king'amuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mario Kempes

    Je naweza kutumia king'amuzi cha Dstv cha South Africa hapa Tanzania?

    Naombeni wenye kujua mje mnijuze na je malipo ntalipaje nikiwa hapa nyumbani maana nimegundua king'amuzi cha Dstv cha South Africa ni gharama nafuu kulinganisha na hapa kwetu
  2. 0ozg Tz

    King'amuzi cha antenna azam kinauzwa 70,000

    Nipo mwanza, Sengerema Namba: 0759589005 Ni kipya kabisa Kama una king'amuzi cha Azam cha dishi tutabadilishana na nitakupatia 100,000
  3. MSAGA SUMU

    Tetesi: DSTV kuleta king'amuzi cha antenna

    Kuna mdau wangu mmoja tunafahamiana naye anafanya kazi DSTV kitengo cha R&D. Anasema sasa hivi DSTV wako kwenye mchakato wa kushusha mzigo mpya robo ya kwanza ya mwaka 2022. Wanaleta antena badala ya dishi. Pamoja na hilo pia wataleta decoder mpya ndogo saizi ya simu ya mkononi ambayo badala...
  4. Jacobus

    King'amuzi cha Azam kunani E-FM haipatikani?

    Ni muda sasa radio ya E-FM haipatikani kwenye king'amuzi cha Azam, kunani?
  5. GOKILI

    King'amuzi cha digitek kiliondoshwa sokoni?

    Kama uzi unavyojieleza naomba kufahamu juu ya hiki king'amuzi kama kipo sokoni na kama ndio wanatoa huduma za matangazo?
  6. M

    Mo Dewji anzisha king'amuzi chako, Azam wanatawala sana

    Bilionea Mohamed Dewji, wewe ni mdau mkubwa wa soka na unaufahamu vizuri sana. Najaribu kukushawishi uanzishe king'amuzi au decorder itakayoitwa mo sattelite tv. Pamoja na vipindi vingine uanzishe channel za soka za kuonyesha live mechi za ligu kuu ya bara. Ukiritimba wa azam na TFF ni hatari...
  7. KAGAMEE

    Naomba msaada namna ya kuwasiliana na wahudumu wa king'amuzi cha continental

    Bila kuwashosha wakuu wangu naomba msaada wa namna ya kuwasiliana na wahudumu tajwa hapo juu.
  8. Dr. Zaganza

    Nahitaji King'amuzi cha Azam Used

    Habari wakuu. Mwenye king'amuzi cha azam used tuwasiliane hasa kama upo Dar au Kibaha Simu 0713-039 875
  9. Jacobus

    Tumaini TV imeondolewa king'amuzi cha Startimes, kunani?

    Wakuu, sasa hivi Tumaini TV haipo kwenye king'amuzi cha Startimes ilihali waliiweka sasa najiuliza ni kitu gani kilichopelekea kuondolewa? Sasa hivi Tumaini TV ipo kwenye king'amuzi cha Azam.
  10. N

    Tarehe ya kuzaliwa inahusika vipi na kununua king'amuzi?

    Kwasasa mteja anaetaka kununua King'amuzi cha Azam anatakiwa kutaja tarehe yake ya kuzaliwa, ingawa sijafahamu kuna uhusiano gani kati ya tarehe ya kuzaliwa na kununua King'amuzi. Kama Azam Media Ltd wanahitaji taarifa kamili za mteja kwanini wasimuombe mteja kitambulisho cha taifa au kama...
  11. A

    Software ya KING'AMUZI aina ya DVB T - T2

    Naomba kama kuna Mtaalam mwenye Software ya KING'AMUZI aina DVB T-T2 Receiver anisaidie Kama kuna mtu Mwenye Software ya KING'AMUZI Aina ya DVB - T - T2 Receiver naomba tuwasiliane Inbox. King'amuzi chenyewe ni hiki cha kwenye picha hapa Chini Kinataka Ku - Update kinanipa taabu kimekuwa...
  12. Whackiest

    Naomba kujulishwa kuhusu king'amuzi cha StarTimes

    Ndug mwana jukwaa habr za mudaa huu, Ningependa kujua hik king'amuz cha star times kiko vipi katika gharam, na je kwa matumiz ya nyumban kinafaa?
  13. runtown

    Nimeibiwa vitu vyote vya ndani

    Habari wana jamvi, Naandika nikiwa na jazba na hawa watu wanaoitwa wezi. Nimepanga geto langu nikajibana nikaeka vitu vyote vya ndani sasa hawa jamaa wamenilia time nimetoka wamenisafisha hadi kijiko ila kwenye vitu walivoiba wamebeba hadi king'amuzi. Ila kuna mdau aliyeniambia king'amuzi...
  14. Samaki Nchanga

    Ni ipi channel yako bora kwenye king'amuzi cha DStv, Azam, Startimes, Zuku na Continental?

    Habari wakuu! Kuna zaidi ya channels 100 karibia katika kila King'amuzi Kwangu mimi mtumiaji wa DStv japo tunakosa uhondo wa channel za nyumbani lakini moja kati ya channel zangu Bora ni Maisha Magic East & Maisha Magic Bongo. Ukiondoa na chanel za michezo, basi utanikuta kwenye channel za...
  15. A

    Nahitaji kununua king'amuzi cha Azam bila dish

    Habari, Natafuta king'amuzi cha Azam bila kuwa na dish offa yangu sh. hamsini elfu,naomba mwenye mchongo aseme tutafutane na tuyajenge.
Back
Top Bottom