bidhaa za duka utaziuza,Mali kamata ni chache sana.

III)bidhaa zinapatikana kirahisi na huhitaji kusafiri kwenda kuchagua hivyo kupunguza operational costs za

IV)Ni role model business,nchini kwetu TZ watu wengi wanaojihusisha na biashara ya duka Hali zao kiuchumi zimekuwa Bora,na baadhi matajiri wakubwa kama Mo na bahkresa wamekeza sana katika home needs goods,na wabongo wengi wametajirika,utasikia mtu ana 5 bill,anasemi 5 biashara yake ni duka.

V)Hutakiwi kuwa na mtaji mkubwa sana kuanza,unaweza kuanza na mtaji mdogo ukaukuza taratibu mfano laki Tano inatosha kuanza na bidhaa mhimu kama sukari,chumvi,mafuta kula,sabuni n.k ukiwa na nidhamu mtaji utajua na unaweza kuaminika ukakopesheka pia.

VI)Faida yake ni kubwa sana ukilinganisha na biashara zingine,faida hii inatokana na mauzo ukilinganisha na muda,mfano muuzaji wa magari Kwa mwezi mzima anaweza kuuza magari 5 na akapata faida ya 5mill @ car Kwa mwezi akatengeza faida ya 25 mill,muuzaji wa duka anaweza akawa anauza 20mill Kwa siku na faida ni 5% =1000000 so Kwa mwezi akapata 30 mil.

VII)Ni biashara inayokubali kuongeza biashara nyingine ndani yake kama vile uwakala wa benki,kutoka na kupokea fedha Kwa njia ya simu n.k

USHUHUDA: Mwaka 2017 mimi nilianza biashara ya duka Kwa mtaji wa 250000 Leo hii 2023 si haba nimepiga hatua kwani mtaji wangu ni almost 50 mill, nimejenga Nina kapikipiki na maisha yanaenda. I dream siku Moja niwe mfanyabiashara kubwa, hii ni biashara Bora.

Vijana tuache dharau, tusikariri maeneo ya kuishi kwani Kuna fursa nyingi kwenye miji midogo.
 
Sijasoma ulichoandika nimesoma heading tu

Duka la mtaani haliwezi kutoa kimaisha zaidi ya kukupa,pesa ya kula

Duka la mtaani linaweza mkutoa kimaisha kama bidhaa zako ni za wizi yani unaletewa mzigo wa dili,

Duka la mtaani ni maalum kwa ajiri ya pesa ya mahitaji nyumbani mboga nk siyo kukutajilisha
 
Upo sahihi Mkuu, lakini biashara hiyo imeshakosa thamani kwa kiasi chake.

Mitaani Maduka yapo kibao, na mbaya zaidi wanashindana kushusha bei ya bidhaa ili wauze zaidi.

ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Hili linaweza kuwa bandiko Bora kabisa la kufungia mwaka..Mimi nilifungua duka la rejareja 2021 mkoani sgd kwa mtaji wa million 2 kwa kweli nilikuwa napenda jinsi asbh ambavyo watoto wa shule wanakuja kunipigia hodi maana duka lilikuwa home kbs..hawakopi masikini wengi akikopa ni chakula na lazima atakuja kulipa..nilizinguliwa na wafanyakazi hasa walimu baada ya kuweka na pombe walinikopa na mpaka naondoka hawakulipa madeni...nilipata ajira ambayo kweli inanipa pesa ila zinaisha fasta tofaut na ukiwa na duka yaani we mwezi mzima una hela HAKUNA Cha tarehe
 
Hiki ndo kinanifanya nisiombe ajira
 
Sijasoma ulichoandika nimesoma heading tu

Duka la mtaani haliwezi kutoa kimaisha zaidi ya kukupa,pesa ya kula

Duka la mtaani linaweza mkutoa kimaisha kama bidhaa zako ni za wizi yani unaletewa mzigo wa dili,

Duka la mtaani ni maalum kwa ajiri ya pesa ya mahitaji nyumbani mboga nk siyo kukutajilisha
Sijasema duka la mtaani,pia unaweza kuanza mtaani baada ya kuimarika kimaarifa na mtaji ukahamia sehemu Bora zaidi,ndugu biashara ya duka ni idea Bora sana niamini mm
 
Upo sahihi Mkuu, lakini biashara hiyo imeshakosa thamani kwa kiasi chake.

Mitaani Maduka yapo kibao, na mbaya zaidi wanashindana kushusha bei ya bidhaa ili wauze zaidi.

ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Mm nafanya sipo mtaani pia.
 
