Vijana mmsiishie kuweka mimba tu una jukumu kwa kila kiumbe unacholeta duniani

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,026
12,333
Kama unajiona huna uwezo wa malezi bora kwa kiumbe chako na hauna uwezo wa kukitengenezea kesho yake bora ni vyema kabisa usizae.

Kufa mwenyewe na umasikini wako acha kuleta kiumbe uje ukipe mateso kwenye hii dunia ya hovyo.

Umasikini ni mkubwa sana Africa ukiwa mtu wa field au kazi za mitaani utakubalina nami.

Kuna chance kubwa ya masikini Afrika kuendelea kuwa masikini na kizazi chake chote.

Acha wenye uwezo wazae wewe kama huna uwezo na masikini wa kutupwa futa hilo wazo.

Umasikini ni laana ndugu zangu.

Wanasiasa Afrika wana rithishana utajiri wao kwa wao vizazi vyao hawajali kuhusu wewe.

Naomba ukionee huruma kiumbe unacholeta kwa hali yako ya ufukara ulionayo watu huku wanateswa na umasikini mbaya.
 
"Black people are good for nothing apart from indulging in sex and having so many wives."
Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.

Kwa hiyo usishangae kuona tatizo hili la ukosefu wa uzazi wa mpango kuweka kambi katika jamii za watu weusi(Waafrika) hapa duniani.
 
Kama unaona ni changamoto bora umwage nje kuliko kumwagia ndani halafu baadae ulete mateso kwa kiumbe kiso na hatia

Tujifunze kuwa na kiasi au kuzidhibiti Genye/Ashki
 
Subiri nikamwage ndani

Nyinyi hamuwajui watetezi wa uhai kumwaga bao nje ni Sawa na kuua kiumbe kilicho Hai na kukifukia nyumbani kwako, kila mtoto anakuja na sahani yake tumeagizwa kuijaza Dunia mwagia ndani umponye Mwanamke kidonda chake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom