Al Merrikh: Timu yenyewe ni ya wakimbizi, haishiriki ligi, inacheza huku ikiwaza mabomu yanavyopigwa nyumbani!! Kuifunga siyo kipimo!!

Kumsukuma mlevi si kipimo kuwa una nguvu!! Timu ya Al Merrikh ni wakimbizi, wanalazimika kucheza ugenini, hakuna ligi huko kutokana na vita, wanacheza huku akili iko nyumbani wakiwaza mabomu yanavyotishia uhai wa jamaa zao!! Kuna ajabu gani kuifunga timu kama hiyo!! Kuifunga na kufurahi ni sawa na kujitekenya halafu unacheka mwenyewe!!
Usihangaike rudi kwenye ule uzi
 
Pole sana! Sikushangai, najua umeumia sana kutoa sare na Yanga kushinda. Ulitegemea Yanga ipigwe ufurahi!!

Kwamba timu inatoka kwenye nchi yenye vita inaweza isiwe point ya maana sana! Hata TP Mazembe inatoka kwenye nchi yenye vita pia lakini inakimbiza!
 
Kumsukuma mlevi si kipimo kuwa una nguvu!! Timu ya Al Merrikh ni wakimbizi, wanalazimika kucheza ugenini, hakuna ligi huko kutokana na vita, wanacheza huku akili iko nyumbani wakiwaza mabomu yanavyotishia uhai wa jamaa zao!! Kuna ajabu gani kuifunga timu kama hiyo!! Kuifunga na kufurahi ni sawa na kujitekenya halafu unacheka mwenyewe!!
ni kweli, ni ya wakimbizi ambao wangecheza na mikia wangewafunga. na ninyi inakuwaje mmeshindwa kukafunga kale katimu ka uchochoroni zambia? ile timu ni sawa tu na geita au mwadui. wachima shaba wanawashinda?
 
Wale wako kwao, hawana stress, na walidhani watatufunga ikawa siyo!! Saa hii tamaa ya kuendelea imewatoka!!
 
Kumsukuma mlevi si kipimo kuwa una nguvu!! Timu ya Al Merrikh ni wakimbizi, wanalazimika kucheza ugenini, hakuna ligi huko kutokana na vita, wanacheza huku akili iko nyumbani wakiwaza mabomu yanavyotishia uhai wa jamaa zao!! Kuna ajabu gani kuifunga timu kama hiyo!! Kuifunga na kufurahi ni sawa na kujitekenya halafu unacheka mwenyewe!!
Ule mkangafu uliocheza Leo ndola,una uwezo wa kupata hata sare kwa Al merikh!?
 
Kumsukuma mlevi si kipimo kuwa una nguvu!! Timu ya Al Merrikh ni wakimbizi, wanalazimika kucheza ugenini, hakuna ligi huko kutokana na vita, wanacheza huku akili iko nyumbani wakiwaza mabomu yanavyotishia uhai wa jamaa zao!! Kuna ajabu gani kuifunga timu kama hiyo!! Kuifunga na kufurahi ni sawa na kujitekenya halafu unacheka mwenyewe!!
Mm nakushangaa sana kwan walikuwa hawachezi na hata uongozi wa fifa haujui kuw kuna vita huko kwao,, kwanini wacheze maana...... yake wanajiamni ndo maana wamecheza
 
Al Merrikh🐒

20230909_213758.jpg
 
Kumsukuma mlevi si kipimo kuwa una nguvu!! Timu ya Al Merrikh ni wakimbizi, wanalazimika kucheza ugenini, hakuna ligi huko kutokana na vita, wanacheza huku akili iko nyumbani wakiwaza mabomu yanavyotishia uhai wa jamaa zao!! Kuna ajabu gani kuifunga timu kama hiyo!! Kuifunga na kufurahi ni sawa na kujitekenya halafu unacheka mwenyewe!!
Aahaaaaaa
 
For 28 yrs....waache wapangwe tuu na mabomu ili wa emerge kwakweli..
😀 😀 😀 😀
CAF nao binadamu ujue...
 
Back
Top Bottom