kiumbe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    Mke wa zamani wa Ricardo Kaka afichua sababu iliofanya waachane ni kuwa Kaka alikuwa mkamilifu sana

    Mke wa zamani wagwiji wa soko toka Brazil KAKA amefichua kuwa aliachana na supastaa huyo kwa sababu alikuwa "mkamilifu sana". Nyota huyo wa zamani wa Brazil na Real Madrid alifunga ndoa na mchumba wa utotoni Caroline Celico mwaka wa 2005. Walidumu katika ndoa kwa muda wa usiozidi miaka kumi...
  2. Mto Songwe

    Vijana mmsiishie kuweka mimba tu una jukumu kwa kila kiumbe unacholeta duniani

    Kama unajiona huna uwezo wa malezi bora kwa kiumbe chako na hauna uwezo wa kukitengenezea kesho yake bora ni vyema kabisa usizae. Kufa mwenyewe na umasikini wako acha kuleta kiumbe uje ukipe mateso kwenye hii dunia ya hovyo. Umasikini ni mkubwa sana Africa ukiwa mtu wa field au kazi za mitaani...
  3. K

    Kila anachosema mwanamke mbele ya mwanaume ni kinyume chake, akisema hampendi Juma jua ni kinyume chake

    Habari zenu wakuu, Mimi ni miongoni mwa watu ambao wamekumbana na shughuri ya kiumbe anayeitwa mwanamke, tena ilikuwa ni shughuri nzito kweli kweli na kwasababu ilikuwa ni ndoa yangu ya kwanza Basi nikaamini pengine ndiyo maana misikitini na makanisani mashehe na wachungaji wetu wanahubiri...
  4. Melki the Storyteller

    Mwanamke ni kiumbe wa ajabu sana. Anaweza akakupenda pasi na kukupatia zawadi ya ngono

    Mwenzenu ninapendwa japo sipatiwi tendo la ndoa. Naimani asilimia mia kuwa ninapendwa. Maana huyu mwanamke huufurahia sana uwepo wangu, huvutiwa na ucheshi wangu, hunitamka mara kwa mara mdomoni, huniulizia na kunisifia sana kwa marafiki zake, pia marafiki zangu. Vijizawadi vidogo vidogo vya...
  5. Tajiri Tanzanite

    Mwanamke ndio kiumbe pekee aliyewahi kuonana na shetani uso kwa uso wakapanga uovu

    Hapo vip!! Kwanza nikaanzie kwa kusema mwanaume anayempenda mwanamke na muona nimshamba na hajitambui. Mimi sinto owa kwasababu siwezi kuishi na mwanamke...hiyo ndio salam. Vitabu vya dini vimeweka wazi yakwamba mwanamke tokea awali ni muovu kwasababu Biblia inasema katika bustani ya edeni ni...
  6. TUKANA UONE

    Aliyemuumba ndiye aliyesema tuishi naye kwa akili, huyu kiumbe ni wa aina gani?

    Salamu ni chanzo cha umasikini,huwezi elewa hili hadi uwe na Akili timamu! Wakati nikiwa mdogo nilidhani nyoka ndiye kiumbe hatari kuliko vyote duniani,lakini kumbe nilikuwa sijafahamu ilikuwa ni akili ya kitoto tu!. Nilipokuwa mtu mzima nimekuja kugundua kiumbe aitwaye "Mwanamke" ndiye kiumbe...
  7. sanalii

    Ni kiumbe gani hukipendi/ unakiogopa mpaka leo?

    Nimefanikiwa kua na urafiki na paka, mbwa, kuku, ngombe, mbuzi. Urafiki in a way kwamba akikuona anakufata anataka awe karibu yako. ila Binafsi nyoka ni kiumbe ninaemchukia kuliko wote, hata niende Zoo niambiwe huyu hana sumu, Kwanza ila ngozi yake siipendi kabisa.
  8. Allen Kilewella

    Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

    Hii ndiyo nadharia inayosemwa inatakiwa kukubaliwa na kila binadamu na ndiyo nadharia inayoitwa na baadhi ya watu kuwa ni kamilifu na timilifu. Kuwa hakuna ajue wewe binadamu umetokea wapi na kwa nini upo ivo ulivo. Kuwa Binadamu hana kusudio lolote lile la kuwepo kwake duniani. Na haileweki...
  9. M

    Hivi Mungu amemshindwa kabisa shetani? Mbona shetani inasadikika ni kiumbe wake?

