Kila anachosema mwanamke mbele ya mwanaume ni kinyume chake, akisema hampendi Juma jua ni kinyume chake

Killing machine

JF-Expert Member
Jul 24, 2022
1,208
1,350
Habari zenu wakuu,

Mimi ni miongoni mwa watu ambao wamekumbana na shughuri ya kiumbe anayeitwa mwanamke, tena ilikuwa ni shughuri nzito kweli kweli na kwasababu ilikuwa ni ndoa yangu ya kwanza

Basi nikaamini pengine ndiyo maana misikitini na makanisani mashehe na wachungaji wetu wanahubiri sana kuhusu uvumilivu kwa wanandoa na wachumba kuvumiliana na kuchukuliana.

Wakuu zangu nimeingia mpaka mahakamani na sio mahakamani tu bali mpaka mahabusu nimeingia, tena sio mara moja tu bali zaidi ya mara moja, kwahiyo yale mambo ya ndiyo bwana mkubwa, kukojoa ume chuchumaa mtoto wa kiume, nimekutana nayo sana kupitia mwanamke wangu.

Kiukweli skupenda kuachana na mke wangu hasa nikiangalia dunia ya sasa ilivyoharibika, sikutaka kuacha watoto wangu wakae mbali na mimi, hivyo hofu yangu juu ya watoto wangu ilinifanya nivumilie mengi na kupitia uvumilivu huo nilijikuta napitia misukosuko mingi kwa zaidi ya miaka nane na mke wangu.

Na kupitia mi sukosuko yangu na mke wangu na ile ya majirani, ndugu, na jamaa zangu wa karibu nikajikuta nimegundua mambo mengi kuhusu mwanamke.

Nilijikuta nimegundua kwamba, mwanamke kila kitu anachokizungumza mbele ya mwanaume ni kinyume chake. Kwamfano mwanamke akikuambia napenda hiki kinyume chake nikwamba hakipendi hicho anacho kizungumza.

Ninamaanisha mwanamke akisema anapenda sana kula samaki basi anamaanisha hapendi kabisa kula samaki.

Vivyo hivyo akikuambia anamchukia sana rafiki yako Juma na ukimuuliza kwanini atakuambia damu tu haziendani namchukia sana, basi jua tafsiri yake nikwamba anampenda sana rafiki yako juma isipo kuwa Juma hana time nae pamoja na yeye kujisogeza sogeza kwa Juma ndiyo maana anamchukia huyo Juma. Vivyo hivyo akisema anakupenda sana basi hakupendi sana.

Pia nimejifunza kwamba mwanamke nikama mtoto mdogo, mtu anayemkumbuka kwa vizuri vizuri basi huyo ndiye huwa her lover, haijarishi atampa vidogo au vikubwa.

Kwakifupi urafiki wa mwanamke au upendo wa mwanamke ni wa kimasilahi zaidi, nothing free, lazima utoe kitu ili umpate au uupate upendo wake kwako na kitakapoisha hicho kitu basi lazima atakuacha na kuenda kwa mwenye nacho.

Kwahiyo unapo kuwa nakitu cha kumvutia mwanamke akupende hakikisha unampa isipokuwa asijue unakitolea wapi, na kimebaki kiasi gani, don't try utajuta.

Pia nikagundua kwamba mwanamke hawezi kuolewa au kuwa na urafiki wa kudumu na mwanaume ambaye hawezi kumtawala. Labda niseme mwanamke hawezi kuolewa na mwanaume ambaye hawezi mwendesha/kumtawala.

Mwanamke akishindwa kukutawala basi mtaachana na atakuita majina yote mabaya. Utaskia siwezi kuishi/kuolewa na mwanaume mvuta bangi/kichaa kama yule. Ukiona anasema hivyo basi jua wewe ni mwanaume kweli kweli, in JPM voice.

Ukiona mwanamke anakuchukia sana huenda akawa ndiye mwanamke anayekupenda zaidi kuliko yule anaye kuchekea sana. Niligundua kwamba ukitaka mwanamke jeuri akuzalie mtoto usimwombe akuzalie mtoto, badala yake mwambie, nimekuowa ila usizae kwanza mpaka tutengeneze maisha kwanza ndipo tupate mtoto. Aiseeh atabeba mimba haraka sana tena bila wewe kujua.

Niligundua kwamba mwanamke anapenda umbea, anapenda kusikilizwa sana kwahiyo hata akiongea upuuzi/utoto toto wewe mpe support tu basi hapo hata ukichelewa kuludi nyumbani atakupigia.

Nakama kuna mjinga ana msumbua hapo mitaani kwako atakutonya. Niligundua kwamba mwanamke anapenda au ana hulka ya kupenda kuumiza au kutesa, hakunakitu mwanamke hujiskia vizuri kama kumuumiza adui yake.