Sijasema duka la mtaani,pia unaweza kuanza mtaani baada ya kuimarika kimaarifa na mtaji ukahamia sehemu Bora zaidi,ndugu biashara ya duka ni idea Bora sana biashara ya Duka kama huna connection ya kupata bidhaa

Sijasema duka la mtaani,pia unaweza kuanza mtaani baada ya kuimarika kimaarifa na mtaji ukahamia sehemu Bora zaidi,ndugu biashara ya duka ni idea Bora sana niamini mm
Biashara ya Duka la mtaani kama huna connection connection ya kupata bidhaa kwa bei ya chini utoboi, sikuvunji moyo nakupa fact hayo maduka unayoyaona mtaani nenda mchana shinda wiki nzima uone lini anashusha bidhaa, wao bidhaa zao zinashukaa usiku kwa usiku chukua hii itakusadia
 
Mi Niko field wewe haupo field unasikia maneno tu,haipo hivyo,mm Nina duka la jumla nawauzia wa mtaani mchana kweupe
 
Mkuuu huu n uongoo bhanaa unasemaa,mbona Kila cku magari ya mo na azam wanashusha mizigo Kwenye maduka ya kina mangi na hata magari ya coca na Pepsi pia yanafanya hvyo hvyo Tena mchana kweupeee .
 
Atakuambia hiyo danganya toto show nzito zinabigwa usiku. 😂😂🤣
 
Mkuuu huu n uongoo bhanaa unasemaa,mbona Kila cku magari ya mo na azam wanashusha mizigo Kwenye maduka ya kina mangi na hata magari ya coca na Pepsi pia yanafanya hvyo hvyo Tena mchana kweupeee .
Hajui chochote
 
Mi Niko field wewe haupo field unasikia maneno tu,haipo hivyo,mm Nina duka la jumla nawauzia wa mtaani mchana kweupe
Basi mda si mrefu utafunga duka na utakimbia madeni kwa tasisi ulizokopa kama huna connection ya kukopeshwa bidhaa yani unauza unachukua faida pekee kisha unapeleka pesa ya bidhaa unapewa tena mzigo, nyingine ni hiyo kupata mzigo kwa dili
 
Kwa ambao hatukusoma sana,si wajuzi wa teknolojia ya Hali ya juu,mitaji mikubwa changamoto kwetu,basi suruhisho la kututoa ktk UMASKINI ni biashara ya duka.

Faida ya duka la mahitaji ya nyumbani,. I)uhakika wa kuuza bidhaa Kila siku kwani watu wengi ni maskini na hununua bidhaa kidogokidogo Kila siku.mzunguko wa bidhaa ni mkubwa sana.

II)uhakika wa Kuuza bidhaa zako zote,90%bidhaa za duka utaziuza,Mali kamata ni chache sana.

III)bidhaa zinapatikana kirahisi na huhitaji kusafiri kwenda kuchagua hivyo kupunguza operational costs za

IV)Ni role model business,nchini kwetu TZ watu wengi wanaojihusisha na biashara ya duka Hali zao kiuchumi zimekuwa Bora,na baadhi matajiri wakubwa kama Mo na bahkresa wamekeza sana katika home needs goods,na wabongo wengi wametajirika,utasikia mtu ana 5 bill,anasemi 5 biashara yake ni duka.

V)Hutakiwi kuwa na mtaji mkubwa sana kuanza,unaweza kuanza na mtaji mdogo ukaukuza taratibu mfano laki Tano inatosha kuanza na bidhaa mhimu kama sukari,chumvi,mafuta kula,sabuni n.k ukiwa na nidhamu mtaji utajua na unaweza kuaminika ukakopesheka pia.

VI)Faida yake ni kubwa sana ukilinganisha na biashara zingine,faida hii inatokana na mauzo ukilinganisha na muda,mfano muuzaji wa magari Kwa mwezi mzima anaweza kuuza magari 5 na akapata faida ya 5mill @ car Kwa mwezi akatengeza faida ya 25 mill,muuzaji wa duka anaweza akawa anauza 20mill Kwa siku na faida ni 5% =1000000 so Kwa mwezi akapata 30 mil.

VII)Ni biashara inayokubali kuongeza biashara nyingine ndani yake kama vile uwakala wa benki,kutoka na kupokea fedha Kwa njia ya simu n.k

USHUHUDA: Mwaka 2017 mimi nilianza biashara ya duka Kwa mtaji wa 250000 Leo hii 2023 si haba nimepiga hatua kwani mtaji wangu ni almost 50 mill, nimejenga Nina kapikipiki na maisha yanaenda. I dream siku Moja niwe mfanyabiashara kubwa, hii ni biashara Bora.

Vijana tuache dharau, tusikariri maeneo ya kuishi kwani Kuna fursa nyingi kwenye miji midogo.
Mkuu unauza kwa jumla? Maeneo ya wapi mkuu?
 
Uko sahihi sana.
Kuna jamaa yangu..bwashee ana duka na pembeni kaweka genge...kwa nyumba anauza vinywaji na kuonyesha mpira.
Kimsingi duka lake huwa linakesha.....kwa kifupi mauzo yake ni wastani wa milioni plus kwa siku..

.
 
Back
Top Bottom