Mwanamke ni kiumbe wa ajabu sana. Anaweza akakupenda pasi na kukupatia zawadi ya ngono

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Mwenzenu ninapendwa japo sipatiwi tendo la ndoa. Naimani asilimia mia kuwa ninapendwa. Maana huyu mwanamke huufurahia sana uwepo wangu, huvutiwa na ucheshi wangu, hunitamka mara kwa mara mdomoni, huniulizia na kunisifia sana kwa marafiki zake, pia marafiki zangu.

Vijizawadi vidogo vidogo vya hapa na pale napewa kimasihara sana, nimetambulishwa mara kadhaa kwa mama yake pamoja na ndugu wengine. Sijaombwa pesa hata mara moja zaidi ya mimi tu kujishtukia, lakini tendo la ndoa limekuwa mtihani. Yaani hata kwa dawa hayuko tayari kuyapanua lakini nina imani ananipenda sana.

Niko tayari kumuoa hivyo hivyo, kama ni tendo nitakuwa napata nje ya ndoa!

Ahsanteni.
 
Mwenzenu ninapendwa japo sipatiwi tendo la ndoa. Naimani asilimia mia kuwa ninapendwa. Maake huyu mwanamke huufurahia sana uwepo wangu, huvutiwa na ucheshi wangu, hunitamka mara kwa mara mdomoni , huniulizia na kunisifia sana kwa marafiki zake, pia marafiki zangu

Vijizawadi vidogo vidogo vya hapa na pale napewa kimasihara sana, nimetambulishwa mara kadhaa kwa mama yake pamoja na ndugu wengine. Sijaombwa pesa hata mara moja zaidi ya mimi tu kujishtukia.

Lakini tendo la ndoa limekuwa mtihani. Yaani hata kwa dawa hayuko tayari kuyapanua. Lakini nina imani ananipenda sana

Niko tayari kumuoa hivyo hivyo. Kama ni tendo nitakuwa napata nje ya ndoa

Ahsanteni...
Ukikua utakuja kufuta uzi huu wa kijinga!
 
Aisee mimi mwenyewe kuna mschana asiponiona siku haiishi, huwa namchezea sana tukikutana namvyrugaaaaa
 
sema huna ujanja wa kuomba game, domo zege wewe
Hapana mkuu, nimeomba kwa kila namna, nimejaribu kimasihara nyingi zimegonga ukuta. Ikafika kipindi nikajiona kimoda, nikaamua kuipotezea mbususu yake, ila mwili na ufahanu wake bado navihitaji
 
Anataka ubutue baada ya ndoa mkuu Huoni kama huo ni mtego?Hakikisha unapima kwanza kina ukiacha Hadi uoe ndio uzagamue utakutana na mtera,be warned.
 
Mwenzenu ninapendwa japo sipatiwi tendo la ndoa. Naimani asilimia mia kuwa ninapendwa. Maana huyu mwanamke huufurahia sana uwepo wangu, huvutiwa na ucheshi wangu, hunitamka mara kwa mara mdomoni, huniulizia na kunisifia sana kwa marafiki zake, pia marafiki zangu.

Vijizawadi vidogo vidogo vya hapa na pale napewa kimasihara sana, nimetambulishwa mara kadhaa kwa mama yake pamoja na ndugu wengine. Sijaombwa pesa hata mara moja zaidi ya mimi tu kujishtukia, lakini tendo la ndoa limekuwa mtihani. Yaani hata kwa dawa hayuko tayari kuyapanua lakini nina imani ananipenda sana.

Niko tayari kumuoa hivyo hivyo, kama ni tendo nitakuwa napata nje ya ndoa!

Ahsanteni.
😃😆 ila kwakweli
 
Jaribu kumtenga,usimpe airtime,kua bize na mambo yako,jifanye humjali kabisa,punguza ucheshi kwake,muonyeshe kua unatafuta mwanamke mwingine kukidhi haja zako.
 
Back
Top Bottom