Basi mwanamke hujiskia vizuri sana mtu anaye shindana nae akiumia, ukitaka kuamini basi chunguza ndoa zenye wake wawili Yani b mkubwa na mdogo utashuhudia kiumbe huyu alivyo na roho mbaya.

Ukitaka mwanamke akupende mchukie na ukitaka akuchukie mpende. Ukitaka mwanamke awe kicheche mwamini na ukitaka asiwe kicheche usimwamini. Ukitaka kumpoteza mjari na ukitaka usimpoteze usimjari Sana na hata ukimjari don't show her you care too much about her utadumu nae.

Mwisho mwanamke yeyote ni mshirikina na unaweza kuishi nae miaka usimjue japo wengi hawana nia mbaya zaidi ya kututawala ili walinde ndoa zetu zisimvunjike taifa la kesho lisipotee.

Haya ni machache niliyo yaona kwa wanawake. Pamoja nahayo nitumie nafasi hii kwa niaba ya wanaume wenzangu wote kwamba tunawapenda sana
Mama zetu

  • Mauwa yetu
  • Fraha yetu
  • Msingi wa Maisha yetu
  • Miungu wetu was dunia

Kwani bila wao Maisha haya hayana maana, tunawapeni asanteni kwa kuuchangamsha uwanja huu unao itwa dunia.
 
Uko Very right
 
Na ukitaka kuachana na mwanamke wako , ( MWEZESHE )kiuchumi au kivyovyote vile mfano mwambie "hii biashara ni yako au hii nyumba ni yako na hati miliki ni hii" .

Utayapata matokeo baada ya muda mchache sana.
Akiku heshim saana ata kutupa ndani kwa kesi ya kumtishia Maisha Kama sio kuku loga uwe zezeta😂😂
 
Killing machine Upo sahihi mkuu, kuna mwanamke alishaniambia tuachane kwasababu mimi ni mkorofi na mama yake amemshauri tuachane (ingawa haikuwa kweli), baada ya hapo, nikaamua kuanza kupiga kimya, simtafuti tena, badala yake akaendela kunitafuta, mara amenimiss, mimi ni mtu mzuri. Lakini niliendelea na msimamo wangu.

Mwanamke maelezo yake siku zote ni vice versa!
 
UKITAKA MWANAMKE AKUPENDE MCHUKIE NA UKITAKA MWANAMKE AKUCHUKIE MPENDE 😀😀😀@deeppond sema neno mkuu
Ukimpenda Sana unakuwa kauzibe kwake/kausumbufu so utamchosha sababu ya hurka yake ya kupenda kujiachia

Ukimchukia/kumdharau atajiuliza ana kasoro gani mpaka wewe umdharau? Kwaninwewe ninani? Umeona wangapi? Una nini hasa ambacho walio mchukua/au kumfukuzia hawana?

So ata jipitisha kwako na Kila style ya mavazi,Kila style ya mwendo Kila style ya mwonekano na kadri utakavyo zidi kumpuuza ndivyo atakavyo vutiwa nawewe zaidi mkuu
 
Killing machine Upo sahihi mkuu, kuna mwanamke alishaniambia tuachane kwasababu mimi ni mkorofi na mama yake amemshauri tuachane (ingawa haikuwa kweli), baada ya hapo, nikaamua kuanza kupiga kimya, simtafuti tena, badala yake akaendela kunitafuta, mara amenimiss, mimi ni mtu mzuri. Lakini niliendelea na msimamo wangu.

Mwanamke maelezo yake siku zote ni vice versa!
Wapo hivyo na ungejaribu kuendelea kumfwatilia angeku Brock kabisa😆😆
 
Ukimpenda Sana unakuwa kauzibe kwake/kausumbufu so utamchosha sababu ya hurka yake ya kupenda kujiachia

Ukimchukia/kumdharau atajiuliza ana kasoro gani mpaka wewe umdharau? Kwaninwewe ninani? Umeona wangapi? Una nini hasa ambacho walio mchukua/au kumfukuzia hawana?

So ata jipitisha kwako na Kila style ya mavazi,Kila style ya mwendo Kila style ya mwonekano na kadri utakavyo zidi kumpuuza ndivyo atakavyo vutiwa nawewe zaidi mkuu
mwanamke anapata nguvu akipewa attention na mwanaume/wanaume.

Usipompa attention au kama ulikuwa unampa ukiiondoa lazima adate. Hata kama mwanamke huyo alikupa kibuti baada ya kumtaka. Ukikata tu mawasilianao nae, kichwani kwake kunakuwa na maswali mengi na kukosa raha.
 
Back
Top Bottom