    Kumbe inawezakana kabisa Mungu anawaogopa viumbe wake aliowaumba mwenyewe? Tunaambiwa shetani aliumbwa na Mungu Sasa iweje amemshindwa kumuangamiza mpaka watunishiane misuri na mostly shetani huyu anaonekana ana nguvu kumzidi huyu Mungu. Does it come to our ears as true logic kwamba shetani ni...
  10. Dr Matola PhD

    Leo tupeane uzoefu wako, unajua nini kuhusu huyu kiumbe vunja jungu? (Mantis) je ni kweli ana super natural kama wazungu wanavyoamini?

    Ndugu wana nzengo amani iwe kwenu. Leo kuna jambo naomba tushirikishane uzoefu limeniumiza kichwa muda mrefu sana. Katika maisha yangu nimebahatika kuishi na wazungu kwa ukaribu sana kiasi kwamba nilipaswa kujuwa ukweli wa ninachokiuliza lakini wazungu ni wagumu kufunguwa codes, ukiwauliza...
  11. The Eric

    Hivi kuna mtu alishawahi kuwa na uhusiano na kiumbe jini

    Salaam wote! Nimeaona sio vibaya nikawashirikisha hili wakuu daah, maisha ya duniani kama huyajui unaweza dhania unayajua kumbe kuna vingi vitu huvijui. hata ule chumvi nyingi lakini vipo bado vingi hutakuwa huvifahamu. Hawa viumbe tunawasikia wanaitwa majini wapo lakini mara nyingi...
  12. Titicomb

    Pele aingia katika kamusi kama kitu au mtu asiye mfano kwa ubora wake.

    Neno Pele limeingizwa katika kamusi ya Michaelis ya kireno. Neno hilo limetafsiriwa kama ifuatavyo: "Kitu au mtu ambaye siyo wa kawaida, kitu au mtu ambaye kwa mujibu wa ubora, thamani au ubora wake hawezi kuwa sawa na kitu chochote au mtu yeyote, kama Pele, jina la utani la Edson Arantes do...
  13. Nyuki Mdogo

    Huyu kiumbe ananitesa sana usiku

    Yani anakuja anatua karibu na dirishani ninakolala anaanza kulia hovyo. Hapo ni usiku wa manane, anakuja karibu mara 3 kwa wiki. Cha ajabu majirani zangu hawasikii akilia. Namna gani naweza mdhibiti? Maana kiasili huyu si kiumbe mwema
  14. NetMaster

    Wakristo Kwanini tunakula viumbe vyote ambavyo Mungu aliruhusu lakini tunachagua na kubagua vilivyokatazwa akiwemo Nguruwe?

    Huwa nashangaa sana ni vipi kila kiumbe ambacho Mungu alituruhusu kula huwa kinalika bila tatizo na ni salama kwetu lakini linapokuja suala la viumbe ambavyo alivikataza huwa kuna ubaguzi, mfano viumbe kama nzi, nyau, punda, mjusi na panya watu wanabagua lakini kwa wakati huo huo wanakula...
  15. ThisisDenis

    Mwanamke ni kiumbe dhaifu

    Habari za wakati huu wakuu, naomba nitoe kidogo duku duku langu na kujifunza juu ya mapenzi na udhaifu wa mwanamke uko wapi, Duku duku langu linaanzia pale tu unapotaka kutongoza au kumuoa mwanamke, walio wengi tunawakosea sana hawa wenzetu wa kike kwa sababu zifuatazo, Mwanamke ni mtoto...
  16. U

    Hiki ni ni kiumbe gani kwenye maji ya mvua?

    Mvua imenyesha hapa nilipo leo asubuhi,maji yake yamekuja na viumbe vyenye mikia Kama vinavyoonekana ndani ya chombo!Hivyo ninini?Vinatoka wapi?Maji ya mvua huwekewa dawa Gani?
  17. Expensive life

    Mwanamke ndio kiumbe kinachoongoza kwa kusakamwa humu jamvini, tatizo ni nini?

    Mapunga wa kataa ndoa vita yao ni dhidi ya wanawake. Wazee wa chaputa nao hawataki kusikia kitu kinaitwa mwanake. Walio kwenye ndoa malalamiko lukukuki dhidi ya mwanamke, tatizo ni nini? Wanawake mbona kila siku ni nyie tu?
  18. R

    Huyu ni kiumbe gani?

    Katika pitapita za weekend ufukweni mwa bahari nikakuta huyu kiumbe, cheupe tupu. Anayemfahamu naomba maelezo tafadhari.
Back
Top Bottom